Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

Shtuka mkuu Mbowe n tapeli Kama CCM tu

Tofauti yao n vyama tu

Tusiabudu watu Bali tujenge mising imara ya nchi yenye kuweza kuwawajibisha viongoz wanapokosea

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Alikutapeli Nini?. Unajaribu kumweka Mbowe na CCM Kwenye kapu moja ili kuhalalisha ujinga. Juzi hapa mlimuita gaidi, alipotoka akakaa kimya mkasema amenywea, Jana kaongea kidogo unamwita tapeli. Huwezi kupitia robo ya misukosuko aliyopitia Mbowe , wewe unaongea umejificha lakini yeye anaongea wazi.
 
Huyu ambaye anataka kuwa rais ni kama haelewi dunia inapoenda. IPO siku hizo tozo zitamuadhibu sana na atajuta. Anadhani anakomoa kumbe anajikomoa.
Sijui atawaambia nini watu huyu Rais wa mawe siku atataka kura.
 
Kwahiyo baraza la mawaziri jana likakaaa na kutunga ufafanuzi?
 
Shtuka mkuu Mbowe n tapeli Kama CCM tu

Tofauti yao n vyama tu

Tusiabudu watu Bali tujenge mising imara ya nchi yenye kuweza kuwawajibisha viongoz wanapokosea

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unadhani CCM wako tayari kutoa hiyo nafasi kizembe ya kuwa na taassis imara? Hasa ukizingatia Watanzania wenyewe ni waoga kudai haki yao? Bora hata Mbowe anajaribu kutingisha kiberiti.
 
Back
Top Bottom