Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Hilo wala halijaanza leo na wala siyo geni kwao.

Na wao wakiipata upenyo japo kiduchu wanafanya kweli. Wayahudi wanikimbia nchi huko. Usifikiri hiki kimbembe ni cha upande mmoja tu.
Niukweli ila wameperekewa moto kwelikweli .... Isreal PM quoted... " you initiated the war & We ll finish it"
 
Hilo wala halijaanza leo na wala siyo geni kwao.

Na wao wakiipata upenyo japo kiduchu wanafanya kweli. Wayahudi wanikimbia nchi huko. Usifikiri hiki kimbembe ni cha upande mmoja tu.
Hamas akatishia kunyonga mateka wote baada lsrael kuwaperekea moto ili isitishe ...Benjamin amekiri wawanyonge tuu... Ila Gaza ukomo umefika
 
Hamas akatishia kunyonga mateka wote baada lsrael kuwaperekea moto ili isitishe ...Benjamin amekiri wawanyonge tuu... Ila Gaza ukomo umefikaGaza ni kipande kidogo cha palestina. Hapo myahudi hatoishi kwa usalama mpaka awamalize wapalestina million 9.
 
FaizaFoxy juwa

Fortunately Israelites wapo smart sana ...ilikuwa intelligence failure tuu hadi ile massacre mumefanikiwa ...lsrael kwasasa imepata kiwewe sidhana kama Gaza itafika kesho kutwa kwa moto inaperekewa kwa sasa
 
Nashangaa mpaka sasa bado Gaza ipo.

Kwasasa ni giza, hawana umeme, hawana maji, hawana gesi, hakuna vyakula vinavyoingia.

Ukiwapelekea Kitimoto watafakamia hao!

Ni mwendo wa kula maroketi yao 😃😃😃😃
 
Mbona hakutoa statement wakati Hamas inashambulia Wayahudi tena wengi wao wakiwa raia?
Anajitoa fahamu, haelewi kwamba Israel keshapoteza raia zaidi ya 900 na wengine kuchukuliwa mateka.......aache kulialia.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
Ni nagaidi wanaotawala eneo la Gaza. Hezbrah ndo kundi au chama kinachotawala radmi Palestina.

Hawa magaidi wenye misimamo mikali ilifanya shambulio la ghafla la kuvizia kwenye cku ya sherehe ya wayaudi wa Israel na kuuwa Waisraeli watu 1500 wengi wao ni watoto wadogo na wanawake.

Kuna uzio ukiyejengwa kwa zege na mrefu wenye mita 15 sawa na karibu futi 50, hiyo miuni ilivunjwa na kuingia ndan ya Israel km 60 ( kama Ubungo na Mlandizi)

Walitumia Roketi za kizamani elf 5 mfululizo na ilikuwa saa 9 ucku.

Israel kustuka watu kibao walishakufa, ndo ant rokets za Israel zikaanza kuzuia. Sasa Israel imetangaza vita kamili na Harmas magaidi yanayotawala Gaza. Na mpk jion hii Gaza nzima imezingilwa na jeshi la israel (IDF)
 
IMG_20231010_151334.jpg

Tz na Palestine since day 1.
Wakati mwingine unamuelewa Magufuli aliposema Somo la Historia ya Tanzania lifundishwe darasani.
Ingesaidia kuielewa Tanzania na nchi inazofungamano nazo.
Mtanzania unajielewa eti, "I STAND WITH ISRAEL"
 
View attachment 2778909
Tz na Palestine since day 1.
Wakati mwingine unamuelewa Magufuli aliposema Somo la Historia ya Tanzania lifundishwe darasani.
Ingesaidia kuielewa Tanzania na nchi inazofungamano nazo.
Mtanzania unajielewa eti, "I STAND WITH ISRAEL"
Mbona tunapangiana vya kuunga mkono?, kama tu watu wameshindwa kuungana kuipenda CCM wote au Simba sc iweje huko mashariki ya kati tuchaguliane vya kuunga mkono?
 
Back
Top Bottom