Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

Siyo kweli, kila Raisi wa USA ana policy zake kuhusu mahusiano ya USA na karibia kila nchi, isitoshe ukitaka kujua hiyo barua ni B.S. haipo kwenye website ya Ubalozi wa USA hapa Tanzania, na wenb

Raisi wa USA siyo Serikali ya USA?
Wewe unadhani Congress ni sawa na Bunge la Tanzania?
 
Mzigo mwingine huu mkuu.
Kumbe kuna mizigo imepatikana ndiyo maana haya mafuso imekuwa hadimu kuyapata ili kusafirishia mizigo.
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa kwa kuichukia kwako unataka kila mtu awe anaichukia?
Unajua maana ya kura?

Rais Magifuli atapata zaidi ya 79% huku Lisu akipata chini ya 20%
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?

Kwa akili yako unadhani USA nayo huamuliwa Mambo yake na mtu mmoja tu kama ilivyo hapa jiwe kuamua kila kitu?
 
Katika mambo ya aina hii, hailazimu Trump awepo au asiwepo. Bado huelewi?
Wanahadithiwa hawa kuhusu Marekani, hawaijui vizuri. Wanafikiri anaitwa mbabe wa dunia kimasihara tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?

Marekani Ni nchi inayoweza kupigana Vita vya Moto sehemu tano tofauti kwa Mara moja.
Sisi hatatupiga Bali atatukemea tu, inatosha.
 
Kwa akili yako unadhani USA nayo huamuliwa Mambo yake na mtu mmoja tu kama ilivyo hapa jiwe kuamua kila kitu?
Alafu anadai ana PhD Eti. Ningekuwa mzazi wake ningetumia hela zote za kumsomesha kujaza ng’ombe na mbuzi kwenye boma langu kuliko kusomesha kilaza hiiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa kwa kuichukia kwako unataka kila mtu awe anaichukia?
Unajua maana ya kura?

Rais Magifuli atapata zaidi ya 79% huku Lisu akipata chini ya 20%
Kwenye Magufuli weka Lissu na kwa Lissu weka Magufuli
 
CCM tunaweza kusema...!!
za mwizi.........
kifo cha nyani............
kil na lenye mwanzo...........
kila lenye sura............
Hakuna marefu.......
Kaka nimegundua katika Walaka huo,kuwa US Wana taarifa zote juu ya Uchaguzi huu,na zaidi Ni juu ya Jey Wii kuwa deployed kumsaidia Jiwe.
Tamko Lina nguvu Sana.
 
Kweli wewe ni zuzu kabisa una shangilia nini sasa hapo? Wamesema hawamuungi mkono mgombea yeyote ila uchaguzi wa uhuru na haki. Sasa wewe unashangilia kitu gani. Nafikiri unamatatizo kwenye ubongo wako.
 
Kaka nimegundua katika Walaka huo,kuwa US Wana taarifa zote juu ya Uchaguzi huu,na zaidi Ni juu ya Jey Wii kuwa deployed kumsaidia Jiwe.
Tamko Lina nguvu Sana.
Yaani mna matatizo makubwa sana kwenye ubongo wenu mnategemea sana wazungu kushinda uchaguzi na wala si watz.
 
Na mpaka hapo Jiwe na CCM wamekwisha nasa kwenye Net.
 
Libya,Iraq,Serbia, huko nako Wana katiba zao .
 
Yaani mna matatizo makubwa sana kwenye ubongo wenu mnategemea sana wazungu kushinda uchaguzi na wala si watz.
Uonevu baba uonevu.
Na
Wamesikika kuwa mmepanga kupindua matokeo,hivyo wameona waingilie Kati,hofu ya Nini Sasa,nyinyi si wababe? Sasa kaja mbabe zaidi fanyeni yenu Sasa.
 
Yakwao yanawashinda
 
Na sisi tutatoa tamko letu kama Tanzania katika uchaguzi utakaoenda kufanyika Marekani hivi karibu
Mtatoa Kama hivi" sisi Tanzania hatuna upande wowote,tunaomba yeyote atakaeshinda asitusahau katika misaada,na mikopo yenye riba nafuu."
Tunawatakia Uchaguzi mwema."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…