MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Jamaa wanashindana kubadilisha magari ya V8 kila sikuMiradi ya maendeleo ni muhimu zaidi kuliko tutozo. Jamani tulipe kwa amani na upendo. Lakini tuwe wakali kwa watumishi wanaofuja pesa zetu na tupinge magari ya anasa V8. Ukiona V8 usisifie bali onesha kukerwa, ukiona mtumishi mwizi usimsifie bali muogope kama wezi wengine.
Nchi imejaa majangili tupuWatu ambao kwa mtazamo wang ninaona kabisa wanachochea mambo MEUSI ni Vyombo vya habari kuto kutoa taarifa zenye uwazi kila mtu anae sikiliza ama Kutazama ajue kinacho endelea. Chomboo cha habari kwa mfano ITV kilitakiwa kikusanye mawazo ya wananchi ambao ndo walipa kodi , sasa cha kushangaza Hakuna hata Chombo kilicho Jaribu hata kumuuliza mtanzania anaonaje swala hilo kodi kwenye mabenk
, ikumbue kuna watu ambao wanapokea mishahara ambayo tayar imesha katwa kodi, halafu unaenda kutoa mshahara wako unakatwa tena kodi. Sasa unajiuliza hii kodi au n wizi?
Na nchi ina vivutio vya utalii wa kutosha , bahari, Bandari, mlima kilimanjaro, madini hizo sehem zote pesa ina kwenda wapi????
Nimesikia sikia sina uhakika kuna kiongozi alijaribu kutetea kuhusu swala hili la tozo bank amefukuzwa kazi.
[emoji3064][emoji15][emoji15][emoji15]Nashauri tozo ziongezwe ndio njia pekee ya kuwaamsha makondoo yaliyolala fofofo kazi kugombea jezi za Simba na Yangu, wapuuzi kabisa.
Mwigulu kamatia hapohapo mpaka mazezeta yajitambuwe.
Anasema tozo siyo kodi ya kisheria! Kama nimemsikiza vizuri, bali mchango kwa wote kwa ajili ya kukamilisha ya mambo ya msingi.Tozo za bank na kwenye miamala ya simu ni DOUBLE TAXATION..Period!
Mbowe ni master wa siasa, kachomoa battery jana wote wametoka pangoniJamaa mzito sana kwenye siasa zetu, kama vile walikuwa wanamsubiri, na alivyokuja kwa style ya kuwalaumu watanzania kwa uoga, naona presha ndio imewapanda.haswa kuogopa watanzania wasije kuamka.
Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Waziri wa Fedha na Mipango - Dr. Mwigulu Nchemba
Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya kuunganisha nguvu kama watanzania ili tuweze kutekeleza baadhi ya mahitaji ya lazima kama madarasa, nyumba za walimu, ujenzi wa vituo vya afya, ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wa miundo mbinu ambayo yamekuwa yakekosa fedha kutokana na ufinyu wa bajeti.
Ufinyu wa bajeti umetokana na kuongezeka na majukumu ya msingi inayofanywa na serikari. Majukumu hayo ni kama miradi mikubwa kama bwawa la Mwalimu Nyerere, reli ya kisasa na maeneo mengine ni barabara, afya, elimu bure, mikopo elimu ya juu na umeme vijijini.
Kiwango cha tozo kilipunguzwa kutoka Tsh. 10,000/- mpaka Tsh. 7,000/- baada ya kupata maoni kutoka kwa watanzania kwamba tozo zimekubalika lakini zimeanzia kwa gharama ya juu sana. Lakini hii pia ikapunguzwa tena (na kwenye maeneo mengine) kutoka Tsh. 7,000/- mpaka Tsh, 4,000/- ili kuongeza wigo wa ushiriki ambapo ndiyo ilikuwa chimbuko la kwenda kwenye tozo za benki.
Nchi hii ni yetu na kila mtu yuko huru kutoa maoni akiona mambo hayaendi vizuri. Serikali imepokea maoni na itafanyia kazi swala la kutozwa mara mbili kwa fedha zinazo kuwa benki na swala la mpangaji kukusanya kodi ya jengo na kuipeleka kwenye mamlaka ya mapato badala ya mmiliki wa jengo.
Na mishahara hewa juu ililipwa bila tozo.Kabla ya kuanzidhwa kwaTozo kwenye miamala ya Benki na Simu serikali ya Tanzania ilikuwa inaendeshwaje au ilikuwa inpata wapi vyanzo vya mapato? Madarasa yalikuwa yamajengwa tenabila tozo
Mwigulu amesema Serikali imepokea maoni ya Vyama vya Wafanyakazi, Wataalam Binafsi wa Masuala ya Kodi pamoja na Tafiti mbalimbali ikiwemo ya TWAWEZA kuhusu kutozwa Mara Mbili kwenye miamala ya Benki na Simu na itatoa uamuzi hivi karibuni.Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Waziri wa Fedha na Mipango - Dr. Mwigulu Nchemba
Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya kuunganisha nguvu kama watanzania ili tuweze kutekeleza baadhi ya mahitaji ya lazima kama madarasa, nyumba za walimu, ujenzi wa vituo vya afya, ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wa miundo mbinu ambayo yamekuwa yakekosa fedha kutokana na ufinyu wa bajeti.
Ufinyu wa bajeti umetokana na kuongezeka na majukumu ya msingi inayofanywa na serikari. Majukumu hayo ni kama miradi mikubwa kama bwawa la Mwalimu Nyerere, reli ya kisasa na maeneo mengine ni barabara, afya, elimu bure, mikopo elimu ya juu na umeme vijijini.
Kiwango cha tozo kilipunguzwa kutoka Tsh. 10,000/- mpaka Tsh. 7,000/- baada ya kupata maoni kutoka kwa watanzania kwamba tozo zimekubalika lakini zimeanzia kwa gharama ya juu sana. Lakini hii pia ikapunguzwa tena (na kwenye maeneo mengine) kutoka Tsh. 7,000/- mpaka Tsh, 4,000/- ili kuongeza wigo wa ushiriki ambapo ndiyo ilikuwa chimbuko la kwenda kwenye tozo za benki.
Nchi hii ni yetu na kila mtu yuko huru kutoa maoni akiona mambo hayaendi vizuri. Serikali imepokea maoni na itafanyia kazi swala la kutozwa mara mbili kwa fedha zinazo kuwa benki na swala la mpangaji kukusanya kodi ya jengo na kuipeleka kwenye mamlaka ya mapato badala ya mmiliki wa jengo.
Ni lazima mtu ambaye ana mapato alipe kodi iliyo sahihi aliye na kidogo alipe kidogo na aliye na kikubwa alipe kidogo, masikini kubeba mzigo mkubwa ni kutengeneza pengo kubwa kati ya waliyonacho na wasiyonacho.
Kwenye kodi zenu za kawaidaWatueleze fedha za udhamini wa mkutano wa caf na michuano ya vilabu za cecafa zilitoka wapi
Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Waziri wa Fedha na Mipango - Dr. Mwigulu Nchemba
Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya kuunganisha nguvu kama watanzania ili tuweze kutekeleza baadhi ya mahitaji ya lazima kama madarasa, nyumba za walimu, ujenzi wa vituo vya afya, ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wa miundo mbinu ambayo yamekuwa yakekosa fedha kutokana na ufinyu wa bajeti.
Ufinyu wa bajeti umetokana na kuongezeka na majukumu ya msingi inayofanywa na serikari. Majukumu hayo ni kama miradi mikubwa kama bwawa la Mwalimu Nyerere, reli ya kisasa na maeneo mengine ni barabara, afya, elimu bure, mikopo elimu ya juu na umeme vijijini.
Kiwango cha tozo kilipunguzwa kutoka Tsh. 10,000/- mpaka Tsh. 7,000/- baada ya kupata maoni kutoka kwa watanzania kwamba tozo zimekubalika lakini zimeanzia kwa gharama ya juu sana. Lakini hii pia ikapunguzwa tena (na kwenye maeneo mengine) kutoka Tsh. 7,000/- mpaka Tsh, 4,000/- ili kuongeza wigo wa ushiriki ambapo ndiyo ilikuwa chimbuko la kwenda kwenye tozo za benki.
Nchi hii ni yetu na kila mtu yuko huru kutoa maoni akiona mambo hayaendi vizuri. Serikali imepokea maoni na itafanyia kazi swala la kutozwa mara mbili kwa fedha zinazo kuwa benki na swala la mpangaji kukusanya kodi ya jengo na kuipeleka kwenye mamlaka ya mapato badala ya mmiliki wa jengo.
Ni lazima mtu ambaye ana mapato alipe kodi iliyo sahihi aliye na kidogo alipe kidogo na aliye na kikubwa alipe kidogo, masikini kubeba mzigo mkubwa ni kutengeneza pengo kubwa kati ya waliyonacho na wasiyonacho.
Serikali inaendele kufanya uhakiki ili iweze kuongeza wigo wa tozo na kodi ambazo zitasaidia kupunguza mzigo kwa mtu mmoja mmoja.
kwa nini wananchi waumie hivi na tozo? tuambieni, rasilimali ya madini inachangia nini? tuelezeni, msiumize wananchi.Wizara ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.

Kwa kweli hawautaki.Wananchi hawahitaji ufafanuzi wanahitaji ziondolewe basi huo ufafanuzi hauna maana, huu wizi uliobatizwa tozo ni haramu
Hapo lazima akwepe maana na yeye ni mnufaika mkubwaWizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.
Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba
Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya kuunganisha nguvu kama watanzania ili tuweze kutekeleza baadhi ya mahitaji ya lazima kama madarasa, nyumba za walimu, ujenzi wa vituo vya afya, ununuzi wa vifaa tiba na ujenzi wa miundo mbinu ambayo yamekuwa yakekosa fedha kutokana na ufinyu wa bajeti.
Ufinyu wa bajeti umetokana na kuongezeka na majukumu ya msingi inayofanywa na serikari. Majukumu hayo ni kama miradi mikubwa kama bwawa la Mwalimu Nyerere, reli ya kisasa na maeneo mengine ni barabara, afya, elimu bure, mikopo elimu ya juu na umeme vijijini.
Kiwango cha tozo kilipunguzwa kutoka Tsh. 10,000/- mpaka Tsh. 7,000/- baada ya kupata maoni kutoka kwa watanzania kwamba tozo zimekubalika lakini zimeanzia kwa gharama ya juu sana. Lakini hii pia ikapunguzwa tena (na kwenye maeneo mengine) kutoka Tsh. 7,000/- mpaka Tsh, 4,000/- ili kuongeza wigo wa ushiriki ambapo ndiyo ilikuwa chimbuko la kwenda kwenye tozo za benki.
Nchi hii ni yetu na kila mtu yuko huru kutoa maoni akiona mambo hayaendi vizuri. Serikali imepokea maoni na itafanyia kazi swala la kutozwa mara mbili kwa fedha zinazo kuwa benki na swala la mpangaji kukusanya kodi ya jengo na kuipeleka kwenye mamlaka ya mapato badala ya mmiliki wa jengo.
Ni lazima mtu ambaye ana mapato alipe kodi iliyo sahihi aliye na kidogo alipe kidogo na aliye na kikubwa alipe kidogo, masikini kubeba mzigo mkubwa ni kutengeneza pengo kubwa kati ya waliyonacho na wasiyonacho.
Serikali inaendele kufanya uhakiki ili iweze kuongeza wigo wa tozo na kodi ambazo zitasaidia kupunguza mzigo kwa mtu mmoja mmoja.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - Innocent Bashungwa
Tozo zimesaidia kuboresha sekta ya afya, elimu na barabara kwa kujenga vituo vya afya, madarasa na barabara vijijini na mijini, lakini pia kuongeza vifaa na watumishi.
Maswali na Majibu
Swali mwandishi DW: Miaka ya nyuma watanzania waliaminishwa kuwa Tanzania ni tajiri na inaweza kujiendesha yeneywe bila kutegemea tozo kutoka kwa wananchi je, utajiri huu wa Tanzania uliofanya Tanzania kujiendesha yenyewe umepotelea wapi?
Jibu Mwigulu Nchemba: Utajiri wa rasilimali usipozivuna utaendelea kuwa masikini, unakuwa na utajiri ila wewe ni masikini. Bila kuwekeza kwenye shughuli za uzalishaji tutaendelea kuwa masikini.
Tozo kuongezeka ni sababu mambo yanabadilika na mahitaji yanaongezeka, ambapo na bajeti pia lazima iongekezeke. Tozo ni moja ya chanzo kinachofanikisha kufikiwa kwa mahitaji hayo ya kibajeti.
Swali mwandishi Azam Tv: Mpango wa serikali kubana matumizi umefikia wapi? Gharama za maisha kupanda licha ya serikali kutoa ruzuku kwa maadhi ya maeneo tatizo ni nini?
Jibu Mwigulu Nchemba: Jitihata zinafanyika hapa ndani kuhakikisha inapunguza ukali wa maisha lakini chanzo kama Uviko-19 na vita bado vipo hivyo gharama zitaendelea kupanda mbali na jitihada zinazofanyika.
Hatua mbalimbali za kubana matumizi zimechukuliwa na ufafanuzi utatolewa kadri nafasi itakavyopatikana.
wanakopa kununua V8 na kulipana posho nonoMnakopa pesa za Kujenga vyoo, Hakuna miradi inayoendelea zaidi ya Maigizo ya filamu, mkiulizwa mnasema Tunaendeleza miradi. WTF??? Ndani ya mwaka mmekopa zaidi ya trilioni 3 hakuna cha maana kilichofanyika zaidi ya kuleteana stori za abunuasi.
Basi hakuna haja ya kukopa nje ya nchiAnasema tozo siyo kodi ya kisheria! Kama nimemsikiza vizuri, bali mchango kwa wote kwa ajili ya kukamilisha ya mambo ya msingi.