Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #81
Kapigwa pini ipi??? ๐๐๐๐Tundu keshapigwa pini huko, Dunia inakwenda kasi sana, dadadeki, ...
Humjui Tundu Antiphas Lissu wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapigwa pini ipi??? ๐๐๐๐Tundu keshapigwa pini huko, Dunia inakwenda kasi sana, dadadeki, ...
Wewe unadhani Congress ni sawa na Bunge la Tanzania?Siyo kweli, kila Raisi wa USA ana policy zake kuhusu mahusiano ya USA na karibia kila nchi, isitoshe ukitaka kujua hiyo barua ni B.S. haipo kwenye website ya Ubalozi wa USA hapa Tanzania, na wenb
Raisi wa USA siyo Serikali ya USA?
Maccm wenzako hawataki wanaweweseka.
Kumbe kuna mizigo imepatikana ndiyo maana haya mafuso imekuwa hadimu kuyapata ili kusafirishia mizigo.
CCM mwenzenu huyo keshawakataa!! Dadekiii๐Na wewe unashangilia ukidhani linawahusu CCM?
Sasa kwa kuichukia kwako unataka kila mtu awe anaichukia?Ni mpumbavu tu ambaye hajaenda shule,hajaelimika na hana kitu kichwanu ndiye anayeweza kuwasemea Watanzania kuwa wana imani na CCM.
Kama uliona hata milango ya darasa basi utagundua kuwa kuna "umoja" na "wingi", na pia bila ya takwimu,huna haki ya kuongea.
Jizungumzie wewe.
Mimi naichukia CCM na nitarudi huko kwa ajili ya kuikataa kwenye sanduku la kura 28/20/2020.
#kura yangu yahesabika.
Mzigo mwingine huu mkuu.
View attachment 1587118
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Wanahadithiwa hawa kuhusu Marekani, hawaijui vizuri. Wanafikiri anaitwa mbabe wa dunia kimasihara tu๐๐๐๐Katika mambo ya aina hii, hailazimu Trump awepo au asiwepo. Bado huelewi?
Hahaha Bosi wake mwenyewe D.Trump ameshakataa matokeo ya Uchaguzi ujao wa USA, huo muda wa kuhangaika na sisi ataupata wapi kama siyo fix hizo?
Alafu anadai ana PhD Eti. Ningekuwa mzazi wake ningetumia hela zote za kumsomesha kujaza ngโombe na mbuzi kwenye boma langu kuliko kusomesha kilaza hii๐๐Kwa akili yako unadhani USA nayo huamuliwa Mambo yake na mtu mmoja tu kama ilivyo hapa jiwe kuamua kila kitu?
Kwenye Magufuli weka Lissu na kwa Lissu weka MagufuliSasa kwa kuichukia kwako unataka kila mtu awe anaichukia?
Unajua maana ya kura?
Rais Magifuli atapata zaidi ya 79% huku Lisu akipata chini ya 20%
Kaka nimegundua katika Walaka huo,kuwa US Wana taarifa zote juu ya Uchaguzi huu,na zaidi Ni juu ya Jey Wii kuwa deployed kumsaidia Jiwe.CCM tunaweza kusema...!!
za mwizi.........
kifo cha nyani............
kil na lenye mwanzo...........
kila lenye sura............
Hakuna marefu.......
Kweli wewe ni zuzu kabisa una shangilia nini sasa hapo? Wamesema hawamuungi mkono mgombea yeyote ila uchaguzi wa uhuru na haki. Sasa wewe unashangilia kitu gani. Nafikiri unamatatizo kwenye ubongo wako.Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!๐๐๐๐
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Yaani mna matatizo makubwa sana kwenye ubongo wenu mnategemea sana wazungu kushinda uchaguzi na wala si watz.Kaka nimegundua katika Walaka huo,kuwa US Wana taarifa zote juu ya Uchaguzi huu,na zaidi Ni juu ya Jey Wii kuwa deployed kumsaidia Jiwe.
Tamko Lina nguvu Sana.
Na mpaka hapo Jiwe na CCM wamekwisha nasa kwenye Net.Yote haya wameyatafuata wenyewe, kulikuwa hakuna haja ya kuzuia mikutano ya kisiasa miaka yote 5, Vitendo vilivyojitokeza wakati wa Chaguzi ndogo zote, vitendo vilivyojitokeza wakati wa uchaguzi serikali za mitaa, na vitendo ya kukata wagombea wa upinzani pekee katika huu uchaguzi mkuu..... hivi ndiyo viashiria chanya vilivyofanya haya mataifa makubwa duniani yote yaukodolee macho uchaguzi huu.
Sasa mwenye kubisha kwamba Marekani ni tisha toto - haya na aibe kura sasa!!
Libya,Iraq,Serbia, huko nako Wana katiba zao .Ni matamko ya kawaida hayo na yanayotarajiwa. Nchi yetu ni huru, ina katiba, sheria na taratibu zake za kuchaguana na wala haitaji mwongozo kutoka Marekani ama nchi nyingine yoyote, na huu si uchaguzi wa kwanza kufanyika, kwamba hatuna uzoefu wa kuendesha chaguzi zetu.
Tena safari hii tunatumia fedha zetu za madafu kuchagua viongozi wetu kwa utashi na mapenzi yetu, na si kwa shinikizo la kibeberu! Ila ni bora wajiandae kisaikolojia kuwa wanayemtaka wao siye tunayemtaka sisi.
Uonevu baba uonevu.Yaani mna matatizo makubwa sana kwenye ubongo wenu mnategemea sana wazungu kushinda uchaguzi na wala si watz.
Yakwao yanawashindaHayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake!!!๐๐๐๐
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri matokeo ya uchaguzi, kuiba ushindi wa wagombea wengine, majibu yameshatoka, mwaka huu lazima kutakuwa na matokeo ya matendo yenu mabovu!!!
Cc.Mkuu wa TISS, IGP, CDF et all!!
Mwaka huu watanzania tusiudharau, tukapige kura kwa wingi na tulinde kura zetu
View attachment 1586980
Mtatoa Kama hivi" sisi Tanzania hatuna upande wowote,tunaomba yeyote atakaeshinda asitusahau katika misaada,na mikopo yenye riba nafuu."Na sisi tutatoa tamko letu kama Tanzania katika uchaguzi utakaoenda kufanyika Marekani hivi karibu