TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

Baba V,mimi nataka kuoa mwanamke kutoka chit chat humuhumu je nimuone nani?anisaidie kumpata?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ukisema wewe sitii neno,halafu nasikia jana Chocs kamfumania Erickb52 na nke ya jirani,jamaa kala kibondo mpaka kiuno kimeteguka,eti mwenyekiti pheeeeeewwww!!!!!
Hahahaha Bishanga una majungu wewe sikuwezi!!

Nshakuuliza kwangu unataka nini husemi lakini kwa uzushi na kunisarandia hujambo!
 
Last edited by a moderator:
I have entrusted you with great responsbilities of protecting chit chat against rebels like Vin Diesel, when you start hugging and cuddling the rebel you leave me like.............!!!!''????..

Nimekoma Baba V......maana ukiongeaga kimombo hapo najua lolote baya laweza kutokea....

Nisamehe mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
Baba V,mimi nataka kuoa mwanamke kutoka chit chat humuhumu je nimuone nani?anisaidie kumpata?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mwekundu ndoa ni mapatano baina ya wawili wapendanao, wewe tafuta mchumba humu , kubalianeni then njooni kwangu nitatia muhuri maagano yenu..
 
Last edited by a moderator:
naona kuna line of Separation.......tuvumiliane kwa sasa hadi mapinduzi yakwishe

Mwambie tu, hadi atambue kuwa hatma yake kwako iko mikononi mwangu, akitaka alie aendelee kujifanya muasi...
 
Back
Top Bottom