mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,297
- 13,678
Anatumia masaburi kufikiri [emoji16][emoji1][emoji38]Unafahamu kwamba 34 percent ya watanganyika ni muslims?
History Ottoman Empire inakuchokoza wewe mmatumbi?
Oyaa unatumia nini kufikiria?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia masaburi kufikiri [emoji16][emoji1][emoji38]Unafahamu kwamba 34 percent ya watanganyika ni muslims?
History Ottoman Empire inakuchokoza wewe mmatumbi?
Oyaa unatumia nini kufikiria?
kulialia tu kurafuta huluma huo ni ushamba wewe ujalazimishwa unalia nn?mona tv ziko nyingi tu kampuni isifanya biashara kwaji ya utahira weni mnaboa sana bhanaTamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Zama zinakuja hii Azam tutafutilia mbaliTamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumani inaoneshwa na Azam Media. Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman (Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).
Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu (Othman) na Wakiristo (Waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, Allah mkubwa.
Na wanaopigwa wanavaa nguo zimeandikwa Roma, na wanavaa misalaba na chanzo za ugomvi ni dini. Na hii siyo mara ya kwanza na kama unawafatilia hata hivi tamthilia Wanazozitafsiri lazma wasema Assalam Aleikum au Allah. Unakuta filamu ya Kifilipino au kizungu lazima wanao tafsiri waweke maneno ya Kiislamu.
Je, huu ni mkakati wenu Azam kuutukana ukiristo. Azam acheni propaganda za kidini, mnaharibu hiki kizazi. Hata kazi za watangazaji 'Hapo Azam asilimia 80 ni Waislamu, Km Bakhresa unapenda Uislam nenda kawekeze Uarabuni. Waislamu acheni ubaguzi nyie.
Nimekuona kule forbes uko juu ya bakhressa kwenye list ya matajiri Africa.sioni sababu kunununua king'amuzi cha azam.. Azam ni king'amuzi flani cha tabaka la wadini na watu wa maisha ya chini..
nenda polisi kelele zako hapa azikusaidiiHatuwezi kupuuza upuuzi huu..waache udini
kwani umelazimishwa kutazamaHizo tamthilia zimewekwa kwa lengo maalumu,kueneza utamaduni wa waarabu na uislamu,
Unajikuta nani yaani mpaka kuimbia Azam nini cha kufanya? Mnasikitisha kinyama nyie watu.Wewe ndio hulewi. Hatukatai ni historia na ilitokea kweli. Kama zilivyo tamthilia nyingine nyingi tu zenye kuelezea historia based on true stories kama 300 sparta nk.
Hoja ni why azam ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuhusu udini kwenye ajira bado maudhui ya vipondi vyao vingi vinaelement za udini? Kwenye makorido ya azam usiposamilia :salamaleko" itakugharim.
Kuna tamthilia maelfu za kituruki zipo neutral kama ezel nani uliona anailalamikia. Aanzishe chanel ya kidini ndio awe free kuweka mambo ya kidini huko hataulizwa
na wewe wabagueAcha udini kuku wewe...nyie Waislamu wabaguzi sana..
Mwamba anataka wapindishe historiaAnother thread ...again
Ottoman series ni series iliyo based na history ya kweli ya Ottoman empire..
Wakishaitoa hiyo series ungependa kingine kipi wafanye...tuagize na Google wafute history yoote ya Ottoman empire?..
Ulipaswa kuangalia hiyo history ni ya uongo...ungekuwa Una Google kila kipande ..kama ni history ya ukweli...ifutwe yote???
Hata Google nao tuwape amri wafute hizo history sababu kuna watu hawazipendi??
Next time tuwaambie wafute na history ya ukoloni ambayo ilionesha wakoloni wazungu wakinyonga babu zetu waafrika...sababu wazungu wakristo tunawachafua??
zinaumiza nn? dawa usiangalieMaudhui ni Dini ..kwann wasitafute zingine ambazo haziumizi Dini nyingine
Sema hujui unaongea nn ngoja tukuache.fatilia nchi nyingi zenye vita za wenyew hua zinaanzaje.sisi tz tumeyashinda hayo kwaiyo vitu vidog tusipuuzie .tunapoona kitu kinaweza hatarisha amani yetu tukemee kwa nguvu zote .Unajikuta nani yaani mpaka kuimbia Azam nini cha kufanya? Mnasikitisha kinyama nyie watu.
Nyie watu nadizi kuwadharau kila sekunde najiuliza IQ percentage yenu ipo level gani.Hayo ni matukioyaliyotokea kweli.Sema wasiishie hapo waoneshe n jinsi Ottoman ilivyoanguka Hadi vita kuu ya kwanza ya Dunia iaisambaratish kabisa hadi anapotoke Mustapha Kemali ( Aturtuki) mkombozi wa Jiji la Constantinople (Istanbul) ya Leo.
Acheni unafki nyie! .. si ndo nyie mnaowaita waislamu wafia dini kwasababu ya propaganda za wamagharibi? wamarekani wakawavamie waarabu makwao halafu wakirespond kwa lugha yao na tamaduni zao museme Uislamu ugaidi! unadhani waislamu wamevumilia kwa kiwango gani kuupakaza matope Uislamu hadi leo? inaonekana mmefikia sehemu sasa unadhani character mbaya ikiwa ni muislamu ni sawa lakini Historia ya kweli ya Ottoman inakuumiza?Kaka una hakika na hili usemalo ? , Kwa ninavofahamu majambazi/magaidi huwa waislam sababu hizo movies either zipo based on true stories au zimebuniwa kutoka kwenye visa vinavofanana na mazingira
Sio Movies zote za Marekani jambazi muislamu, comments kama hizi hazifai
Mimi nina heshima zangu humu sitokujibu kwa kukutukana, pia mimi ni msomi hivo nakuacha,ila siku nyingine wewe mfia dini ukikuta nime comment sehemu naomba usiniquoteWe akili huna. Yani unajitekenya alaf unacheka. Na nmewaona wengine wengi haoa JF wasiokua na akili hata za kujiongeza, yan wanashindwa kutambua hata wanachoandika.
Hivi huoni aibu huu ujinga ulioniquote Mkuu ? Mimi sina chuki na uislam alafu nadhani sikuwa nazungumza na wewe, mambo yenu ya kidini pelekeni hukoAcheni unafki nyie! .. si ndo nyie mnaowaita waislamu wafia dini kwasababu ya propaganda za wamagharibi? wamarekani wakawavamie waarabu makwao halafu wakirespond kwa lugha yao na tamaduni zao museme Uislamu ugaidi! unadhani waislamu wamevumilia kwa kiwango gani kuupakaza matope Uislamu hadi leo? inaonekana mmefikia sehemu sasa unadhani character mbaya ikiwa ni muislamu ni sawa lakini Historia ya kweli ya Ottoman inakuumiza?
Huu ni upumbavu wa hali ya juu kabisa!