Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

Miradi ya maendeleo ni muhimu zaidi kuliko tutozo. Jamani tulipe kwa amani na upendo. Lakini tuwe wakali kwa watumishi wanaofuja pesa zetu na tupinge magari ya anasa V8. Ukiona V8 usisifie bali onesha kukerwa, ukiona mtumishi mwizi usimsifie bali muogope kama wezi wengine.
 
Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.

Watu ambao kwa mtazamo wang ninaona kabisa wanachochea mambo MEUSI ni Vyombo vya habari kuto kutoa taarifa zenye uwazi kila mtu anae sikiliza ama Kutazama ajue kinacho endelea. Chomboo cha habari kwa mfano ITV kilitakiwa kikusanye mawazo ya wananchi ambao ndo walipa kodi , sasa cha kushangaza Hakuna hata Chombo kilicho Jaribu hata kumuuliza mtanzania anaonaje swala hilo kodi kwenye mabenk
, ikumbukwe kuna watu ambao wanapokea mishahara ambayo tayar imesha katwa kodi, halafu unaenda kutoa mshahara wako unakatwa tena kodi. Sasa unajiuliza hii kodi au n wizi?
Na nchi ina vivutio vya utalii wa kutosha , bahari, Bandari, mlima kilimanjaro, madini hizo sehem zote pesa ina kwenda wapi????
Nimesikia sikia sina uhakika kuna kiongozi alijaribu kutetea kuhusu swala hili la tozo bank amefukuzwa kazi.
 
Hata kwenye lile jambo letu lipo au halipo ufafanuzi ulitolewa, kwa hiyo hakuna jipya....
 
Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.

Unanikata kodi mara mbili na zaidi halafu unaniambia utanifafanulia. Mtu anakuibia halafu anakuja na justification kwa nini alikuibia????""!!! Ni Tz pekee globally!
 
Miradi ya maendeleo ni muhimu zaidi kuliko tutozo. Jamani tulipe kwa amani na upendo. Lakini tuwe wakali kwa watumishi wanaofuja pesa zetu na tupinge magari ya anasa V8. Ukiona V8 usisifie bali onesha kukerwa, ukiona mtumishi mwizi usimsifie bali muogope kama wezi wengine.

Tutozo ndio Nini?. Punguza dharau kabisa. Kiuchumi unapoongeza tozo na Kodi kwa wakati mmoja, unapunguza purchasing power kwa wananchi. Maana mapato yao yataenda kulipia tozo.
 
Nashauri tozo ziongezwe ndio njia pekee ya kuwaamsha makondoo yaliyolala fofofo kazi kugombea jezi za Simba na Yangu, wapuuzi kabisa.

Mwigulu kamatia hapohapo mpaka mazezeta yajitambuwe.
 
Nashauri tozo ziongezwe ndio njia pekee ya kuwaamsha makondoo yaliyolala fofofo kazi kugombea jezi za Simba na Yangu, wapuuzi kabisa.

Mwigulu kamatia hapohapo mpaka mazezeta yajitambuwe.
Kwamba..............haaaaaa, haaaaaaa
 
IMG-20220901-WA0066.jpg
 
Back
Top Bottom