TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

Kamanda Slave na vikosi vyako naomba ukae tayari kwa 70% muda wowote naweza nikatoa amri ya kwenda kufanya kazi, Hii itakuwa operesheni maalumu na nitamuomba Heaven on earth akae kando asije leta mambo ya Ngoswe...

saluti mkuu,tayari vijana nimewapanga,nakuhakikishia lolote halitotokea kwani mchezo mzima tutaucheza kifundi kwa style ya draft
 
saluti mkuu,tayari vijana nimewapanga,nakuhakikishia lolote halitotokea kwani mchezo mzima tutaucheza kifundi kwa style ya draft

Nakuaminia kamanda wangu... Nina uhakika mambo yatanyooka..
 
Kijana nimekupa muda wa kuweka Silaha chini naona bado unajizungusha zungusha tu.. jiangalie... itakula kwako..

Nitaweka silaha chini nikiona Kiongozi wa uasi kaanza yeye...

Do you still have the guts to stand against me...!? check it out, once I apply a "winner takes it all" method you'll be the one to woe endlessly.. I'm counting down..

Maybe you will be triumph....butyour vict ory will last short....mark my words old man
 
Baba V umesomeka!
Naona umedhibiti ghorofa zote 4 (wastegate malls)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom