Green battle
Member
- Jun 11, 2016
- 73
- 68
Kumpata rais asie tanguliza maslah yake na familia yake kama magufuli , ni miaka 60 baadae. Lakin sio kwasasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumpata rais asie tanguliza maslah yake na familia yake kama magufuli , ni miaka 60 baadae. Lakin sio kwasasa
Watu ambao kwa mtazamo wang ninaona kabisa wanachochea mambo MEUSI ni Vyombo vya habari kuto kutoa taarifa zenye uwazi kila mtu anae sikiliza ama Kutazama ajue kinacho endelea. Chomboo cha habari kwa mfano ITV kilitakiwa kikusanye mawazo ya wananchi ambao ndo walipa kodi , sasa cha kushangaza Hakuna hata Chombo kilicho Jaribu hata kumuuliza mtanzania anaonaje swala hilo kodi kwenye mabenkWizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Tozo za bank na kwenye miamala ya simu ni DOUBLE TAXATION..Period!Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Hili jambo la Double Taxation halikubaliki,hata waje na maelezo ya namna gani.Tozo za bank na kwenye miamala ya simu ni DOUBLE TAXATION..Period!
Unanikata kodi mara mbili na zaidi halafu unaniambia utanifafanulia. Mtu anakuibia halafu anakuja na justification kwa nini alikuibia????""!!! Ni Tz pekee globally!Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Tatizo la watanzania wengi hatupo serious kwenye mambo ya msingi kama Wakenya. Wapo serious na maendeleo yao na nchi kwa ujumlaUnanikata kodi mara mbili na zaidi halafu unaniambia utanifafanulia. Mtu anakuibia halafu anakuja na justification kwa nini alikuibia????""!!! Ni Tz pekee globally!
Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Wananchi waumie wao wapande V8Tatizo sio ufafanuzi, bali ziondolewe zinampa mwananchi wa kawaida mzigo.
Hizo V8 za viongozi waziondoe ni mzigo kwa Mwananchi pia.
Bahati mbaya pesa wanazitumia kwenye anasa zao tupuKama sio kuzipunguza kwa 90% waziondoe kabisa.
Futeni tozo huyu ni ukoloni
Miradi ya maendeleo ni muhimu zaidi kuliko tutozo. Jamani tulipe kwa amani na upendo. Lakini tuwe wakali kwa watumishi wanaofuja pesa zetu na tupinge magari ya anasa V8. Ukiona V8 usisifie bali onesha kukerwa, ukiona mtumishi mwizi usimsifie bali muogope kama wezi wengine.
Hakuna shida mpaka kila akili imkae sawaKiuchumi tozo zinapokuwa nyingi purchasing power inapungua, maana income ya Raia inaenda Kwenye kulipia tozo.
Kwamba..............haaaaaa, haaaaaaaNashauri tozo ziongezwe ndio njia pekee ya kuwaamsha makondoo yaliyolala fofofo kazi kugombea jezi za Simba na Yangu, wapuuzi kabisa.
Mwigulu kamatia hapohapo mpaka mazezeta yajitambuwe.