niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Kamwe usiiue katika mazingira usiyojilinda usiuwawe.Alikuwa reckless. Kamwe usimuue mtu ambaye kila mtu kajua mna matatizo, wewe ndo utakuwa mshukiwa wa kwanza
Your number one fan huyoKwahiyo wewe kazi yako kuhesabu comments zangu. Basi kazi unayo πΉπΉ
πKua makini sana. Sahv mwendo wa mishikaki tuKwahiyo wewe kazi yako kuhesabu comments zangu. Basi kazi unayo πΉπΉ
Nampenda sana huyo dadaπ borq umenisaidia kusemaYour number one fan huyo
πππ hatari basiπKua makini sana. Sahv mwendo wa mishikaki tu
ππ kumbe?!!Your number one fan huyo
πππ Ehh ataniweza kweli??
Kuhesabu idadi ya comments huyu hana baya huyuππ kumbe?!!
Hata sijui shosti
Hapo na mimi ndo nina wasiwasi napo, atawezana!!! demu unaetumia akili aah hakuwezi huyu asikupe dhambi ya bureπππ Ehh ataniweza kweli??
Kanishinda aisee.!!Kuhesabu idadi ya comments huyu hana baya huyu
πππ yeye haogopi??Hapo na mimi ndo nina wasiwasi napo, atawezana!!! demu unaetumia akili aah hakuwezi huyu asikupe dhambi ya bure
Ana hisia kali sana π€£π€£π€£Kanishinda aisee.!!
Mi nakoment Hata sijui ziko ngapi lakini yy anajua.!
Kweli kazini kwetu kuna kazi. ππ
ππππππ yeye haogopi??
Hapa atajichinja mwenyewe
Hana maisha marefu basi π€£π€£Ana hisia kali sana π€£π€£π€£
Af Anakwambia mke wakati ni hawala πBado unaendelea kukurupuka kama ilivyo kawaida yako!!!