Niukweli ila wameperekewa moto kwelikweli .... Isreal PM quoted... " you initiated the war & We ll finish it"Hilo wala halijaanza leo na wala siyo geni kwao.
Na wao wakiipata upenyo japo kiduchu wanafanya kweli. Wayahudi wanikimbia nchi huko. Usifikiri hiki kimbembe ni cha upande mmoja tu.
Hamas akatishia kunyonga mateka wote baada lsrael kuwaperekea moto ili isitishe ...Benjamin amekiri wawanyonge tuu... Ila Gaza ukomo umefikaHilo wala halijaanza leo na wala siyo geni kwao.
Na wao wakiipata upenyo japo kiduchu wanafanya kweli. Wayahudi wanikimbia nchi huko. Usifikiri hiki kimbembe ni cha upande mmoja tu.
Upi?Safi sana, wanauliwa kutokana na ujinga wao!
Hamas akatishia kunyonga mateka wote baada lsrael kuwaperekea moto ili isitishe ...Benjamin amekiri wawanyonge tuu... Ila Gaza ukomo umefikaGaza ni kipande kidogo cha palestina. Hapo myahudi hatoishi kwa usalama mpaka awamalize wapalestina million 9.
Nashangaa mpaka sasa bado Gaza ipo.FaizaFoxy juwa
Fortunately Israelites wapo smart sana ...ilikuwa intelligence failure tuu hadi ile massacre mumefanikiwa ...lsrael kwasasa imepata kiwewe sidhana kama Gaza itafika kesho kutwa kwa moto inaperekewa kwa sasa
Sema kibondo kwa Wafilisti kinaendeleaMapambano yaendelee
HAMAS ni freedom fighters ..Mbona Balozi hajaishutumu Hamas.
Ardhi yao wenyewe??Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Nikutafsirie nini?Ardhi yao wenyewe??
Tutsafsilie basi nasi tuchangie
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
Anajitoa fahamu, haelewi kwamba Israel keshapoteza raia zaidi ya 900 na wengine kuchukuliwa mateka.......aache kulialia.Mbona hakutoa statement wakati Hamas inashambulia Wayahudi tena wengi wao wakiwa raia?
Ni nagaidi wanaotawala eneo la Gaza. Hezbrah ndo kundi au chama kinachotawala radmi Palestina.Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
Uzi mzima!! We si haukusomea ujinga??Nikutafsirie nini?
Mbona tunapangiana vya kuunga mkono?, kama tu watu wameshindwa kuungana kuipenda CCM wote au Simba sc iweje huko mashariki ya kati tuchaguliane vya kuunga mkono?View attachment 2778909
Tz na Palestine since day 1.
Wakati mwingine unamuelewa Magufuli aliposema Somo la Historia ya Tanzania lifundishwe darasani.
Ingesaidia kuielewa Tanzania na nchi inazofungamano nazo.
Mtanzania unajielewa eti, "I STAND WITH ISRAEL"
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.