n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Ha ha ha aiseeWaondoe vidonge vya ukimwi tuzike MaCCM wengi maana wanakunywa sana arvs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha aiseeWaondoe vidonge vya ukimwi tuzike MaCCM wengi maana wanakunywa sana arvs
Who the fuc.k do they think they are, Gods? This is goddam Tanzania NOT a fucking US territory. We have our sovereign which the US has no fucking rights to mess with. They messed up with their elections back in 2016, who interfered with them apart from Russia? Leave us the fuc.k alone.
Even in the US there's no democracythe time will come when those who doesnt know meaning of democracy will understand..acha wawatukane wenzao walo tambua early
Daaah kwa akili hizi n afadhali tuu mmekosa kila kitu, kwahy ulkuwa mnataka kushinda ili mpate misaada.?Muache aseme ili tukinyimwa misaada kwa kukiuka masharti ya misaada mkumbuke vizuri
yeah but tambua US sio bongo.. raisi wao wa awamu ya tano walimchagua kabla hat raisi wako wa awam ya tano haja fikiriwa kuzaliwa so..mi nasemag tusijifananshe na nchi kama hzo kwny u leo.. all in all wote tuta being affected iwe neg or positv way kwakua baba yetu mmoja ambae ni tz.. acha tu focus tuh tutafkaEven in the US there's no democracy
Hv unajua kuwa ww n mmoja wa watu nliokuwa nna waheshimu sana hapa JF, ila kwa sasa nasema una ujinga mwingi mno
Ety wameamua kuwa tuandamaneNyinyi Marekani amueni moja tumechoka matamko ya kila siku
Umuhimu utaujua baada kidogoMatamko haya Yana umuhimu gani?
Wapumbavu wa nchini kwake ndio waliofankisha kuuawa kwake, lkn hapa hakuna mpumbavu wa namna hy lbl ww uwe wa kwanza na hautofanikiwaYani heri Sadam Hussein walimkamata kajificha kwenye shimo la panya ndevu kasahau nje. Huyu wa kwetu watamkuta kajianika juu ya mawe kama kenge!
Siku hizi wanatuma drone au B52 inakuja inaganda juu sana inaachia Ndege kibao zisizo na RubaniYani heri Sadam Hussein walimkamata kajificha kwenye shimo la panya ndevu kasahau nje. Huyu wa kwetu watamkuta kajianika juu ya mawe kama kenge!
mtanzania kama anaogopa tu Kitendo cha kupita makabulini unazani anaweza kuingia barabara kuandamana kwel???Ety wameamua kuwa tuandamane
Wewe utakuwa mnufaika wa ufedhuri wa CCM kwa njia zote haramu za kishetaniWapumbavu wa nchini kwake ndio waliofankisha kuuawa kwake, lkn hapa hakuna mpumbavu wa namna hy lbl ww uwe wa kwanza na hautofanikiwa
Alibadiri kwa kwenda mbele mpaka polepole atape busha nnemtanzania kama anaogopa tu Kitendo cha kupita makabulini unazani anaweza kuingia barabara kwel???
Wanaanza na Albadiri kwanza kisha njia zingineHao nao hawana msaada wowote kila siku maneno hayo hayo tu hapa naanza kukubali duniani hakuna mungu au kama yupo hashiguliki na maisha ya duniani jamani Chadema wenzangu tutafute njia nyingine na sisi hii ya masanduku imeshagoma
Uchaguzi upi? Hukuwepo na uchaguzi bali ni vioja maigizo ya CCM kuulawiti kuubaka uchaguziKilichobaki watu wafanye kazi. Uchaguzi umeisha.
Sasa Mbona yamegiswa sana hata kukosekana kwa ridhaa ya wapiga kura ni kugusa masilahi yaoHawana lolote maana katika miaka ya karibuni wametoa misaada mikubwa mikubwa.Wale mpaka uguse Maslahi yao