Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Wapo shalo mno. Hawajistukii!?
 
Wanadhalilisha dini ya munyaazi mungu.
 
Aibu yani. Wao wanadhani ni mashindano ya dini. Hovyo kabisa. Takataka. Kama kuna muislamu yupo proud kuongozwa na takataka kama hizi pole yako.
 
Mkuu hebu tulia kwanza uandike taratibu hii mada. Tanxania ndio kitu gani?
 
Hawa jamaa wameandika tamko la kipuzi sana aisee. Wakati watu tunaongelea mkataba wa ovyo wa bandari wao wameshupalia hoja ya udini. Ovyo sana!
 
Mazuzu
Mazuzu kama kawaida yao. Nikafikir wanachambua mkataba kumbe na wao ni ngonjera. Huu mkataba hata ukipita watakuja kuuvunja tu watu tulipe tena garama maana ni punguan tu anaweza kuukubali na kuutetea.
 
Kama vipi hiyo Bandari wapeni tu hao DP, mbele ya safari Kila mtu atapambana na hali yake.
 
Inama nikusweke. Hili ndio jina lako mkuu?
 
Mbona mnakimbilia elimu
Hiyo elimu hao wenye PhD mbona wana tamaa za Dunia tu
Kusoma sana ili kuiba na kushika nyadhifa zenye mlo na rushwa
Hakuna wajinga humu bali wale wanaokubali kuwachangia watu kila jumapili huku ukimpita kipofu au kilema barabarani bila kumpa hata 200 halafu unasifia elimu ya PhD
Hizo elimu zao wamezitumia kwa utapeli na ujanja kwa kupitisha makonteina bure kwa kisingizio cha misamaha ya kodi.

Misamaha ipo na ni haki ila inatumika vibaya mpaka kupitishia hata madawa na bure tena ya watu binafsi hao wenye PhD

Acheni wizi ili twende sawa maana kuchagua moja aidha wizi au hofu ya Mungu

Uamuzi ni wenu
Tuna elimu zetu ila hatuwezi kutumia kwa kutolea rushwa ili mambo yaende na kupitisha magari hapana

Hizi chuki zote ni kwa sababu zinazojulikana
 
Mkuu, unapata shida kweli maskini, kutetea. Uzi mzima, naona ni wewe tu, unajutahidii wee kutetea hilo tamko lenu, ndio unazidi kuharibu yani
 
Mazuzu at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…