TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

Dogo tumechoka kuheshimiana ee...!!?? ohooo.... utalia... nani anachokinena...!?

Afu wee mdingi usinitishe hapa. Kuna kitu unatafuta.

Hayo yooote yatakupata usipoacha tabia zako m/mkiti.

Kumbuka hapa Arusha hivi vitu kila bilionea anavyo.
 
Hii nimemfowardia Uhuru Kenyatta, jiandae...
 
Tangu ulipohama Buguruni Mnyamani ukahamia Planet Mubiru umeharibika sana arif. Au nikupe kitu cha arachuga uchangamshe medula oblangata mkuu?
 
Kule Buguruni waliniboa baada ya kusitisha show za muziki pale Makirikiri pub afu wakapandisha bei ya bia nikaona isiwe taabu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…