Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Unafahamu kwamba 34 percent ya watanganyika ni muslims?

History Ottoman Empire inakuchokoza wewe mmatumbi?
Oyaa unatumia nini kufikiria?
Anatumia masaburi kufikiri [emoji16][emoji1][emoji38]
 
kulialia tu kurafuta huluma huo ni ushamba wewe ujalazimishwa unalia nn?mona tv ziko nyingi tu kampuni isifanya biashara kwaji ya utahira weni mnaboa sana bhana
 
Zama zinakuja hii Azam tutafutilia mbali
 
sioni sababu kunununua king'amuzi cha azam.. Azam ni king'amuzi flani cha tabaka la wadini na watu wa maisha ya chini..
Nimekuona kule forbes uko juu ya bakhressa kwenye list ya matajiri Africa.
Nimetafuta matusi ya kukutukana kudescribe ujinga wako lakini sioni litakalokufaa.
 
Unajikuta nani yaani mpaka kuimbia Azam nini cha kufanya? Mnasikitisha kinyama nyie watu.
 
Mwamba anataka wapindishe historia
 
Unajikuta nani yaani mpaka kuimbia Azam nini cha kufanya? Mnasikitisha kinyama nyie watu.
Sema hujui unaongea nn ngoja tukuache.fatilia nchi nyingi zenye vita za wenyew hua zinaanzaje.sisi tz tumeyashinda hayo kwaiyo vitu vidog tusipuuzie .tunapoona kitu kinaweza hatarisha amani yetu tukemee kwa nguvu zote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni matukioyaliyotokea kweli.Sema wasiishie hapo waoneshe n jinsi Ottoman ilivyoanguka Hadi vita kuu ya kwanza ya Dunia iaisambaratish kabisa hadi anapotoke Mustapha Kemali ( Aturtuki) mkombozi wa Jiji la Constantinople (Istanbul) ya Leo.
Nyie watu nadizi kuwadharau kila sekunde najiuliza IQ percentage yenu ipo level gani.
Kuna series inaitwa wounded love ilioneshwa hapohapo kabla ya hii osman bey. Inahusu miaka ya mwisho ya Ottoman Empire. Soma na ujielimishe kabla ya kuanika ujinga wako mbele ya kadamnasi. Huu ujinga unachukiza kupitiliza. Inasikitisha kuona kuna watanzania wajinga kiasi hichi.

Vatanım Sensin (lit. 'You are my homeland', alternatively known as Wounded Love in English) is a Turkish television drama set during the last years of Ottoman Empire and the Turkish War of Independence. The main character "Cevdet" is based on the life of Mustafa Mümin Aksoy, whose nickname was "Gavur Mümin". The first episode aired on October 26, 2016 on Kanal D. It stars Halit Ergenç and Bergüzar Korel.
 
Acheni unafki nyie! .. si ndo nyie mnaowaita waislamu wafia dini kwasababu ya propaganda za wamagharibi? wamarekani wakawavamie waarabu makwao halafu wakirespond kwa lugha yao na tamaduni zao museme Uislamu ugaidi! unadhani waislamu wamevumilia kwa kiwango gani kuupakaza matope Uislamu hadi leo? inaonekana mmefikia sehemu sasa unadhani character mbaya ikiwa ni muislamu ni sawa lakini Historia ya kweli ya Ottoman inakuumiza?

Huu ni upumbavu wa hali ya juu kabisa!
 
We akili huna. Yani unajitekenya alaf unacheka. Na nmewaona wengine wengi haoa JF wasiokua na akili hata za kujiongeza, yan wanashindwa kutambua hata wanachoandika.
Mimi nina heshima zangu humu sitokujibu kwa kukutukana, pia mimi ni msomi hivo nakuacha,ila siku nyingine wewe mfia dini ukikuta nime comment sehemu naomba usiniquote

Mimi humu huwa ninazunhumza na watu wazima wenye akili timamu, tafadhali sana Mkuu tuheshimiane, this is very low for me
 
Descendant wake aliikamata Constantinople kwahiyo tuwe wapole tu
 
Hivi huoni aibu huu ujinga ulioniquote Mkuu ? Mimi sina chuki na uislam alafu nadhani sikuwa nazungumza na wewe, mambo yenu ya kidini pelekeni huko

Mtu mzima unanisingizia kwamba ninawasema vibaya waislamu ,nikikupeleka mahakamani utathibitisha hilo ?
 
Huu mjadala kuna baadhi ya watu wanaleta emotions zao hapa ,wengine wana matatizo ya akili, sirudi tena

Mtu hatujuani alafu ananiambia mimi ninawaita waislamu majina ya ajabu, mtu kama huyu ana akili timamu kweli ? ,Hajui pia mimi Muislam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…