King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kuna watu akili zao fyatu...Ana gharimikia alafu anasikia kuwa kuna mtu mwingine uko naye
Ahh anafanya lolote
Ova
Washamba wa mapenziKabisa mkuu ,na wanawake wakishaona wewe ni mshamba wa mapenzi halafu una vichenji chenji atakupagawisha kimahaba ili azidi kukutoboa mfuko kumbe kwa upande mwingine ndiyo anazidi kumkoleza mshamba ,halafu mshamba aje kusikia kwamba kuna Bwege mwingine anakula mzigo lazima akutenganishe viungo.
Huyu ni killer elite, a man ambae hana cha kupoteza ni dangerous man. Huwa hawaongei ila utapata habari zaoHii iliwahi kutokea India, mume baada ya kujua mkewe anatoka na mwalimu wake wa mazoezi (gym), akaamua kumuua kwa siri kwa wakati ambao watu wote waliamini yeye hakuhusika.
Akamkata vipande vipande akitumia msumeno wa umeme, aliifanya kazi hiyo usiku bafuni. Kisha, kila kipande akakiweka kwenye mfuko mdogo kama mfuko wa rambo.
Akanunua jokofu kubwa akaweka mifuko yote na akafunga kwa kufuri kubwa. Kila akienda kazini alfajiri anatupa mfuko mmoja kwenye mto unaokatiza kwenye daraja la njia yake ya kwenda kazini.
Kuna kosa moja alifanya, likafichua kila kitu na akanaswa.
Ova
Washamba wa mapenzi
Wageni wa mapenzi wakiumizwa wanaumia kweri kweri!
Ova
Kumbe hapa alikuwa na miaka 2 tuu mbele dah
Yeya anajua kinachoenda kwa mganga hakirudi so anahamua amaamalizane naye mazima.Sasa km tatizo ni pesa si aseme arudishiwe!!
Hizi mambo za kufikia hatua ya kuuana ni afya ya akili haiko vizuri kichwani.!!
Halafu sio Kenya kama alivyosema hili tukio limetokea Australia janaPicha haiendani na tukio hawa waliuwana kwa risasi
Mwanaume akipenda sanaaaWewe Kuna kitu unacho kichwani....naenda nawe taratiibu
Hamna ushamba wake wa michejo na kitumbua 😜Yeya anajua kinachoenda kwa mganga hakirudi so anahamua amaamalizane naye mazima.
Ushawahi kusikia marioo kaua lishangazi? Kwasasabu Mariooo yeye hagharamikii so anakuwa hana machungu hata akimfumania maana anajua akizingua mirija inakata.....Uchungu unakuja mtu akifikiri gharama alizoinvbest kisha anasalitiwa.
Kosa gani mkuuHii iliwahi kutokea India, mume baada ya kujua mkewe anatoka na mwalimu wake wa mazoezi (gym), akaamua kumuua kwa siri kwa wakati ambao watu wote waliamini yeye hakuhusika.
Akamkata vipande vipande akitumia msumeno wa umeme, aliifanya kazi hiyo usiku bafuni. Kisha, kila kipande akakiweka kwenye mfuko mdogo kama mfuko wa rambo.
Akanunua jokofu kubwa akaweka mifuko yote na akafunga kwa kufuri kubwa. Kila akienda kazini alfajiri anatupa mfuko mmoja kwenye mto unaokatiza kwenye daraja la njia yake ya kwenda kazini.
Kuna kosa moja alifanya, likafichua kila kitu na akanaswa.
Ova
Mapenzi unatumiaje akili? Uko stage ya yale ya kikorea na kifilipino weee?Changamoto za afya ya akili, kwanini watumie hisia badala ya akili?
🤣🤣🤣 wewe una ugomvi na bulldozerhaswa hawa watumishi mambo leo hawa kina mwamposa, nahisi wengi wana viashiria
wanapenda zile sifa za kuitwa 'baba wa kiroho' kupigiwa makoti, kunyenyekewa halafu unakuta makanisani wanahubiri vitu vya ajabu eti mwanamke akifanya ngono kabla ya ndoa ni malaya etc
Hawanibariki.
Machizi wengi wake kwa waume.!Hat wanawake wako machizi ukimzingua anakuja kukuzingua
Kumbuka yule dem aliyempiga kibiriti yule bwana wake huko mbezi msakuzi sjui makabe
Ova
Mapenzi ya kibongo ukitumia hisia hutoboi lazima upigwe na kitu kizito.Mapenzi unatumiaje akili? Uko stage ya yale ya kikorea na kifilipino weee?
☹️Mwanaume akipenda sanaaa
Mwisho kuna mambo mawili yanaweza kutokea endapo mwanamke atakuja kumvuruga mwanaume
Ova
🤣Naona ume comment mara tisa. Itakuwa ume reflect na maisha yakoHawa wanaume washamba wa mapenzi watatumaliza 😭😭
Wala sio uongo. Wapo wanawake anampenda mtu kwa sababu jamaa ni aliwahi kufanya jambo fulani kwa mfano kuua (serial killer) na wapo wanawake wana matatizo ya akili anaamini mtu fulani maarufu ni mpenzi wake na watafunga ndoa mfano Mbosso hawa anaweza kukuua ukikataamimi naegemea kwenye point yangu ya afya ya akili
kuna magonjwa mabaya sana ya akili yanafanya mtu anakuwa katili sana mfano psychopathy
shida ni kwamba huwezi kujua moja kwa moja kwamba mtu ana shida ya akili au la
halafu nimewahi kusikia kuna wanawake wanavutiwa na wanaume wenye magonjwa flani ya akili
Kwahiyo wewe kazi yako kuhesabu comments zangu. Basi kazi unayo 😹😹🤣Naona ume comment mara tisa. Itakuwa ume reflect na maisha yako