Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Singeli ambazo ndio Tamaduni zenu nazo hamzitaki,Huwa sielewi kwa Nini Kuna series zinazoonyesha ukatili na mauaji kiasi hiki. Hii Ni mbegu.... Na jamii itavuna kwa mbegu hii mbaya. Kila siku tunaimba tamaduni etc.... Hizi ndio tamaduni zetu kweli? Kuna lipi la kujifunza hasa kwa Hawa watoto/vijana wanaofuatilia tamthilia za aina hii kwa mfano huu ilioutoa.... Sijui tunakwenda wapi.... HAKIKA [emoji30][emoji24]
Ndio pia so movie zote za Kituruki jambazi mkiristo!Kaka una hakika na hili usemalo ? , Kwa ninavofahamu majambazi/magaidi huwa waislam sababu hizo movies either zipo based on true stories au zimebuniwa kutoka kwenye visa vinavofanana na mazingira
Sio Movies zote za Marekani jambazi muislamu, comments kama hizi hazifai
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRRSijui nite wabongo! Au niite waafrika?
Hivi tuna shida gani vichwani mwetu? Hiyo filamu hujaipenda achana nayo! Othman Ni filam inayoonesha mapambano ya namna ya kusimikwa Dola la Ottoman kulivyoanza na kutokea kupitia Uislam.
Yes waturuki walipigana kwelikweli dhidi ya wasio waislam sio tu wakristo kusimika ukuu wa Dola la Ottoman.
Nb.
Allah akbaru humaanisha "Mungu Ni Mkubwa" Wala usitishike na Hilo but pia Azam huonesha filamu kibao za kifilipino,kichina na kimarekani ambazo kutokana na maudhui yake si kila mtu hupenda.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hili swali huwa najiuliza, "Mbona huwa anaangalia movies nyingine ila hafanyi viapo na kutishia watu mapanga..?..🤔🤔.....ila acha tu nisilipe kifurushi hii ni hatari kwa afya ya akili ya mtoto ....😅😅I'la wachina wanavyouana kwa mapanga humkatazi kwasababu si waislam? Una shida sehemu boss. Huna logic
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Filam za Hollywood zote wanaonesha .. za Bollywood pia wanaonesha ...Azam aonyeshe waislam magaidi wanauawa labda huyo sio Azam
😀😀Hee Mungu mbona kavunjwa miguu na korodani😳😃😃😃Ndio huyu aliyovunjwa mguu na mlevi au mwengine ? 😂😂 😂 😆View attachment 2533810
Umenikumbusha.... Huu Ni uchafu mwingine kwa yanayoimbwa huko kwenye baadhi ya nyimbo😭Singeli ambazo ndio Tamaduni zenu nazo hamzitaki,
Tufanyeje hapo
Ni based from true story au?Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Sasa wewe uelewa huna wa historia unakasirikia historia jamani..Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Acha upumbavu wewe. Hiyo tamthilia inahusu historia ya uturuki ya ottoman empire, ni vita na vitu vilivyotokea enzi hizo na wao wanaenzi historia yao na haina uhusiano wowote na walokole wa sasa hivi wanaoshinda kwa mwamposa. Soma kwanza na ujielimishe kabla ya kuanika ujinga wako mbele ya kadamnasi.Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Umeishia darasa la ngapi? Unaijua history ya Ottoman Empire?Huwa sielewi kwa Nini Kuna series zinazoonyesha ukatili na mauaji kiasi hiki. Hii Ni mbegu.... Na jamii itavuna kwa mbegu hii mbaya. Kila siku tunaimba tamaduni etc.... Hizi ndio tamaduni zetu kweli? Kuna lipi la kujifunza hasa kwa Hawa watoto/vijana wanaofuatilia tamthilia za aina hii kwa mfano huu ilioutoa.... Sijui tunakwenda wapi.... HAKIKA 😩😭
Unafahamu kwamba 34 percent ya watanganyika ni muslims?Sioni haja ya Muungano ni mida sahihi turudi kuwa Watanganyika
History Ottoman Empire inakuchokoza wewe mmatumbi?Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
Unafahamu kwamba 34% ya watanzania ni Muslims na 66% iliyobaki ni wewe? Maana yake kama nyie mbalance kwa 33% bado masikini wengi mtakuwa nyinyi kuliko Muslims?Bila kusahau masikini wengi ni waislam, Wakristo wamebalance
udini maanake nn?Upuuzi wa USA haiwafanyi Azam wafanye ujinga huo. AZAM NI WADINI
Hhhhhhhhh na siku ukimuona bunduki za toy zile huku akiongea kimombo sijui utafanyaje jmniWakikusikia utasikia ...
"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam"...
Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu hata sizielewi...siku hizi silipii kifurushi....
Maana leo osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..[emoji26][emoji26][emoji26]