Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Nadhani taarifa kamili itatolewa siku ya mazishiHuyu Rajab yeye alibadili dini au ilikuwaje, maana baba yake John alikuwa Mkristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani taarifa kamili itatolewa siku ya mazishiHuyu Rajab yeye alibadili dini au ilikuwaje, maana baba yake John alikuwa Mkristo
Huioni wewe na nani. Ujinga mtupu unaleta hapaBora waishe maana hata faida yake huwa hatuioni
Jitahidi kusoma.habari yote na kuielewa, unawadhalilisha sukuma gang wenzako
Sasa unadhani bila jamaa kama hao TANAPA wana kazi gani ?Wamekosa kazi ya kufanya hawa..
Tunakula Nchi tuu wewe unasugua funza 😁😁Acha tu mkuu.
Mafisi sasa yanasherehekea tu
Binadamu nao ni endangered species ? , Au wamejazana hadi inabidi tuwapunguze kwa uzazi wa mpango Unadhani ndugu Rajabu na wenzako huko wameliingizia Taifa kiasi gani jambo ambalo huenda lilisaidia kunununua kokoto za kuweka lami sehemu ambayo huwa unapita kwenye barabara kwa kujivinari....Kuna muda Dunia haiko fair kabisa
Yaani ulimwengu mzima unajua faru Rajabu amekufa
Wakati siku Kuna binadamu chungu mzima wanakufa na hawajulikani
Kweli acha watu wagombane kuusaka umaarufu
Tena wangeendelea kufanya hivi zaidi na zaidi..., Kwa kutoa hizi Taarifa za kina John na Rajabu kumeleta publicity ambayo huenda ikaongeza watalii (no such thing as bad publicity)Ila Hii Nchi Ngumu, Wizara inatoa taarifa officially Mnyama Kufariki.
.
Faru wana uspesho Gani Mpaka akifariki Taarifa Itolewe wakati Huo Simba+swala wakifariki Taarifa Hazitolewi [emoji3][emoji3]View attachment 2159176
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 Niwe mjumbe..Iundwe Tume haraka!
Duh...Yaan wanakufa wanaume tu mpaka huko kwenye wanyama wanabaki majike aisee pole sana kwa mama faru kwa kuondokewa na mmewe
Kiendacho kwa mganga!Ole wako tukupe hela za rambi rambi kisha usizifikishe manake tutakukula ww!
Endelea kutukana utapata ulajiKei wewe[emoji23][emoji23][emoji23]