Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Mbona tunapangiana vya kuunga mkono?, kama tu watu wameshindwa kuungana kuipenda CCM wote au Simba sc iweje huko mashariki ya kati tuchaguliane vya kuunga mkono?
Nani kakupangia?
Nioneshe ulipopangiwa.
 
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Soma Quran 5:21 ndio utajua nchi hiyo ni ya nani. Nchi hiyo mwanzo iliitwa Kanani, Mungu kawapa Waisraeli. Kwenye Biblia na Quran utapata nchi iitwayo Israel, na Sura ya 17 ya Quran inaitwa Bana Israel, huwezi kupata Palestina kwa sababu Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Gaza inazidi kupendezeshwa na imeanza kupendeza 😀😀😀
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna nchi inayoitwa Palestina, Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD. Ndani ya Biblia na Quran huwezi kupata Palestina Bali utapata Israel. Quran 5:21 inasema wazi nchi hiyo walipewa Waisraeli, baada ya kupigwa na Warumi, walitawanyika duniani, mwaka 1948 wakirudi kwenye nchi yao na kukuta imekaliwa na Hawa Wapalestina, inakuwaje mtu anarudi kwake umwite mvamizi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mtoeni humu huyo filisti anatuletea laana na ugaidi wao uliozidi mauchafu ya Mtume wao hakuchunja watoto wala wazee wala wanawake... hiyo Mipalestine ni ma human Animal... aache nduguze wapate walichokitaka... angelaani kwanza unyama nduguze waliofanya zidi kaja kulia lia pumbavu arudi kwao Misri Israel is for Israel even Koran Confirm it... atuletee Aya ya Koran inayosema Caanan ni ya Waarabu the fact Arabian Peninsula ndio kwa waarabu even Misri,Tunisia,Morocco,Algeria,Mauritania arabs wote wa Africa sio kwenu Africa.
 
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
So unataka kutuambia Qoran ni kitabu cha Uongo na ushaetani na ni kitabu cha kutunga pale inaposema People of the book sio Wayahudi ni Wapalestina Arabs?
Enyi watu wa Kitabu...
 
Una argue namna gani?
Tanzania ilikuwepo before 1964? je Tanzania sio taifa?
Unatumia biblia na Quran kuhalalisha taifa la Israel.
Eti walipewa walipewa na nani? Yaani hoja kubwa za kidunia kama hizi wewe unatumia vitabu vya dini kama reference?
Aliyekuamnia huu ni muhadhara nani?
Watanzania mbona tunatia aibu hivi? Hii ndio namna yetu ya kufikiri.......?
Yaani tunafikiri kwa kutumia vitabu vya dini?

Na nyie ndio elites wa hili taifa? Aseeee.
 
Huwezi kufuta historia, historia inabaki kama ilivyo kwamba Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa mwaka 133 AD,ndipo Hawa Wapalestina wakaingia. Mwaka 1948 Waisraeli walirudi, wanawaondoa Wapalestina mpaka waishe. Historia huwezi kuigeuza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwanzo waliambiwa waisrael wasiache kiumbe chochote iwe mtoto au mama ila wa wakawa na huruma sasa watumie hii chance kuwafeka wote raia, wagonjwa, wazima ask ari Wazee Israel feka wote kama mfalme daudi neta nyau nakuamin Mwaga dam za hao wanaowaza bikira wa wa mchango 72
 
Wanataka Dunia iwasaidie nini? Sisi Africa tukipigwa huws wanatusaidia chochote au wanatutukana tu sisi Nyani?
 
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Hamas wanaua raia unashangilia
Israel inafanya ukaidi ule ule unalia

Shame. Vita sio mambo ya kufurahia
 
So unataka kutuambia Qoran ni kitabu cha Uongo na ushaetani na ni kitabu cha kutunga pale inaposema People of the book sio Wayahudi ni Wapalestina Arabs?
Enyi watu wa Kitabu...
Mimi ni nani wa kubishana mtu aliyesomea ujinga?
 
"Bani Israel" siyo nchi ni wana wa israel, Israel ni jina la mtu siyo nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…