TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

Mie tena First Lady wenu!
Nishashona Bazee kwa ajili ya kuingia nalo Ikulu 2015.
Bishanga, wewe utakuwa Bodyguard wa mme wangu.

Hak'yanani ukiingia Ikulu wewe....! patageuka uwanja wa Rusha roho 24/7
 
Last edited by a moderator:
Nitaugeuza wimbo wa Taifa uwe Taarab.

Na kama huyu jamaa anavyowaalika mateja na wasanii, na wewe utakuwa unaalika mashangingi wa Kinondoni na mashoga zako wa Mwananyamala kila wkend...!! Tutakoma wallah..!
 
Na kama huyu jamaa anavyowaalika mateja na wasanii, na wewe utakuwa unaalika mashangingi wa Kinondoni na mashoga zako wa Mwananyamala kila wkend...!! Tutakoma wallah..!

Umtue my Hazband.
Muache ajenge nchi kwa udi na uvumba.
 
I have entrusted you with great responsbilities of protecting chit chat against rebels like Vin Diesel, when you start hugging and cuddling the rebel you leave me like.............!!!!''????..

Wewe Mwenyekiti fake... Heaven on earth is my wife,respect that....na kwa taarifa yako she is there on a classified mission...
 
Last edited by a moderator:
Ndoa yetu haitetereshwi na mapinduzi ya kijeshi...usiogope

Kijana nimekupa muda wa kuweka Silaha chini naona bado unajizungusha zungusha tu.. jiangalie... itakula kwako..
 
Wewe Mwenyekiti fake... Heaven on earth is my wife,respect that....na kwa taarifa yako she is there on a classified mission...

Do you still have the guts to stand against me...!? check it out, once I apply a "winner takes it all" method you'll be the one to woe endlessly.. I'm counting down..
 
Last edited by a moderator:
naona hajui huyu DEMBA

Kamanda Slave na vikosi vyako naomba ukae tayari kwa 70% muda wowote naweza nikatoa amri ya kwenda kufanya kazi, Hii itakuwa operesheni maalumu na nitamuomba Heaven on earth akae kando asije leta mambo ya Ngoswe...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom