Baba V,mimi nataka kuoa mwanamke kutoka chit chat humuhumu je nimuone nani?anisaidie kumpata?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
I have entrusted you with great responsbilities of protecting chit chat against rebels like Vin Diesel, when you start hugging and cuddling the rebel you leave me like.............!!!!''????..
nipo hapa mama watoto.....
Kaizer nimekumiss saaaaaana.......mbona network yako siku hizi haisomek
Madame B nakuona unachungulia tu hapo, tia neno.
Baba V,mimi nataka kuoa mwanamke kutoka chit chat humuhumu je nimuone nani?anisaidie kumpata?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu Ben Saanane maanadalizi ya kutinga magogoni yanaendeleaje mtarajiwa?
Madame B ushaanza kushona suti?
Mie nipo na laazizi wangu Ben Saanane.
Twa-enjoy maisha.
Akikuvizia na wewe unampa kweli... japo kidogo...!
Kuwa mpole kijana......mpaka huu upepo wa mapinduzi fake uishe