Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Tamthilia ya Zahanati Kijijini

Muda wote ni kama anataka kucheka muda wote🤣
Wangekapa character kama ya wifi yake asingeweza kabisa.

Leo amenifurahisha Mama Nelson
Alice amerudi na simu anamwambia hongera mjukuu wangu ayayaya😂😂😂😂
Ahhhhahahhhaha
 
Yes, bi star. Umenikumbusha enzi za fukuto..

Yuko nondo sana yule bimkubwa, kazi chache nilizozitizama hana baya, tanzania hii wasanii wa kiwango chake ni wachache mnoo, ila huyu anachukuliwa poa poa mnoo. Hii zahanati kaibeba kichwanj, na yule mwanae sijui mbwana nae kabeba uhusika vema kabisa.
Kazi zake zote mama anaperform vizuri
Huyu mama angejiendeleza apate kielimu kidogo ni msanii mzuri sana maana ana kipaji..

Hatia nayo aliibeba hivyohivyo,, mama anafit characters zote.
Yule sasa ndo muigizaji..
Siyo waigizaji wengine unaangalia mchezo unaona kabisa hapa hakuna kitu🤣
 
Wengine siyo waigizaji ni WAAGIZWAJI anaagwiza tu utacheza kama muuza mkaa imeisha hiyo, tena wanabebana bebana tu, unakuta tamthilia haina kitu, kuna moja sijui ilikuwa inaitwaje, walikuwa wanakaa uswahilini huko, nyumba ina visa, familia zetu za kimasikini baba,mama watoto,wajukuu wote humo humo.
 
Ile kombolela 😂😂😂😂
Ya kiswahili mno.

Sasa Muandaaji wa Kombolela ndio huyohuyo wa Zahanati ya kijiji. Sema safari amekuja vizuri Kwa kweli

Ile kombolela sikuipenda ,, Uswahili tupu.
 
Wamependeza Kwa kweli
Ngoja tuendelee kuona nini kitatokea

Ila kabla haijaanza kurushwa walionyesha baadhi ya vipande vya kutisha,, Mwazani, Mauja sijui na Masalu yule wako porini, Mwazani akanyongwa,, nani mwingine aliona hii intro?
Mh intro sikuiona kwakweli

Kwahiyo huenda ikawa na mwisho mbaya
 
Ile kombolela 😂😂😂😂
Ya kiswahili mno.

Sasa Muandaaji wa Kombolela ndio huyohuyo wa Zahanati ya kijiji. Sema safari amekuja vizuri Kwa kweli

Ile kombolela sikuipenda ,, Uswahili tupu.
Yes, hiyo hiyo kombolela,Kwenye kombolela kuna watu waliubeba uhalisia, nimeishi uswazi so najua maisha ya uswahilini acha tu.

Basi huyo muandaaji yuko vizuri...
 
Bi Star,mama Mwazani
Hana kazi mbovu yule mama,, halafu ni mkali sana hasa anapocheza na wasanii wachanga au wazembe wasio serious na kazi.
Yeye ukipangwa naye jiandae kumeza script na ujipange kweli maana anawapiga msasa wenzie kabla director hajaanza.
Hataki uzembe kabisa yule mama..
Ukiwa mzembe lazima Cha moto ukione kucheza naye [emoji1787]
Mama namkubali sana ana act uhalisia sana, wale watoto wake jinsi anavyowahendo ndo ananifurahisha balaa kuna mmoja akawa anamkaba anataka kumuua mjomba wake yule na ni hatari
 
Yes mkuuu hata Mimi nilijua itakuwa ni mambo ya kichawi
Ngoja tuone huko mbele
Maana Inaavyoonyesha Masalu ataamsaidia Tausi kumtafuta kaka yake msituni
Rejea kauli ya Mama msichoke, alisema kile kidani msichoke aliokota msituni miaka mitano iliyopita,. Na kaka Tausi alipotea miaka mitano nyuma na kile kilikuwa kidani chake.
 
Mama namkubali sana ana act uhalisia sana, wale watoto wake jinsi anavyowahendo ndo ananifurahisha balaa kuna mmoja akawa anamkaba anataka kumuua mjomba wake yule na ni hatari
Kimbembe huyo 🤣
Kimbembe naona Abdul kamrudisha tena,, alimchezesha kwenye mama Kimbo.
Alikuwa anachamba huyo 😂😂😂😂
 
Yaani Azam tb naangaliaga hiyo zahanati tu
Michezo michezo

Nikitoka hapo naangalia habari, ndio imetoka..
Mm si mpenzi wa tv.
Pole sana mm silali had iishe ottoman
Nitaanza kuangalia zahanat ya kijiji
 
Yes, hiyo hiyo kombolela,Kwenye kombolela kuna watu waliubeba uhalisia, nimeishi uswazi so najua maisha ya uswahilini acha tu.

Basi huyo muandaaji yuko vizuri...
Kombolela ni maisha halisi kbs ya uswahili, waigizaji walivaa uhuusika haswa. Kwa kweli abdul anajitahid sn ktk kutunga tamthilia zake
 
Yes, hiyo hiyo kombolela,Kwenye kombolela kuna watu waliubeba uhalisia, nimeishi uswazi so najua maisha ya uswahilini acha tu.

Basi huyo muandaaji yuko vizuri...
Huyu jamaa aliandaa Saluni ya Mama kimbo,Kombolela na sasa Zahanati ya kijiji
 
Back
Top Bottom