Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

Sijui Ben yuko wapi hatujawahi kutangaziwa. Lissu sijui alipigwa na nani ila ninachojua ni kibaraka wa mabeberu!

Wewe kibaraka wa makonda ngoja mkomeshwe
 
Kwa miaka yote ambayo Pengo amekuwa ni Askofu Mkuu wa Dsm na Kardinali, kumekuwa na Pengo kubwa ndani ya Jimbo Kuu la Dsm.

Hivyo basi, kustaafu kwa Mhashamu Askofu Pengo kama Archbishop wa Jumbo Kuu la Dsm hakujaacha Pengo lolote ndani ya Uongozi wa Jimbo hilo.
 
Chadema mnajua alipo Ben
Screenshot_20200201-212750.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom