Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

Kardinali Pengo kweli ana "PENGO" katika akili yake. Yule mzee ni aibu kua kiongozi wa dini.
 
Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4.

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema Makonda ni mmoja wa viongozi majasiri wanaofaa kuwa warithi wa Magufuli hapo baadaye!

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alitoa hiyo "reckless statement " bila kuzingatia mwenendo wa Makonda katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya 5 na hisia za jamii pana juu yake!

Leo mtu tuliyeambiwa na Mhashamu Baba Kadinali Pengo kuwa anafaa kuwa mrithi wa Magufuli ,Marekani wana m- Brand kama mtu asiyependa kuishi kwa watu wengine, yaani kwa maneno rahisi ni sawa na kusema ni "Muuaji" !

Mimi kama Mkatoliki napata wasiwasi isijekuwa baadhi ya Viongozi wetu wa Dini hapa Nchini hawana tofauti na Viongozi wa Dini pale Uganda waliomkumbusha Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa hakuzaliwa 1943 bali alikosea alizaliwa 1947 ili tu apate uhalali wa kugombea Urais comes 2021!
Kama wewe ni mkatoliki basi, Pole sana, Katoliki ni moja ya satanic institutions kubwa hapa Duniani Kama tu ilivyo Waislamu, ndo maana wapumbavu Kama Pengo na magaidi ya Islamic state unawaona huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4.

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema Makonda ni mmoja wa viongozi majasiri wanaofaa kuwa warithi wa Magufuli hapo baadaye!

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alitoa hiyo "reckless statement " bila kuzingatia mwenendo wa Makonda katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya 5 na hisia za jamii pana juu yake!

Leo mtu tuliyeambiwa na Mhashamu Baba Kadinali Pengo kuwa anafaa kuwa mrithi wa Magufuli ,Marekani wana m- Brand kama mtu asiyependa kuishi kwa watu wengine, yaani kwa maneno rahisi ni sawa na kusema ni "Muuaji" !

Mimi kama Mkatoliki napata wasiwasi isijekuwa baadhi ya Viongozi wetu wa Dini hapa Nchini hawana tofauti na Viongozi wa Dini pale Uganda waliomkumbusha Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa hakuzaliwa 1943 bali alikosea alizaliwa 1947 ili tu apate uhalali wa kugombea Urais comes 2021!
Ndege wa mbawa moja huruka pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kila anachosema USA ni sahihi? Marekani anaangalia maslahi yake popote pale, kiukweli dunia hii kuna wauwaji wengi na wakubwa kuliko mnavyofikiria, mbona huyo mmarekani hamkemei Israel anavyoua wapalestina? Lazima mkubali hapa suala kubwa ni la ushoga, wameshindwa kuleta vilainishi vyao vya kuendeleza ushoga wanadai Makonda ni muuaji, they are shitholes kabisa, wameharibu Libya, Iraq, Syria na mataifa mengine kwa maslahi yao na huko kote kuna wauaji wakubwa mbona hawajawazuia, pumbavu sana hawa Marekani, wanadhani dunia hii ni yao? Juzi wamemuua Generali wa Iran na Trump katangaza hadharani kuwa ndie aliyeamuru auwawe kwa tuhuma zisizothibitishwa, sasa nani muuaji hapa, pumbavu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na US nani mpumbavu?
Hapo ulipo umevaa madaso ya US, unapanda ndege zao, unatumia dola zao, Benk ya Dunia mnayolilia mpewe mikopo ni ya kwao, wewe ndo pumbavu usiyejitambua .
Tumieni vitu vyenu Kama ungo wa kichawi na maujinga jinga yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi karibuni tu Paul Makonda akiwa amewaita viongozi mbalimbali wa dini pale Julius Nyerere Convection Center kuwafundisha na kuwahabarisha kuhusu " maajabu" aliyofanya Mheshimiwa Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli kwa kipindi cha miaka 4.

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alisikika akisema Makonda ni mmoja wa viongozi majasiri wanaofaa kuwa warithi wa Magufuli hapo baadaye!

Mhashamu Baba Kadinali Pengo alitoa hiyo "reckless statement " bila kuzingatia mwenendo wa Makonda katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya 5 na hisia za jamii pana juu yake!

Leo mtu tuliyeambiwa na Mhashamu Baba Kadinali Pengo kuwa anafaa kuwa mrithi wa Magufuli ,Marekani wana m- Brand kama mtu asiyependa kuishi kwa watu wengine, yaani kwa maneno rahisi ni sawa na kusema ni "Muuaji" !

Mimi kama Mkatoliki napata wasiwasi isijekuwa baadhi ya Viongozi wetu wa Dini hapa Nchini hawana tofauti na Viongozi wa Dini pale Uganda waliomkumbusha Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwa hakuzaliwa 1943 bali alikosea alizaliwa 1947 ili tu apate uhalali wa kugombea Urais comes 2021!
Pengo nabii wa uongo na mpinga kristo pale hakuna mtumishi wa mungu
 
Baadhi Ya Viongozi Wa Dini Wamejaa Ukakasi Mno
Kila Siku Wengi Wao Heshma Zao Zinashuka
 
Yaani aue hao wote chadema wawe hawajaenda mahakamani kumshitaki kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Mahakama gani

Hii inayosumbua akina mbowe wakijuwa fika

Mwangosi aliuwawa
Akwiline aliuwawa
Mawazo aliuwawa

Inajuwa CAG Assad kahujumiwa

Inajuwa Lisu kahujumiwa

Inajuwa Kabendera, Tito na wenzake wanahujumiwa

Are you kidding?
 
Kwani kila anachosema USA ni sahihi? Marekani anaangalia maslahi yake popote pale, kiukweli dunia hii kuna wauwaji wengi na wakubwa kuliko mnavyofikiria, mbona huyo mmarekani hamkemei Israel anavyoua wapalestina? Lazima mkubali hapa suala kubwa ni la ushoga, wameshindwa kuleta vilainishi vyao vya kuendeleza ushoga wanadai Makonda ni muuaji, they are shitholes kabisa, wameharibu Libya, Iraq, Syria na mataifa mengine kwa maslahi yao na huko kote kuna wauaji wakubwa mbona hawajawazuia, pumbavu sana hawa Marekani, wanadhani dunia hii ni yao? Juzi wamemuua Generali wa Iran na Trump katangaza hadharani kuwa ndie aliyeamuru auwawe kwa tuhuma zisizothibitishwa, sasa nani muuaji hapa, pumbavu zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

MKuu unataka data au unataka nini ?
hivi unamjua huyo generali kweli au unasimuliwa tu ?
 
Back
Top Bottom