AhhhhahahhhahaMuda wote ni kama anataka kucheka muda woteπ€£
Wangekapa character kama ya wifi yake asingeweza kabisa.
Leo amenifurahisha Mama Nelson
Alice amerudi na simu anamwambia hongera mjukuu wangu ayayayaππππ
Kazi zake zote mama anaperform vizuriYes, bi star. Umenikumbusha enzi za fukuto..
Yuko nondo sana yule bimkubwa, kazi chache nilizozitizama hana baya, tanzania hii wasanii wa kiwango chake ni wachache mnoo, ila huyu anachukuliwa poa poa mnoo. Hii zahanati kaibeba kichwanj, na yule mwanae sijui mbwana nae kabeba uhusika vema kabisa.
Hakuna ubunifu kabisa.Local sana
Wengine siyo waigizaji ni WAAGIZWAJI anaagwiza tu utacheza kama muuza mkaa imeisha hiyo, tena wanabebana bebana tu, unakuta tamthilia haina kitu, kuna moja sijui ilikuwa inaitwaje, walikuwa wanakaa uswahilini huko, nyumba ina visa, familia zetu za kimasikini baba,mama watoto,wajukuu wote humo humo.Kazi zake zote mama anaperform vizuri
Huyu mama angejiendeleza apate kielimu kidogo ni msanii mzuri sana maana ana kipaji..
Hatia nayo aliibeba hivyohivyo,, mama anafit characters zote.
Yule sasa ndo muigizaji..
Siyo waigizaji wengine unaangalia mchezo unaona kabisa hapa hakuna kituπ€£
[emoji23][emoji23] Ata kale kanakosuka kadogo dogo nako kanafurahisha sana, pia kuna wale watoto wawili wa yule mama mweupe anaefosi mwanae asirembe ampate doctor, nao wanafurahisha sana.Kuna yule mwenye upara kushangaa kwake sasa
Nawakubal sana[emoji4]Wanajiita utatu mtakatifu[emoji23]
Ile kombolela ππππWengine siyo waigizaji ni WAAGIZWAJI anaagwiza tu utacheza kama muuza mkaa imeisha hiyo, tena wanabebana bebana tu, unakuta tamthilia haina kitu, kuna moja sijui ilikuwa inaitwaje, walikuwa wanakaa uswahilini huko, nyumba ina visa, familia zetu za kimasikini baba,mama watoto,wajukuu wote humo humo.
Yaani Azam tb naangaliaga hiyo zahanati tuSaint Anne twende Azam tv kwenye ndani ya boksiπππ
Mh intro sikuiona kwakweliWamependeza Kwa kweli
Ngoja tuendelee kuona nini kitatokea
Ila kabla haijaanza kurushwa walionyesha baadhi ya vipande vya kutisha,, Mwazani, Mauja sijui na Masalu yule wako porini, Mwazani akanyongwa,, nani mwingine aliona hii intro?
Yes, hiyo hiyo kombolela,Kwenye kombolela kuna watu waliubeba uhalisia, nimeishi uswazi so najua maisha ya uswahilini acha tu.Ile kombolela ππππ
Ya kiswahili mno.
Sasa Muandaaji wa Kombolela ndio huyohuyo wa Zahanati ya kijiji. Sema safari amekuja vizuri Kwa kweli
Ile kombolela sikuipenda ,, Uswahili tupu.
Mama namkubali sana ana act uhalisia sana, wale watoto wake jinsi anavyowahendo ndo ananifurahisha balaa kuna mmoja akawa anamkaba anataka kumuua mjomba wake yule na ni hatariBi Star,mama Mwazani
Hana kazi mbovu yule mama,, halafu ni mkali sana hasa anapocheza na wasanii wachanga au wazembe wasio serious na kazi.
Yeye ukipangwa naye jiandae kumeza script na ujipange kweli maana anawapiga msasa wenzie kabla director hajaanza.
Hataki uzembe kabisa yule mama..
Ukiwa mzembe lazima Cha moto ukione kucheza naye [emoji1787]
Ngoja tuone huko mbeleYes mkuuu hata Mimi nilijua itakuwa ni mambo ya kichawi
Kimbembe huyo π€£Mama namkubali sana ana act uhalisia sana, wale watoto wake jinsi anavyowahendo ndo ananifurahisha balaa kuna mmoja akawa anamkaba anataka kumuua mjomba wake yule na ni hatari
Kaamna [emoji91][emoji91][emoji91]Saint Anne twende Azam tv kwenye ndani ya boksi[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mm silali had iishe ottomanYaani Azam tb naangaliaga hiyo zahanati tu
Michezo michezo
Nikitoka hapo naangalia habari, ndio imetoka..
Mm si mpenzi wa tv.
Kombolela ni maisha halisi kbs ya uswahili, waigizaji walivaa uhuusika haswa. Kwa kweli abdul anajitahid sn ktk kutunga tamthilia zakeYes, hiyo hiyo kombolela,Kwenye kombolela kuna watu waliubeba uhalisia, nimeishi uswazi so najua maisha ya uswahilini acha tu.
Basi huyo muandaaji yuko vizuri...
Huyu jamaa aliandaa Saluni ya Mama kimbo,Kombolela na sasa Zahanati ya kijijiYes, hiyo hiyo kombolela,Kwenye kombolela kuna watu waliubeba uhalisia, nimeishi uswazi so najua maisha ya uswahilini acha tu.
Basi huyo muandaaji yuko vizuri...
Tausi anaigiza vizuri sana, haniboi yan,.Na wakina tausi.. Tangu ezi za siri ya mtungi[emoji23]