Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

Hii ishu ya bandari tusipoangalia itakuwa ni 'vita' ya maustadhi vs wakristo!
 
Hawa nao wangekaa kimya tuu ili wajifichie aibu sasa ndio nini hiki🤔🤔 tangu lini kosa moja likahalalisha kosa lingine 🤔🤔kwakua huko nyuma hawakusema basi waendelee kukaa kimya na wakati tunaenda kuibiwa🤔🤔 hii ni akili au matope🤔🤔 Lisu alivyo kua anapinga mikataba ya madini wao walikua wamekufa 🤔🤔🤔
siku mkiacha kuongozwa na hisia za udini ulio wajaa kupitiliza ndio mtakua na akili timamu ya kujua lipi jema lipi baya, kwa sasa ficheni upumbavu wenu shenzi kabisa😡😡😡😡
 
Sio kazi yao, na Wala hao TEC sio kazi yao, hiyo ni kazi ya Serikali.

Sasa TEC wanaonyesha hawana misingi madhubuti katika kuyaendea mambo.
Basi wakae kimya waiachie serikali ijibu hoja za TEC
 
Sisi hatuangalii wametoa mara ngapi au vipi. Tunaangalia wameelezea nini na wanataka nini na kwa lengo gani ?

Hata wakiwa wanaandika Waraka kila siku, hii si hoja.

Wakristo jifunzeni kujenga hoja. Kwenye kujenga hoja bado sana.
Mbona hueleweki. TEC hawajaongelea Uislamu, wameongelea bandari. Wewe unaongeleo Wakristo. Nani amejenga hoja na nani anashambulia wengine? Jifunzeni kitu kinaitwa "intelligent thinking".
 
Hawana hoja hawa.
Kwamba kwasababu hukupinga mikataba mibovu ilotangulia, then unakosa uhalali wa kupinga mikataba wowote mbovu???.......... Hii ni dalili ya mtu asiyejifunza kutoka a na makosa yake.
Matendo yetu ya nyuma, hu shape matendo yetu ya baadaye.
Sasa kama TEC hawakupinga, wao walipinga na hatapinga tena kwa sababu hawajawahi kupinga? What erroneous reasoning!
 
Sasa kama TEC hawakupinga, wao walipinga na hatapinga tena kwa sababu hawajawahi kupinga? What erroneous reasoning!
Anayepinga kwa mara ya kwanza, ya 2, 3, 4, 5,.........apinge, mradi anazo sababu za mashiko za kufanya hivyo.
 
Wew huna uwezo wa kuwaelewa Tec
Kuwaelewa watu wajinga kitu chepesi sana, kwanza angalia uandishi wa BASUTA (Japo siwakubali, ila mnyonge mnyongeni)na WA TEC, uone kina nani wako makini katika uandishi na kujenga hoja.

Kingine uone namna gani BASUTA wamejitahidi kubalance mambo.

Wakristo tatizo hamna akili za kuwahoji viongozi wenu, bila shaka kwa upofu wenu wa akili, mmeona Waraka wenu wa TEC uko sawa kwa asilimia zote.

Mmekalia mwanzo mwisho kusifia Wana akili mara hivi, ila hoja hamjengi Wala nini. Ile tu anuani ya Waraka wenu "SAUTI YA WATU SAUTI YA MUNGU" imeonyesha ya kuwa Maaskofu ni Vilaza wanatumia kauli za uongo kumzulia Mola na kuwadanganya Wakristo, Ile falsafa tu Haina ukweli wowote, Sasa viongozi gani wa dini hawamjui Mola ?

Wakristo rekwbisheni kiti chenu kwanza kisha mkipambe.
 
Basi wakae kimya waiachie serikali ijibu hoja za TEC
TEC ndio walipaswa wakae kimya, na BASUTA amekuja kuwakumbusha umuhimu wa kuwasikiliza viongozi.

Hao TEC wanafata muongozo wa dini gani ? Nilihoji huko nyuma, Yesu aliwafundisha hivi ? Sababu naona wanapita nyayo za Wanaharakati na Wanasiasa.

Wao kama nani mpaka waongee na Hawa wengine wasiongee ? Usahihi wa mambo ni wao walitakiwa wasubiri majibu ya serikali baada ya kupeleka mashauri yao.

Waambieni Maaskofu waache ujinga wawe na akili timamu, watulie wasubiri muongozo toka serikalini.
 
Mbona hueleweki. TEC hawajaongelea Uislamu, wameongelea bandari. Wewe unaongeleo Wakristo. Nani amejenga hoja na nani anashambulia wengine? Jifunzeni kitu kinaitwa "intelligent thinking".
Kwani TEC wanawawakilisha kina nani ? Waraka unasomwa kwenye stendi za daladala ?

Wakristo mbona mna akili za kitoto namna hii ? Mnataka kutuambia mpaka muda huu hamuoni udini unao enezwa na Maaskofu ?

Nyinyi wa kupigwa makofi. Halafu dini gani inafundisha kutowatii watawala ? Yesu aliishi zama za viongozi wa waovu, je alikuwa anafanyaje ? Kwanini hamumfati Yesu ?

Sasa akili muwenazo nyinyi na Maaskofu maana naona mnaleta utoto.

Sasa ukija tena uje na hoja.
 
TEC ndio walipaswa wakae kimya, na BASUTA amekuja kuwakumbusha umuhimu wa kuwasikiliza viongozi.

Hao TEC wanafata muongozo wa dini gani ? Nilihoji huko nyuma, Yesu aliwafundisha hivi ? Sababu naona wanapita nyayo za Wanaharakati na Wanasiasa.

Wao kama nani mpaka waongee na Hawa wengine wasiongee ? Usahihi wa mambo ni wao walitakiwa wasubiri majibu ya serikali baada ya kupeleka mashauri yao.

Waambieni Maaskofu waache ujinga wawe na akili timamu, watulie wasubiri muongozo toka serikalini.
Wakae kimya huku nchi inauzwa?
 
Back
Top Bottom