Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

Nimefafanua hili kwenye post ya sasa mkuu, ningemalizia ningegundulika kwenye basi niliolopanda maana tulikuwa wawili tu (tuliopandia mazingira yale). Na hiki kipande cha 2 kipo built around hili basi la 2
 
Buss namba T sijui nini AZZ nawewe ukakata ticket kabisa. Hilo lilipaswa liwe limesha yeyushwa Chuma chakavu
Nilikuwa na wenge la msiba mkuu, hivyo sikufuatilia details zake vizuri kabla ya kukata tiketi. Masaibu yaliponipata ndio nikakumbuka kusoma details
 
Hilo basi lilinipita maeneo ya Manyoni, kwa kulitazama mwonekano tu wa nje huwezi kudhani kama limebeba abiria kuelekea Dsm! Yaani ni prrratatatatataaaah na mi moshi kibaoo😂
😂😂😂😂
 
Mkuu nadhani nimepanda hili pia😂😂
 
Mimi huwa sikubali kupanda gari ambalo silijui au sijapanga kulipanda hasa kwa hizo safari za mbali.
2017 nilipanda Kisbo safari dar-kahama nilijuta aisee. Sijui kama sasa hivi walibadili gari ila lile gari lilikua la ajabu sipata ona.

Kuna gari miaka ya zamani lilikua linapiga mbeya-Tanga aisee ile gari ilikua 3 by 2 ni mbaya sijapata ona.
 
Mabasi mabovu yapo mengi Sana barabarani,mengine Yana kunguni na mende ndani hasa mabasi ya safari ndefu Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kigoma.
 
Sipandi Basi lisilo na usajili wa namba chini ya T***DXA
Sana sana sasa napanda Namba E tu!
 
Mabasi ya aina hii huwa hayana haraka mana yao ni kama fagio kuchukua wale abiria waliochelewa safari na wageni kwenye mabasi ya route za mikoani,mabasi haya huwa yanasimama kila kituo kuchukua abiria yani ni kama daladala.
Hizi basi huwa zinaokoa sana.Ila ukipanda lazima uvumilie maana mwendo wake ni sawa na kutembea kwa miguu ila ukiwa umekaa.
 
Watoto wa miaka ya 2000's wengi wana akili ndogo. Hivyo kuna wakati unalazimika mtu mzima kulala nao tu mbele kwa mbele.
Huyo boya wakuitwa matete sijui gatete ana ufala mwingi sana
Nami nshawahi muwashia moto kwa ujinga wake huu, yupo na mwenzio wakuitwa wegero kwetu na uttoh
 
Kisbo saivi wameboresha ni mazuri sana rangi yake ni nyekundu
 
ifike hatua wafalme,ukiona story ya mtu scrow kwanza mpaka mwisho uone,kama kuna neno (itaendelea…..)

umaku umekuwa mwingi sana humj,hii ni sawa unaalika watu waje kula kumbe hata kuku mwenyewe ni wa kuanza kukimbiza.
Kweli aisee japo umeongea Kwahasira ila nakuunga mkono
 
Do you have a YouTube channel, if no consider it, you are a good content creator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…