Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

Me nasubiri nyuzi za malalamiko, Jf ikifunguliwa.!
 
Wakapambane na uchaguzu wao
Maana wasijesema urusi wakihack system zao
Mambo ya TZ watuachie wenyewe

Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
Wakianza kulia lia kuwa sijui Iran, China na Russia kuingilia matokeo yao bc na sisi tunakuja na tamko letu, watanzania hatuwezi kuendeshwa na watu wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…