Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

ShUghuli zao ni pamoja na hizi! Kuhubiri na kutetea haki coz bila haki hakuna amani
 

Acha ujinga wako,ponds alisimama nayeye kwenye majukwaa ya kisiasa kuipigania chadema au umesahau??

Hiyo ilikua ni win win kwenu nyote,pia hiyo haiwez kujustify hawa mafala wenzenu wa chadema kama yericko na kigogo kumtukana samia na waislam,wafikishie hizo habari
 

Hao ni wafuasi na wanachama wa chadema,

Who knows,kama Chama kimetuma kupitia upande mwingine tunajuaje,sisi hatuangalii kama official party statements,tunaangalia waliosema Wana affiliation na chama gan,that's why tunawaambia wafuasi wa chadema na chadema wapambane na serikali,siyo waislam
 

Hatuwez kuacha kuwapa majiti ya rohon hao wendawazim wenu yericko na kigogo ambao ni wanachama wenu eti KWA hoja kuwa siyo statement ya chama,hiyo mtajua nyinyi,as long as wanauhusisha uislam na waislam hatuna simile katika hilo,an eye for an eye...
 

Hawa ni radical Christians,

By that time Magufuli hawakuwa wakimkosoa kwa kumlinganisha na iman yake,leo wakiona weakness katika utawala wanafanya kila wawezalo kuhusisha iman ya president na matendo yake,wanadhan sisi hatuon hilo...

No,this time tutaongea lugha wanayoielewa
 
Kuna press release yoyote ambayo CHADEMA imemkosoa Mama Samia sababu ya dini yake? Au post za member wa JF ndio inageuka official party position?

No wonder mliporwa gesi na korosho.... CCM ilishajua mna reasoning ndogo sana.
Huyu dada Yericko Nyerere ni kiumbe wa chama kipi kama sio hicho cha wanywa Mbege?
Sasa ulitaka wachapishe kwenye mzalendo na Sura ya mbowe ndio ukubali kuwa limetoka chadema?
Hamna pesa za kuchapisha chuki zenu ndio sababu mnawatumia hawa wapima mbege kina Kigogo kuropoka ovyo
 
Sasa kwani Yericko na Kigogo wana vyeo gani ndani ya CHADEMA?

Hayo ni maoni yao yaliyopotoka, Sasa na wewe kama unataka kuwa mdini kama wao basi na wewe utakuwa huna tofauti nao

Wana vyeo gani??

Hao wendawazim kama mdude nyagali si ndiyo chama kinawatumia kukashifu viongoz na sasa wanaona haitoshi wanakuja kukashifu uislam?

Tutaongea nao lugha wanayoifaham sasa
 
Wapuuzi sana wanashikiwa akili na yule pimbi sijui kigogo anajificha kama nguchiro huku anatukana Waislam.
Watoto wa zinaa ndio kawaida yao.
Wakitaka kutukana wanajificha .
Yule dada Yericho iko siku alikunywa mapuya akapotea njia wakamuokota kule buza, kalazwa kwa mganga wa kienyeji wiki 2 kina mama wengine wa chadema wakadai Katekwa.
Wakiambiwa mapuya nuksi wanaandamana .
 

Ha ha ha,

Alhabib umenivunja mbavu zangu Sana,

Hawa wapuuz wanachokoza wenyewe huu mziki baadae waje kutupa lawama tuh hawaa,

Washenzy waja laana hawa,dawa yao ni kwenda nao kwa lugha hizi may be wataelewa hawa makafiri
 
Dah uislamu Tanzania unazidi kupata heshima mungu awabariki Sana shura ya maimamu.
 
Serikali ilishakosa credibility enzi za jpm Sasa mnamkosesha mama credibility pia kimsingi hamuaminiki maana tayari mna madoa 183 ya kubambikia watu kesi na hii ni takwimu zenu vipi takwimu ambazo ni za haki na c zenu je takwimu c zitafika maelfu? Je bado mnataka kuaminika?
 

Yaani Kigogo2014 ni CHADEMA? Ana cheo gani? Au Yeriko ni msemaji wa chama siku hizi? Maoni ya Twitter yasigeuzwe msimamo wa chama.
 
Ukweli mtupu
 
Mimi kama muislam sijafurahishwa na matendo wanayofanyiwa viongozi wa Chadema. Haki itashinda InshaaAllah!
 
Ukweli mtupu
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Kwa hili polisi wanalaumiwa bure, ujumbe huu ungeelekezwa kwa watawala direct.
Ila nao wameulenga utawala though indirect kwa kuwa utawala haukuwepo pale physically bali ulitumia remote control.
Polisi ni kama mbwa tu ambaye ukumuamrisha kung'ata anang'ata, yaani kwa kifupi polisi ni mbwa na si watu ndiyo maana wao hutii maelekezo bila ya kutumia akili.
 
Watoto wa zinaa kama nyinyi ni disgrace kubwa sana,we wonder why hawakutumia Mpira instead wakatuletea kituko kama hiki kwenye ardhi,

Anyway,umekuja kwa zinaa,make sure huyo mumeo ulienae asiendelee kukuzalisha watoto wa zinaa kama wewe mama yao, umeelewa?
 

Sawa mama Majaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…