Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Sio dhambi nikisema ww n mpumbavuMagufuli atakamatwa kama kuku. We subiria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio dhambi nikisema ww n mpumbavuMagufuli atakamatwa kama kuku. We subiria.
Licha ya wizi lakini wapinzani wengi hawapigi kura ndio tatizoAngalau wanatufariji japo maumivu ni machungu mno
Imeisha hiyo....
mapambano ya uchaguzi wa marekani ni kuhusu sera dhidi ya sera, siyo mapambano ya polisi au jeshi dhidi ya raia. ficha upumbavu wako.Ww ndio ufiche upumbavu wako, kama hakuna mapambano bc usngesikia kuhusu facebook, Russia na wengineo kupanga matokeo.
Na sasa hv Obama nae ameingia kati khs uchaguzi.
Wanajifanyaga baba wa dunia wakati na wao wanapangiwa urais na URUSI. Lazima tutegemee tamko uchwara kwa kuwa wananchi wamekataa kibaraka wao.Wakapambane na uchaguzu wao
Maana wasijesema urusi wakihack system zao
Mambo ya TZ watuachie wenyewe
Sent from my H3223 using JamiiForums mobile app
Kaa kwa kutulia.Kwahiyo ndio matokeo yatabadilika au
Si mmetuzimia mitandao.washeni tujiorganize.Mkaandamane mbona hamjaenda ma keyboard warrior............si rais wenu Lisu alishawaambia mchukue hatua au mnataka wamarekani ndo waje kuandamana kwa ajili yenu
Narudia tena ficha upumbavu wako, kwan nyie upinzani wakati wa kampeni nlikuwa mnaongea khs sera au kitu gani.? Kajipangeni tena, magufuli amewaoa tayari na mna mimba ya miezi 9mapambano ya uchaguzi wa marekani ni kuhusu sera dhidi ya sera, siyo mapambano ya polisi au jeshi dhidi ya raia. ficha upumbavu wako.
Ajira hakuna.Kilichobaki watu wafanye kazi. Uchaguzi umeisha.
Kwani hapa umeandika kupitia uchawi wa mshana amaSi mmetuzimia mitandao.washeni tujiorganize.
#U.S.Embassy Statement on Tanzania's Election on 29th October 2020: Nyie wanasiasa uchwara mnamharibia huyo balozi. Hamtulii, mamboi ya ndani unayapeleka ng'ambo kisa ufadhili na misaada. Please refrain this lobying behaviour that tarnishes everybody including yourself. The diplomatic mission have proper channels handle such issues of concern with the responsible state authority rather than posting everying on social media. The way the statement is structured it is evident that consulate is biased and has interests to seeing Tanzanian democracy becomes fragile as they do in the United States whereby the president is elected by the college votes as opposed to majority citizens decision. Tanzanians have to stop being used as mercenaries apparatus to advance the greedy tycoons with return of a daily consumption bread. Tanzania democracy does not necessarily require to be practised as they do in the America, it is structured compatible with African, values cultures and customs.
Okay so actions agains humanity should be kept silent.#U.S.Embassy Statement on Tanzania's Election on 29th October 2020: Nyie wanasiasa uchwara mnamharibia huyo balozi. Hamtulii, mamboi ya ndani unayapeleka ng'ambo kisa ufadhili na misaada. Please refrain this lobying behaviour that tarnishes everybody including yourself. The diplomatic mission have proper channels handle such issues of concern with the responsible state authority rather than posting everying on social media. The way the statement is structured it is evident that consulate is biased and has interests to seeing Tanzanian democracy becomes fragile as they do in the United States whereby the president is elected by the college votes as opposed to majority citizens decision. Tanzanians have to stop being used as mercenaries apparatus to advance the greedy tycoons with return of a daily consumption bread. Tanzania democracy does not necessarily require to be practised as they do in the America, it is structured compatible with African, values cultures and customs.
HahaaaHalafu kesho wanampa misaada
#HumanRights: Madam, do you really understand what human rights is all about or you are just touting a foreign lyrics version like a nightngale bird? Stipulate which human right arcle clause that infiltrates the internatl affairs of the specified country and sovereign state including elections that is consititutionally documented? Let's discuss issues of national interests and not personal political affiliations that prejudice sensible facts.Okay so actions agains humanity should be kept silent.
Hawana lolote maana katika miaka ya karibuni wametoa misaada mikubwa mikubwa.Wale mpaka uguse Maslahi yaoHahaaa
Usiwaamini hawa wazungu kabisa. Hawana msaada wowote ule isipokuwa kama wana maslahi binafsi.
suala la mimba miezi 9 mbona hata Bi Mkubwa wako alibeba na kazaa poyoyo.Narudia tena ficha upumbavu wako, kwan nyie upinzani wakati wa kampeni nlikuwa mnaongea khs sera au kitu gani.? Kajipangeni tena, magufuli amewaoa tayari na mna mimba ya miezi 9
Mkuu nakusubiri ukaandamane kama mpumbavu mwenzako anavokuambia hlf tutakutana hospital baada ya virungu kutembea mwilini mwako
Mama ako mwenye akili timamu akamzaa mtoto anayeshabikia post za wanasiasa kuwa wakaandamanesuala la mimba miezi 9 mbona hata Bi Mkubwa wako alibeba na kazaa poyoyo.