Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
Hata hivyo ufalme wetu sio wa dunia hii, sasa hii katiba ni ya Kaisari. Mwachieni Kaisari.
Mungu tupe hekima katika hili. Sijui wakipitisha, marufuku watu kunena kwa lugha, itakuwaje.
mimi naamini Rais Hakuyapata majina hayo, angeyapata hangeacha kuteua mtu wa Mungu kuwakilisha Taifa.
Teh teh teh!
Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!
Mbona wamekuwa wapole ghafla??
Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??
Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!
Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote
Teh teh teh!
Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!
Mbona wamekuwa wapole ghafla??
Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??
Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!
Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote
Teh teh teh!
Unajifanya kipofu sio??!
Sijawahi kuwaamini walokole hata mara moja.
Wengi wao ni waganga njaa na waongo.
Dogo nimekuuliza ulichoniitia na sio kucheka!
Kwani haya makanisa yapo mangapi tanzania?kama kila kanisa litaingia na muakilishi bungeni si itakuwa viroja,au wanazani kule bungeni watu wanaenda kuimba kwaya?
Hata mimi sijapenda,ila tuache kuwakejeli wapakwa mafuta wa Bwana.
Teh teh teh!
Mzee wa makalio makubwa!
Na mimi nimekuuliza unajifanya kipofu!?
Habarini
Hii KATIBA inaleta utofauti gani hapa tanzania?nilifuatilia kwa makini taarifa ya habari ya ITV majuzi kuhusu serikali kutoitambua dhehebu la Wapentekoste
na jana inilipitia tamko lao Wapentekoste waliolitoa
Sasa hapa naona kuna mkanganyiko wa mambo yasiyoeleweka Je ni kweli serikali wamepuuzia tamko la wapentekoste ambalo walisema kuwa walishatuma majina ya kuwakilisha bungeni kuhusu bunge la katiba?
Je nini kiko nyuma ya pazia kati ya Serikali na Wapentekoste?kwanini serikali haitambui uwepo wa wapentekoste hapa TZ?Kwanini serikali inawanyima haki hawa maaskofu ili nao inabidi wawepo bungeni kwa ajili ya kuwakilisha washirika wao?Na kwanini serikali ifanye upendeleo wa kuwapeleka wengine nahawa kuwaacha? hivi kuna nini nyuma ya paizia?
KATIBA+ SERIKALI+WAPENTEKOSTE=????
Nina wasiwasi na uongozi mzima wa Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania... kama mlioneana wivu katika kuchaguana nani awe na nani asiwe hiyo itakuwa imekula kwenu.....Kwa kukubali yaishe Maaskofu nyinyi mtakuwa hamjawatendea haki wafuasi.... hapa lazima kuna mkono wa uzembe mlioufanya katika uongozi wenu..la sivyo itabidi miongoni mwenu mjiuzuru maana hamkuwajibika na sasa mnaitumia biblia visivyo.... acheni kuwa waoga semeni kila kitu... kwa kuwa mkisema kweli kweli hiyo itawaweka huru nanyi mtakuwa huru kweli kweli.... waoga wote sehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto na kibiriti.....
Its over,
Pentecoste let it go,
Besides hata sisi answar sunnah tulipeleka yetu lakini hayajachaguliwa,tena bora hayachaguliwa,kwa maana naona hao waliochaguliwa washaanza kulalama posho haitoshi,na CCM keshaweka mkono wake hapo,hata mngekwenda mngejidhalilisha tuh
Nendeni mkaendelee na ibada zenu tuh,forget about it.