Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Wanachokifanya TBC miaka yote ni sahihi?
Mnataka Mbowe aombe radhi kwani amemkosea nani?
Mnataka Mbowe aombe radhi kwani amemkosea nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wooi tangu Mzee Pombe aingie madarakani hutapati air time yoyote na maisha yanaendelea.Taarifa zenu zitaishia pale kwenye viunga vya ufipa basi!
Wafuate!Sijaisoma lkn TBC wanapaswa kifuatwa kufuatwa studioni kwao na kupigwa. Huyo anaye watetea anatumika kama kondomu
Na bado hadi 2025 mtalia sana.wooi tangu Mzee Pombe aingie madarakani hutapati air time yoyote na maisha yanaendelea.
Siwezi lisemea hilo la Azory kwakuwa silijui,ila kiukweli kabisa akuna serikali duniani isiyo uwa,iwe kwa utaratibu ama nje ya utaratibu.yes ndiyo maana mpaka leo Azory Gwanda amepotezwa kwa kosa la kufatilia matukio ya Kibiti.
Magufuli ni 'mkinzani' mkuu wa vyombo vya habari na ndio maana vinapotoa taarifa asiyoipenda anavipiga 'bani' ya nguvu na mizengwe juu.Mbowe ni adui mkubwa wa vyombo vya habari.
walikuwa wanafanya nini mkuu? hebu elezea maana unaweza ukawa hata hujui kinachoendelea ila umecoment tu kama wanao dai katiba ibadirishwe lakini ukiwauliza wabadirishe ibara gani hawajuiYaliyokuwa yanafanywa na TBC1 yalikuwa mazuri?
Mbowe ni adui mkubwa wa vyombo vya habari.
aani mnajidanganya kwakweli hivi mnakuwaga serious kusema lissu atashinda au mnafurahisha tu watu?Cdm hatuna cha kupoteza kwenye hili. Na hao hao makanjanja wajiandae siku mh Lissu akisha apishwa.
Zaidi ya miezi 6 Chadema wanalalamika TBC kurusha habari za upande mmoja,sasa walipoanza kurekebisha makosa na kuja kuanza kurusha habari za Chadema sasa mnawafanyia vurugu,mnataka kupora na camera,yani sijui msaidiweje.Kwani kawaomba mlipoti habari zake?
TBC ndio nguli wa habari nchini huwezi kuwatimua kizembezembe vile!
yaani washukuru hawakufanyiwa fujo na wahuni wenzao wa chadema yaani huo mkutano ungefumuliwa vibayaZaidi ya miezi 6 Chadema wanalalamika TBC kurusha habari za upande mmoja,sasa walipoanza kurekebisha makosa na kuja kuanza kurusha habari za Chadema sasa mnawafanyia vurugu,mnataka kupora na camera,yani sijui msaidiweje.
Kwaiyo ukivunja sheria unataka uachwe?Magufuli ni 'mkinzani' mkuu wa vyombo vya habari na ndio maana vinapotoa taarifa asiyoipenda anavipiga 'bani' ya nguvu na mizengwe juu.