TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

Mimi nilishasema Erickb52 ni mvuta bangi mkanibishia, yeye anajifanya wanawake wengi kawapitia wakati nasikia kikojoleo chake kiko kama mlenda. Hawezi kuniwekea vikwazo kwenye ndoa yangu halafu ajifanye eti ameiapprove. Huyu dogo anafaa kutupwa baharini akaokotwe na papa na nyangumi wakamlee
 
Last edited by a moderator:
Mie sijambo wangu, afu nimekumiss sana ujue, nimerudi toka Singida juzi nikiwa na mihela ya vitunguu... nakutafuta sana aisee...

hizo ni kidogo sana labda ukatafute za unga ndo utanipata teh teh teh missing you too
 
Kazi kwaza aisee.... si mmemskia Vin Diesel eti anatangaza kuleta uasi....
Baba V

“On War” ni kitabu kilichoandikwa na Clausewitz wa Ulaya.kitabu ambacho kinanipa mbinu nyingi za kisasa za kijeshi,Mawazo ya mbinu na falsafa iliyoko kwenye maandiko hayo yanatumika sana katika maeneo mbalimbali yakiwemo ya kijeshi, kisiasa na kiuchumi hivyo Vin Diesel asijidanganye kwa lolote. Heaven on earth nasubir muongozo.




 
Last edited by a moderator:
hizo ni kidogo sana labda ukatafute za unga ndo utanipata teh teh teh missing you too

Mmmmhh.. unataka wani masogange mtoto wa mwenzio eeeehh...!? taratibu bibie mwenzio nategemewa we....... :A S-cry:
 
Mmmmhh.. unataka wani masogange mtoto wa mwenzio eeeehh...!? taratibu bibie mwenzio nategemewa we....... :A S-cry:

kama unajua unategemewa kwanini unatumbua mimacho nje?
 
DEMBA nakuona unachungulia tu hapo chini..... vipi?
 
Last edited by a moderator:
kama unajua unategemewa kwanini unatumbua mimacho nje?

Wacha kabisa, Moyo una nguvu sana bibie, ndo maana watu wanajikuta hadi wameahidi kuhonga bahari,,.... wacha kabisa ile kitu ile...:glasses-nerdy:
 
Wacha kabisa, Moyo una nguvu sana bibie, ndo maana watu wanajikuta hadi wameahidi kuhonga bahari,,.... wacha kabisa ile kitu ile...:glasses-nerdy:

ushide ulimwengu,vizuri kamwe haviishi ila ww ndo utaisha
 
usiwatishe bana kha!!!

Sitishi mtu hapa,nasema kweli tupu.

utabaki mwenyewe shauri yako!!!!

Sasa wewe usipokuwa nami nani atakuwa nami kwenye hili zoezi

bw mdogo jionee huruma, subiri ufikishe japo watoto watatu ili hata ukianza kuota ndoto za uasi itatushawishi kukuonea huruma.

Watoto nina 9...na vijana ni taifa la leo...tumechoka kuburuzwa na wazee hawa

Kazi kwaza aisee.... si mmemskia Vin Diesel eti anatangaza kuleta uasi....

Mie naunga mkono maasi yaliyoanzishwa na Erickb52....
 
Last edited by a moderator:
safi tu mwenyekiti nimeshindwa niseme nini baada ya kuona kwamba Heaven on earth ndio kamanda anayeongoza brigade wakati mtu mwenyewe kutwa anabadilisha wanaume kama nguo huo ukamanda ataufanya saa ngapi?
DEMBA
ataufanya tu,majukumu yakiwa mengi atakosa muda wa kwenda badilisha wanaume kama nguo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…