Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
chama chenye jeshi kinachotawala Gaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
Nani kakupangia?Mbona tunapangiana vya kuunga mkono?, kama tu watu wameshindwa kuungana kuipenda CCM wote au Simba sc iweje huko mashariki ya kati tuchaguliane vya kuunga mkono?
Soma Quran 5:21 ndio utajua nchi hiyo ni ya nani. Nchi hiyo mwanzo iliitwa Kanani, Mungu kawapa Waisraeli. Kwenye Biblia na Quran utapata nchi iitwayo Israel, na Sura ya 17 ya Quran inaitwa Bana Israel, huwezi kupata Palestina kwa sababu Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD.Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Gaza inazidi kupendezeshwa na imeanza kupendeza 😀😀😀View attachment 2778909
Tz na Palestine since day 1.
Wakati mwingine unamuelewa Magufuli aliposema Somo la Historia ya Tanzania lifundishwe darasani.
Ingesaidia kuielewa Tanzania na nchi inazofungamano nazo.
Mtanzania unajielewa eti, "I STAND WITH ISRAEL"
Hakuna nchi inayoitwa Palestina, Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD. Ndani ya Biblia na Quran huwezi kupata Palestina Bali utapata Israel. Quran 5:21 inasema wazi nchi hiyo walipewa Waisraeli, baada ya kupigwa na Warumi, walitawanyika duniani, mwaka 1948 wakirudi kwenye nchi yao na kukuta imekaliwa na Hawa Wapalestina, inakuwaje mtu anarudi kwake umwite mvamizi?View attachment 2777870
View attachment 2777872
The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement
The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and affirmed by Israeli officials who have issued genocidal and hateful calls for ethnic cleansing publicly and unashamedly.
The scenes of devastation inflicted on Palestinian civilians in the Gaza Strip are harrowing. The international impunity Israel enjoys is a moral, political, and legal stain affront to humanity and basic decency as well as the principles of international law. Any attempt to excuse or cover these crimes is unacceptable and outright reprehensible.
The facts are not in dispute. Israel, as an occupying Power, is fully responsible for this situation because it insists on keeping the Palestinian people captive and stripping them of their rights for over half a century. Israel has illegally used force and the threat of force, confiscation of land, persecution, collective punishment, and reprisals to deny the Palestinian people their fundamental rights and serve the common aim of displacing and replacing the Palestinian people, in violation of their right to self- determination and other peremptory norms of international law.
We are in this situation because the world failed to do what is needed and turned its back on Palestinian rights. Simplistic statements that omit Palestinian lives and rights and encourage their violation have to stop. As an occupying Power, Israel has no right or justification to target the defenseless civilian population in Gaza or elsewhere in Palestine. Reprisals against civilians in armed hostilities are illegal under international humanitarian law and must stop.
In view of the open war declared by Israel on the Palestinian people in Gaza and the critical and ever-worsening situation of the Palestinian people under Israel's colonial occupation and apartheid regime in the rest of the Occupied Palestinian Territory, including East Jerusalem, the international community must immediately intervene and provide international protection to the Palestinian people and end Israel's barbarous campaign of death and destruction. The international community must also act on their collective.
political, legal, humanitarian, and moral responsibilities towards this prolonged injustice. It has a responsibility to promote accountability, which is the only viable remedy for this illegal, abhorrent situation. The Palestinian people will continue to defend themselves, their homes, and their fundamental right to live in freedom and dignity, free from occupation, apartheid, and persecution.
So unataka kutuambia Qoran ni kitabu cha Uongo na ushaetani na ni kitabu cha kutunga pale inaposema People of the book sio Wayahudi ni Wapalestina Arabs?Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Una argue namna gani?Hakuna nchi inayoitwa Palestina, Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD. Ndani ya Biblia na Quran huwezi kupata Palestina Bali utapata Israel. Quran 5:21 inasema wazi nchi hiyo walipewa Waisraeli, baada ya kupigwa na Warumi, walitawanyika duniani, mwaka 1948 wakirudi kwenye nchi yao na kukuta imekaliwa na Hawa Wapalestina, inakuwaje mtu anarudi kwake umwite mvamizi?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nendeni mkawasaidie wenzenu kumpigania Allah.Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Huwezi kufuta historia, historia inabaki kama ilivyo kwamba Waisraeli walipigwa na Warumi na kutawanywa mwaka 133 AD,ndipo Hawa Wapalestina wakaingia. Mwaka 1948 Waisraeli walirudi, wanawaondoa Wapalestina mpaka waishe. Historia huwezi kuigeuza.Una argue namna gani?
Tanzania ilikuwepo before 1964? je Tanzania sio taifa?
Unatumia biblia na Quran kuhalalisha taifa la Israel.
Eti walipewa walipewa na nani? Yaani hoja kubwa za kidunia kama hizi wewe unatumia vitabu vya dini kama reference?
Aliyekuamnia huu ni muhadhara nani?
Watanzania mbona tunatia aibu hivi? Hii ndio namna yetu ya kufikiri.......?
Yaani tunafikiri kwa kutumia vitabu vya dini?
Na nyie ndio elites wa hili taifa? Aseeee.
Kiswahili Yako mbofuHarudi kwao akaisaidie nchi yake vitani
Wanataka Dunia iwasaidie nini? Sisi Africa tukipigwa huws wanatusaidia chochote au wanatutukana tu sisi Nyani?View attachment 2777870
View attachment 2777872
The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement
The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and affirmed by Israeli officials who have issued genocidal and hateful calls for ethnic cleansing publicly and unashamedly.
The scenes of devastation inflicted on Palestinian civilians in the Gaza Strip are harrowing. The international impunity Israel enjoys is a moral, political, and legal stain affront to humanity and basic decency as well as the principles of international law. Any attempt to excuse or cover these crimes is unacceptable and outright reprehensible.
The facts are not in dispute. Israel, as an occupying Power, is fully responsible for this situation because it insists on keeping the Palestinian people captive and stripping them of their rights for over half a century. Israel has illegally used force and the threat of force, confiscation of land, persecution, collective punishment, and reprisals to deny the Palestinian people their fundamental rights and serve the common aim of displacing and replacing the Palestinian people, in violation of their right to self- determination and other peremptory norms of international law.
We are in this situation because the world failed to do what is needed and turned its back on Palestinian rights. Simplistic statements that omit Palestinian lives and rights and encourage their violation have to stop. As an occupying Power, Israel has no right or justification to target the defenseless civilian population in Gaza or elsewhere in Palestine. Reprisals against civilians in armed hostilities are illegal under international humanitarian law and must stop.
In view of the open war declared by Israel on the Palestinian people in Gaza and the critical and ever-worsening situation of the Palestinian people under Israel's colonial occupation and apartheid regime in the rest of the Occupied Palestinian Territory, including East Jerusalem, the international community must immediately intervene and provide international protection to the Palestinian people and end Israel's barbarous campaign of death and destruction. The international community must also act on their collective.
political, legal, humanitarian, and moral responsibilities towards this prolonged injustice. It has a responsibility to promote accountability, which is the only viable remedy for this illegal, abhorrent situation. The Palestinian people will continue to defend themselves, their homes, and their fundamental right to live in freedom and dignity, free from occupation, apartheid, and persecution.
Allah hahitaji msaada wako wala wangu.Nendeni mkawasaidie wenzenu kumpigania Allah.
Hamas wanaua raia unashangiliaHamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Mimi ni nani wa kubishana mtu aliyesomea ujinga?So unataka kutuambia Qoran ni kitabu cha Uongo na ushaetani na ni kitabu cha kutunga pale inaposema People of the book sio Wayahudi ni Wapalestina Arabs?
Enyi watu wa Kitabu...
"Bani Israel" siyo nchi ni wana wa israel, Israel ni jina la mtu siyo nchi.Soma Quran 5:21 ndio utajua nchi hiyo ni ya nani. Nchi hiyo mwanzo iliitwa Kanani, Mungu kawapa Waisraeli. Kwenye Biblia na Quran utapata nchi iitwayo Israel, na Sura ya 17 ya Quran inaitwa Bana Israel, huwezi kupata Palestina kwa sababu Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanaokalia eneo la mwengine ni nani?Waache wafe watajifunza kuvamia maeneo ya watu si poa!!… ndo mambo ya waarabu