Kwani kila anachosema USA ni sahihi? Marekani anaangalia maslahi yake popote pale, kiukweli dunia hii kuna wauwaji wengi na wakubwa kuliko mnavyofikiria, mbona huyo mmarekani hamkemei Israel anavyoua wapalestina? Lazima mkubali hapa suala kubwa ni la ushoga, wameshindwa kuleta vilainishi vyao vya kuendeleza ushoga wanadai Makonda ni muuaji, they are shitholes kabisa, wameharibu Libya, Iraq, Syria na mataifa mengine kwa maslahi yao na huko kote kuna wauaji wakubwa mbona hawajawazuia, pumbavu sana hawa Marekani, wanadhani dunia hii ni yao? Juzi wamemuua Generali wa Iran na Trump katangaza hadharani kuwa ndie aliyeamuru auwawe kwa tuhuma zisizothibitishwa, sasa nani muuaji hapa, pumbavu zao.
Sent using
Jamii Forums mobile app