Tamko la Mark Pompeo (US Secretary of State) dhidi ya Paul Makonda ni aibu sana kwa Mhashamu Baba Kadinali Pengo!

kwa hiyo ndo sababu walizosema US. usiwe unaandika kama mjinga . Jaribu kuwa na fikra kdg
Wewe ndo mjinga! ,unafikiri kimakondamakonda! Statement ya Mark Pompeo inasema ," flagrant denial of the right to life"! Unadhani wote tulipata F F F F F F F F F kama wewe?!.
 
Mimi ni m RC ila pengo nshamkataa kitambo sana
 
Habari bila picha hainogi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba wa Chattle kàwajibu US, hongera sana jembe! Hakuna kurudi nyuma, marekani kitu gani bhana?? Hata kupandikiza watoto tutafanyia china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
good
 
Ficha
Ficha ujinga wako, ushoga si sababu ya kupigwa ban, bali kutopenda wenzake waishi " uuaji" ! Yuko wapi Ben Saaabane, Yuko wapi Azory Gwanda ,Yuko wapi Simon Kanguye ,Je ni na ni alitaka kumuua Tundu Lissu?! Ujinga wako wewe usilazimishie watu!
Una uhakika gani kama Makonda anahusika na upoteaji wa hao uliowataja? Yaani kwa kuwa jambo limesemwa na USA ndio unachukulia sahihi, ipo siku atakwambia kwenu sio Tz ni Colombia utasema 'kumbe kweli eeh'

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kanisa Katoliki ni wakala wa shetani Pengo is INTRINSICALLY EVIL!
 
MKuu unataka data au unataka nini ?
hivi unamjua huyo generali kweli au unasimuliwa tu ?
Mbona ya Iraq, Libya na Syria husemi? Marekani kampiga Iraq baada ya kumpekua akidai anatafuta silaha za maangamizi, baada ya kubaini hana silaha hizo angalia alichofanya, Baraka Obama amekiri hadharani kwenye utawala wake kosa kubwa alilofanya ni kumuondoa Gaddafi pale Libya na anajutia sana hill, mbona hayo huulizi? Huyo Generali wa Iran aliyeuwawa hizo data unazotaka kuzitoa hapa ni za kutoka kwa haohao USA, hizo no propaganda za kawaida kabisa hapa Duniani, kwani hujui juzi tu Iran alivyovurumisha kombora lake kule kwenye kambi ya kijeshi ya USA iliyopo Iraq, Trump alisema hakuna askari wake hata mmoja aliyejeruhiwa, je ushasikia kwamba tayari askari sitini wa USA walijeruhiwa? Hizo ni habari za jana tu na pengine tutasikia Vifo, haiwezekani wajeruhiwe sitini halafu asife hata mmoja, hizo ni propaganda, Marekani ndiye anayeiviruga hii Dunia ndugu, tambua hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mashoga tunao nchini tangu enzi na mmojawapo amewahi kuwa rais na gavana wa jiji kuu naye ni shoga
 
Acheni ujinga
Mbona hamuulizi
Ben sanane
Azory Gwanda
Akwiline
Mwangosi
Ally Zona
Alphonce mawazo

Achilia mbali waliopotea nakuteswa
Hawa wote wamepotezwa na Makonda&Co
 
Kwa hiyo yeye kuzuiwa sababu ya kupinga mashoga wewe unafurahi. Hivi utapenda mtoto wa kiume aliwe tako
Mwaka Jana raisi wa Malawi mutharika aliwafunga wapenzi wa jinsia moja na mpaka leo anasafiri kwenda marekani na ulaya sasa inakuaje Kwa MAKONDA ambaye alitoa Tu tamko juu ya mashoga?
Kama ulikuwa hujui basi MAKONDA amepigwa pin Kwasabb ya mauaji aliyofanya
 

Hebu tuambie haya mawili tu kama upo sawa kichwani

1. Ben sanane yupo wapi?

2. Nani alimpiga malisasi lukuki Lisu
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya viongozi wa dini, viongozi wa kiimani na viongozi wa kiroho...
Hakika huyo Pengo alikuwa ni kiongozi wa dini... Hana faida yoyote kwa waumini wake kiimani wala kiroho..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…