TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

TANAPA yatangaza kifo cha Faru Rajabu (mtoto wa Faru John) katika Hifadhi ya Serengeti

Kuna muda Dunia haiko fair kabisa

Yaani ulimwengu mzima unajua faru Rajabu amekufa

Wakati siku Kuna binadamu chungu mzima wanakufa na hawajulikani

Kweli acha watu wagombane kuusaka umaarufu
Binadamu nao ni endangered species ? , Au wamejazana hadi inabidi tuwapunguze kwa uzazi wa mpango Unadhani ndugu Rajabu na wenzako huko wameliingizia Taifa kiasi gani jambo ambalo huenda lilisaidia kunununua kokoto za kuweka lami sehemu ambayo huwa unapita kwenye barabara kwa kujivinari....
 
Ila Hii Nchi Ngumu, Wizara inatoa taarifa officially Mnyama Kufariki.
.
Faru wana uspesho Gani Mpaka akifariki Taarifa Itolewe wakati Huo Simba+swala wakifariki Taarifa Hazitolewi [emoji3][emoji3]View attachment 2159176

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wangeendelea kufanya hivi zaidi na zaidi..., Kwa kutoa hizi Taarifa za kina John na Rajabu kumeleta publicity ambayo huenda ikaongeza watalii (no such thing as bad publicity)
 
Yaan wanakufa wanaume tu mpaka huko kwenye wanyama wanabaki majike aisee pole sana kwa mama faru kwa kuondokewa na mmewe
 
Heeee John alizaa na Muislam au[emoji38][emoji38][emoji38]

Vinatumika vigezo gan kutoa hayo majina kwani
 
Ndugu wahifadhi na jamii kwa ujumla tasnia ya uhifadhi na utalii wa mbugani imepata pigo jingine la kuondokewa na mnyama kivutio cha watalii Faru Rajabu.

Tumuombee apumzike salama na tudumishe uhifadhi endelevu.

R. I. P Faru Rajabu

Source: Mwanachi
 
Back
Top Bottom