Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

Tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste (PCT) kumjibu Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi

imeandikwa yeyote akayelitaja au kumsema vibaya roho wa Mungu ajue hatasamehewa
hivyo kidogo hapo rangi ya blue rekebisha mkuu
Hata hivyo ufalme wetu sio wa dunia hii, sasa hii katiba ni ya Kaisari. Mwachieni Kaisari.
Mungu tupe hekima katika hili. Sijui wakipitisha, marufuku watu kunena kwa lugha, itakuwaje.
 
aliyapata sema amekalia mpini ndo mana
anajifanya haoni kumbe anaona sana
hiyo yote ni kumlizisha mungu wao wa dunia ya tz


mimi naamini Rais Hakuyapata majina hayo, angeyapata hangeacha kuteua mtu wa Mungu kuwakilisha Taifa.
 
huo ni mtazamo wakko
kwa taarifa yako biblia inatumika yote
hakuna kinachosazwa hapo hivyo kuwa
makini unaposema kitu hadharani halaikini

Teh teh teh!

Hawa wanaonekana washakatiwa kidogo dogo!

Mbona wamekuwa wapole ghafla??

Halafu Agano la kale sikuzote hawataki kulitumia! Iweje lea kwenye hii issue watuletaa mambo ya walawi hapa!??

Hebu ngoja tuwaulize hawa waparoko wengine! Huenda wakawa na habari nyeti!

Cc matumbo mgen Nyenyere Cureone 2013 Eiyer Remote
 
Habarini

Hii KATIBA inaleta utofauti gani hapa tanzania?nilifuatilia kwa makini taarifa ya habari ya ITV majuzi kuhusu serikali kutoitambua dhehebu la Wapentekoste
na jana inilipitia tamko lao Wapentekoste waliolitoa

Sasa hapa naona kuna mkanganyiko wa mambo yasiyoeleweka Je ni kweli serikali wamepuuzia tamko la wapentekoste ambalo walisema kuwa walishatuma majina ya kuwakilisha bungeni kuhusu bunge la katiba?

Je nini kiko nyuma ya pazia kati ya Serikali na Wapentekoste?kwanini serikali haitambui uwepo wa wapentekoste hapa TZ?Kwanini serikali inawanyima haki hawa maaskofu ili nao inabidi wawepo bungeni kwa ajili ya kuwakilisha washirika wao?Na kwanini serikali ifanye upendeleo wa kuwapeleka wengine nahawa kuwaacha? hivi kuna nini nyuma ya paizia?

KATIBA+ SERIKALI+WAPENTEKOSTE=????
 
Pamoja na yote yaliyotokea bado mpango wa Mungu uko pale pale Mungu awahi wala achelewi.Njia za Mungu zipo juu sana na wala hazichunguziki.Pale ambapo shetani anadhani amemshinda Mungu bila kujijua anatekeleza mpango wa Mungu.Pengine hili limejitokeza ili wakuu wetu wa PCT mjifunze kuwa hakuna sababu ya kujipendekeza kwa Mfalme na kuacha kuikemea dhambi yake.Kama kungelikuwa na utamaduni wa kukemea maovu yanayotokea kwenye Ufalme ,mfalme angelikumbuka uwepo wa nyinyi manabii wenye msimamo ama kwa mazuri au ni mabaya.Tusilaumiane.Tunayo nafasi kama PCT kutazama upya ni jinsi gani ya kushirikiana na Ufalme sawa sawa na Neno la BWANA linavyoagiza,kwa maana waoga hawataurithi kamwe Ufalme wa Mungu.
 
Tafsiri hajaikaa sawa nadhani wangetafuta neno jingine.Isitoshe nijuavyo mimi Mtikila anawawakilisha sana.
 
Nimependa jinsi HEKIMA ilivyotumika na jambo hili NAHISI lina ukweli ndani yake.
Busara ya kuepuka malumbano nimeipenda sana.
Ukweli huwa unaishi milele. Mbarikiwe, Baraza!
 
Kwani haya makanisa yapo mangapi tanzania?kama kila kanisa litaingia na muakilishi bungeni si itakuwa viroja,au wanazani kule bungeni watu wanaenda kuimba kwaya?

Makanisa yapo zaidi ya 2000, Kakobe peke yake ana makanisa zaidi ya 400.
 
Hata mimi sijapenda,ila tuache kuwakejeli wapakwa mafuta wa Bwana.

Suala si kukejeli watumishi wa Mungu,suala ni kuelezana ukweli,ili utuweke huru,nakikumbuka
vizuri jumamosi pale PTA sitaki kuamini mwisho wake ndio huu'
 
Bora wachaguane mtu na mpenzi wake kuliko watumishi wa mungu wenye misimamo yao.
 
Habarini

Hii KATIBA inaleta utofauti gani hapa tanzania?nilifuatilia kwa makini taarifa ya habari ya ITV majuzi kuhusu serikali kutoitambua dhehebu la Wapentekoste
na jana inilipitia tamko lao Wapentekoste waliolitoa

Sasa hapa naona kuna mkanganyiko wa mambo yasiyoeleweka Je ni kweli serikali wamepuuzia tamko la wapentekoste ambalo walisema kuwa walishatuma majina ya kuwakilisha bungeni kuhusu bunge la katiba?

Je nini kiko nyuma ya pazia kati ya Serikali na Wapentekoste?kwanini serikali haitambui uwepo wa wapentekoste hapa TZ?Kwanini serikali inawanyima haki hawa maaskofu ili nao inabidi wawepo bungeni kwa ajili ya kuwakilisha washirika wao?Na kwanini serikali ifanye upendeleo wa kuwapeleka wengine nahawa kuwaacha? hivi kuna nini nyuma ya paizia?

KATIBA+ SERIKALI+WAPENTEKOSTE=????


Hakuna haja ya kuumiza kichwa. Kwa wenye uzoefu na kumbukumbu wanajua kuwa hakuna kitu serikali ya CCM imewahi kufanya vizuri bila kasoro. Hakuna! Pia kwa wanojua kufikiria kwenda mbele kwa sasa wanajua kuwa serikali or CCM will stop at nothing inapofika kutetea maslahi ya matumbo yao na ya "waliowapeleka"

Vinginevyo ni wengi tunaokubaliana kuwa CCM inafanya kila linalowezekana, bila haya wala kujali chochote, including maisha yetu Watanzania, kuhakikisaha katiba inayozaliwa ni mbaya kuliko ya sasa, yenye kuwapa wao nafasi zaidi na itakayokandamiza zaidi haki za wanyonge wengi zaidi ya ilivyo sasa.

kuna haja ya kutafuta majibu ya lolote hapo? siyo kwa wapentekoste, hapana, hii ni kwa wananchi wote. Kama mna wasi wasi kaeni mshangae.
 
Kuna mwakilishi wa wanga tu, lakini wapentekosite wameliwa.
 
Nina wasiwasi na uongozi mzima wa Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania... kama mlioneana wivu katika kuchaguana nani awe na nani asiwe hiyo itakuwa imekula kwenu.....Kwa kukubali yaishe Maaskofu nyinyi mtakuwa hamjawatendea haki wafuasi.... hapa lazima kuna mkono wa uzembe mlioufanya katika uongozi wenu..la sivyo itabidi miongoni mwenu mjiuzuru maana hamkuwajibika na sasa mnaitumia biblia visivyo.... acheni kuwa waoga semeni kila kitu... kwa kuwa mkisema kweli kweli hiyo itawaweka huru nanyi mtakuwa huru kweli kweli.... waoga wote sehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto na kibiriti.....

Uzembe juu ya nini? Ulitaka Maaskofu waandamane kuishinikiza Serikali? Dini na Madhehebu mengine inawezekana sio PCT, "Vita vyetu si vya damu na nyama"

PCT haiwezi kuweka mashindano na Serikali, PCT is not a political party, ila wao serikali wanajua ukweli upo wapi na wanajua ukweli wa madai ya PCT

PCT imetengwa sehemu mbali mbali.

......Niishie hapo huko mbele nitakuwa nachochea
 
Its over,

Pentecoste let it go,

Besides hata sisi answar sunnah tulipeleka yetu lakini hayajachaguliwa,tena bora hayachaguliwa,kwa maana naona hao waliochaguliwa washaanza kulalama posho haitoshi,na CCM keshaweka mkono wake hapo,hata mngekwenda mngejidhalilisha tuh

Nendeni mkaendelee na ibada zenu tuh,forget about it.

Kundecha sio answar sunnat?? Njovu sio answari?? mpewe nn mridhike nyie!?
 
Back
Top Bottom