Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Huwa sielewi kwa Nini Kuna series zinazoonyesha ukatili na mauaji kiasi hiki. Hii Ni mbegu.... Na jamii itavuna kwa mbegu hii mbaya. Kila siku tunaimba tamaduni etc.... Hizi ndio tamaduni zetu kweli? Kuna lipi la kujifunza hasa kwa Hawa watoto/vijana wanaofuatilia tamthilia za aina hii kwa mfano huu ilioutoa.... Sijui tunakwenda wapi.... HAKIKA [emoji30][emoji24]
Singeli ambazo ndio Tamaduni zenu nazo hamzitaki,
Tufanyeje hapo
 
Kaka una hakika na hili usemalo ? , Kwa ninavofahamu majambazi/magaidi huwa waislam sababu hizo movies either zipo based on true stories au zimebuniwa kutoka kwenye visa vinavofanana na mazingira

Sio Movies zote za Marekani jambazi muislamu, comments kama hizi hazifai
Ndio pia so movie zote za Kituruki jambazi mkiristo!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Sijui nite wabongo! Au niite waafrika?
Hivi tuna shida gani vichwani mwetu? Hiyo filamu hujaipenda achana nayo! Othman Ni filam inayoonesha mapambano ya namna ya kusimikwa Dola la Ottoman kulivyoanza na kutokea kupitia Uislam.
Yes waturuki walipigana kwelikweli dhidi ya wasio waislam sio tu wakristo kusimika ukuu wa Dola la Ottoman.
Nb.
Allah akbaru humaanisha "Mungu Ni Mkubwa" Wala usitishike na Hilo but pia Azam huonesha filamu kibao za kifilipino,kichina na kimarekani ambazo kutokana na maudhui yake si kila mtu hupenda.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR
 
I'la wachina wanavyouana kwa mapanga humkatazi kwasababu si waislam? Una shida sehemu boss. Huna logic

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hili swali huwa najiuliza, "Mbona huwa anaangalia movies nyingine ila hafanyi viapo na kutishia watu mapanga..?..🤔🤔.....ila acha tu nisilipe kifurushi hii ni hatari kwa afya ya akili ya mtoto ....😅😅
 
Azam aonyeshe waislam magaidi wanauawa labda huyo sio Azam
Filam za Hollywood zote wanaonesha .. za Bollywood pia wanaonesha ...
Series kama Blacklist yenye hizo episode za magaidi wa kiarabu wameonesha...unless hutazami
 
Teh teh teh mungu wa vilaza kavunjwa mguu [emoji16][emoji1][emoji38]
JamiiForums-1074046738.jpg
 
N
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).

Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.

Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.

Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Ni based from true story au?
 
Mungu si mkubwa,
Mungu ni Mkuu

Mkubwa alitupwa motoni,sijui kama tunaelewana
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).

Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.

Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.

Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Sasa wewe uelewa huna wa historia unakasirikia historia jamani..
Kile unachokiona ndio ottoman empire ya kituruki ikasambaa hadi ulaya ndio chanzo cha mataifabkàma Spain kuwa na watu wa asili ya uarabu uarabu hivi..

Hiyo ni historia tu kama roman empire and the like..

Sema waigizaji wake wanaweka bwebwe kama hawakuwahi kushindwa ila walikuja wakaangushwa na roman empire miaka ya 1700s.
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).

Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.

Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.

Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Acha upumbavu wewe. Hiyo tamthilia inahusu historia ya uturuki ya ottoman empire, ni vita na vitu vilivyotokea enzi hizo na wao wanaenzi historia yao na haina uhusiano wowote na walokole wa sasa hivi wanaoshinda kwa mwamposa. Soma kwanza na ujielimishe kabla ya kuanika ujinga wako mbele ya kadamnasi.

Ujinga mtupu.

Umeishia darasa la ngapi?
Soma hata wikipedia link hiyo hapo Ottoman Empire - Wikipedia
Kwakua ni mvivu wa kujifunza voluntarily basi ngoja nikucopie hapa.

The Ottoman Empire,[k] historically and colloquially the Turkish Empire,[24] was an empire[l] that controlled much of Southeast Europe, Western Asia, and Northern Africa between the 14th and early 20th centuries. It was founded at the end of the 13th century in northwestern Anatolia in the town of Söğüt (modern-day Bilecik Province) by the Turkoman[25] tribal leader Osman I.[26] After 1354, the Ottomans crossed into Europe and, with the conquest of the Balkans, the Ottoman beylik was transformed into a transcontinental empire. The Ottomans ended the Byzantine Empire with the conquest of Constantinople in 1453 by Mehmed the Conqueror.[27]

Sasa waapimbe Wikipedia wafute hiyo information. Sometimes napata hasira kuona jinsi gani baadhi ya watu ni wajinga kupitiliza na hawatambui kwamba wao ni wajinga.
 
Ni historia ya kweli ya uturuki na mm naona wanazipenda sabbu zinaangaliwa hata na watoto hamna matusi matusi
Mbona wanaweka movie nying za uturuki kma vile Kara sevda,revenge,na nyingine nying
 
Huwa sielewi kwa Nini Kuna series zinazoonyesha ukatili na mauaji kiasi hiki. Hii Ni mbegu.... Na jamii itavuna kwa mbegu hii mbaya. Kila siku tunaimba tamaduni etc.... Hizi ndio tamaduni zetu kweli? Kuna lipi la kujifunza hasa kwa Hawa watoto/vijana wanaofuatilia tamthilia za aina hii kwa mfano huu ilioutoa.... Sijui tunakwenda wapi.... HAKIKA 😩😭
Umeishia darasa la ngapi? Unaijua history ya Ottoman Empire?

Soma hata wikipedia link hiyo hapo Ottoman Empire - Wikipedia
Kwakua ni mvivu wa kujifunza voluntarily basi ngoja nikucopie hapa.

The Ottoman Empire,[k] historically and colloquially the Turkish Empire,[24] was an empire[l] that controlled much of Southeast Europe, Western Asia, and Northern Africa between the 14th and early 20th centuries. It was founded at the end of the 13th century in northwestern Anatolia in the town of Söğüt (modern-day Bilecik Province) by the Turkoman[25] tribal leader Osman I.[26] After 1354, the Ottomans crossed into Europe and, with the conquest of the Balkans, the Ottoman beylik was transformed into a transcontinental empire. The Ottomans ended the Byzantine Empire with the conquest of Constantinople in 1453 by Mehmed the Conqueror.[27]

Waapimbe Wikipedia wafute hiyo information.
 
Hata wafanyeje kuminya haki za wakristo bado hawawezi kutuondolea imani tuliyonayo. Mungu ni mwema....
 
Sioni haja ya Muungano ni mida sahihi turudi kuwa Watanganyika
Unafahamu kwamba 34 percent ya watanganyika ni muslims?
Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
History Ottoman Empire inakuchokoza wewe mmatumbi?
Oyaa unatumia nini kufikiria?
 
Wakikusikia utasikia ...

"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam"...

Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu hata sizielewi...siku hizi silipii kifurushi....

Maana leo osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..[emoji26][emoji26][emoji26]
Hhhhhhhhh na siku ukimuona bunduki za toy zile huku akiongea kimombo sijui utafanyaje jmni

Hhhhhhh
 
Back
Top Bottom