Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mungu mwema wa mbinguni. Huyu Lu-ma-ga naomba afiwe mke, baba, na hata mama yake mzazi . Tuone kama atamsubiri huyo waziri mkuu au waziri mwenye dhamana amtangazie huo msiba !!. Watu mnajikomba mpaka mnatia aibu utu wenu.Hata kama mlifanya utafiti majibu yenu mlipaswa kupeleka kwa waziri ambaye ndiyo msemaji wa masuala ya Afya ya watanzania. Vinginevyo tunarudia kuwaambia tiini mamlaka, bila hivyo mtaonekana wafanya fujo
Hoja, siyo mtu !!. Huko kwenye vipi ?!Unamfahamu Kitima vilivyo? Unayajua madudu aliyofanya SAUT Mwanza? Au unadhani kwa sababu yeye ni padre basi amekuwa mtakatifu hana mapungufu? Unaijua bussiness aliyokuwa anaifanya na CRDB pale SAUT? The motive behind unajua?
Mara useme umefundisha kanuni ya OPHETA kama mwalimu wa Sekondari, ghafla umegeuka unasema wewe ni mwalimu wa Sumbawanga Primary School.
Padre alikiuka muongozo wa nchi kuhusu itifaki ya utoaji taarifa kuhusu ugonjwa wa UVIKO. Tiini mamlaka za nchi kwa maana nazo zimetoka kwa MUNGU WA MBINGUNI
Msingi wa kukemea CHADEMA ni ushahidi nilio nao.Mwisho nakuona ukiwakemea Cdm kuchakachua utaratibu. Lakini sikuoni ukiilaani system kuendesha uchaguzi wa hovyo kabisa kutokea duniani !!. Sijui ni kunguru muoga ?!
Badala ya kuongelea ukweli niliousema unaongelea kwa nini nimesema ukweli huo.Hapa umesema ukweli, na sina tatizo na huu ukweli wako, ila umeamua kusema ukweli sasa dhidi ya cdm kwakuwa tu sasa ww ni Covid 19, na hufaidiki tena na cdm bali na mfumo.
Kauli kwamba "wengi wetu ...tumeona kwa macho yetu" haina mashiko.wengi wetu uhuni na uhayawani ule wakati wa uchaguzi mkuu tumeuona kwa macho yetu. Na hata cdm wakiweka huo ukweli unaosema, chombo gani kitaongea kwa huyu mlevi wa madaraka?
umeamua kusema ukweli sasa dhidi ya cdm kwakuwa tu sasa ww ni Covid 19, na hufaidiki tena na cdm bali na mfumo.
Badala ya kuongelea ukweli niliousema unaongelea kwa nini nimesema ukweli huo.
This is a tangential argument.
Ishia hapo.
Anzisha bandiko linalojitegemea juu ya topiki hii ya COVID19 plzHuo ukweli ulianza juzi ulipokuwa covid 19?
Topic closed.Wakala gani labda, hao waliotishiwa kupotezwa na kuharibiwa shughuli zao za kuwaingizia vipato? Haya tuliyoona kwa macho hatuhitaji yawe na mashiko kwako, maana hata yakiwa na mashiko kwako utafanya nini.
Anzisha bandiko linalojitegemea juu ya topiki hii ya COVID19 plz
Ndugu, utii kwa Askofu wako bila shurti ni wajibu!Ww mwenyewe ndiye muanzisha huu uzi na bado umechanganya mada, itakuwa mimi?
Topic closed.
Anzisha bandiko linalojitegemea juu ya topiki hii ya COVID19 plz
Ndugu, utii kwa Askofu wako bila shurti ni wajibu!