TANESCO achana na Solar Energy, ni wizi na hasara kwa Taifa

TANESCO achana na Solar Energy, ni wizi na hasara kwa Taifa

Nadhani umezunguka sana kiasi umeshindwa kuelewa unakotoka na unakokwenda. Kama mtu binafsi anawekeza pesa yake kwa nini Tanesco ndo itangaze tender? Unaweza ukatangaza tender ya investment ya mtu binafsi? Utaratibu gani huo. Soma tena hiyo page usijejikut nawe unajigonga mwenyewe.

Hujaelewa jinsi gani Tanesco wanavyojiingiza. Wao wametangaza ujenzi wa farms na specifications za expected outputs na hatimaye hizo ni farm za Tanesco. sasa unaleta mambo ya kiingereza gani wakati hata procedure tu zingeweza kukustua. Hizo ni farm za Tanesco, simple!
Ngoja nitafsiri hiyo page kiswahili uelewe
==================
Kuongeza sehemu ya jua na mchanganyiko wake wa nishati, matumizi ya nguvu ya Tanzania (Tanesco) inataka kujenga mimea ya jua katika mikoa sita. Kama taifa linajaribu kiwango chake miradi bora iliyofanikiwa itakuwa kuanzia MW 20 hadi 50 kwa ukubwa. Pamoja na uwezo wa pamoja wa matumizi ya nguvu ya umeme wa serikali ya MW 150 Kampuni ya Swala ya Umeme ya Tanzania (Tanesco) imetoa ombi la kufuzu kwa ujenzi wa miradi kadhaa mikubwa ya PV.

Kutoka kwa mimea katika mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Iringa kwa miaka miwili ijayo, kulingana na hati kupitia zabuni, Tanesco inakusudia kupata umeme. Miradi iliyochaguliwa itakuwa kati ya MW 20 na 50 kwa ukubwa, mapendekezo ya mradi lazima yasilishwe ifikapo Oktoba 19 na watengenezaji watalazimika kufanya masomo yakinifu na kufanya kazi, kumiliki, kujenga, kufadhili, na kuhamisha miradi hiyo.

Nguvu yote kutoka kwa mbadala inaweza kupatikana hadi 2050 na taifa hili la Afrika. Mpango wa zabuni hiyo itakuwa jaribio la kwanza la kuleta nishati ya jua kubwa kwa taifa la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa inatekelezwa.Tanzania imetekeleza miradi ya jua ya gridi ya jua kwa kuboresha sehemu ya upya katika mchanganyiko wake wa nishati, na idadi ya watu karibu milioni 59 na viwango vya upatikanaji wa umeme kuanzia karibu 32%, mini-gridi ya umeme ya Jumeme Rural Power Supply Ltd imefanya miradi miwili iliyopita ya aina hii.

uwezo wa uzalishaji wa umeme unatoka 696.3 MW ya mimea ya nguvu ya gesi ya mafuta ambayo hufanya karibu 57% ya Tanesco, na 43% iliyobaki inawakilishwa na 561.8 MW ya hydropower. Kampuni inafanya kazi zaidi ya 52.2 MW ya mimea ya gridi ya taifa.

Kufikia 2050 Tanzania ina uwezo wa kufunika mahitaji yake ya umeme kabisa kutoka kwa umeme mpya. Kulingana na utafiti uliochapishwa hivi karibuni na Taasisi ya Uchumi Endelevu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia Sydney, mtandao wa hatua ya hali ya hewa Tanzania, mkate kwa ulimwengu na baraza la baadaye la ulimwengu.

Uwezo wa watumiaji kutofautisha kati ya bidhaa nzuri na duni ni kizuizi cha soko kuu. Kujiamini kwa watumiaji ni kumalizika kwa matumizi duni ya bidhaa za Ofisi ya Viwango Tanzania (TBS) na Taa Africa wamekuwa wakifanya kazi kwa kuunganisha Viwango vya Ubora wa Taa katika mfumo wao wa kisheria. Hadi viwango vitakapopitishwa Wataendelea kutoa mwongozo kwa (TBS). Ili kupunguza athari za bidhaa duni na bandia katika soko Pia watafanya kazi na Chama cha Nishati Mbadala cha Tanzania (TAREA) na Tume ya Ushindani inayofaa
=========={=================
Hakuna sehemu iliyoandikwa Tanesco ataweka hela au kumiliki ,kilichopo hapo ni Tanesco kuangalia viwango Tu.
 
Mkuu
Umenena vyema hasa Katika kipengele cha elimu. Sisi waafrika tuna Shida Kweli ya kujimwambafai Katika hamna.
Mchangiaji, ingetosha Sana kwake kuweka ufahamu wake kuliko kukariri Mara kwa Mara kuwa Mimi nimesoma, Nina masters, nimeipata... Nina MTu marekani anayeniambia ....
Hii Ndio Shida yetu. Tunasoma lakini hatuelimiki. Ndio maana utaona watanzania wanapigwa Kweli ktk sekta nyingi huku tukiwa na hao wanaojiita wasomi.
Ukiangalia hata hizo solar zinazofubgwa majumbani, watu wanapigwa kwelikweli lakini Kuna wasomj wa kiwango cha masters ambao wameshindwa hata kutengeneza charger controller na matokeo yake wachina wanafanya kula kitu.
No wasomi wangapi wameweza kuunda hata mini HEP ya kuhudumia hata familia 50? Zaidi Sana ni kujadili dhana za kufikirika na hasa kwa lengo LA kujinufaisha wao binafsi.
Kama umesomea certificate ya house keeping au record management na wewe si ujimwambafy!!
Maana mm ninavyosema nimesoma kitu fulani ni Ku declare interest kwny huo mjadala,unaanzaje kuchangia mjadala bila kujitambulisha kwa kudeclare interest ,hauwezi kuwa professional lazima nijibrand haujiui kuna watu wanaweza kuwa wanaitaji ushauri au msaada kwa mtu kama mm??Basi tambua wapo wengi wanakuwa wana ni PM na nawapa free career advice,wapo wanaokuja kwa kutaka tufanye project kwny hiyo sector.
So some time tunatumia uwanja huu kimkakati sio kumaliza bundle Tu.
 
Bado narudi pale pale.
Mtoa mada kasoma juu juu kakimbilia ku-post jambo asiloelewa.
Angalia content ya hiyo tender, kampuni husika itafanya feasibility study, ita build solar farm, ita operate yenyewe, then baada ya miaka kadhaa, kama 20 hadi 25 Solar Farm itakabidhiwa kwa Tanesco kama mali halali ya Tanesco.

All that long, Tanesco itakuwa inauziwa umeme hadi muda wataokubaliana ufike. Hapo wewe unataka nini tena?
Kiwanja hujatoa, initial investmest hujachangia, umeme unauziwa kwa bei ndogo.
Baada ya miaka 20 hadi 25 plant inakuwa yako 100%.

Ikumbukwe kuwa Return On Investment ya Solar Farms ni miaka 10 hadi 15.
So hapo bado Tanesco are to benefit.

View attachment 1378700
Hebu tuwekane sawa hapa maana mikataba ya TAnesco baadaye iligeuzwa na kuwa ignorance ya kuandika mikataba. Naomba kufahamu maana ya maneno ya mwisho.....and Transfer the projects. NAhisi hapo ndo kuna mtego kama ule wa IPTL na capacity charges. Wanatransfer kwa mkataba na makubaliano yapi? Huo ndo mzigo unavaliwa na TAnesco!
 
BOOT ( Build, Own, Operate Transfer) ni aina ya mkataba unaotumika sana katika miradi ya Public Private Partnership. Hapa investor atajenga, atamiliki na ataendesha mradi kwa muda ambao atakubaliana na Tanesco. Baada ya huo muda kuisha, milki ya plant hiyo itahamishwa kwa Tanesco pamoja na wajibu wa kuundesha. Kinadharia Tanesco habebi mzigo wote lakini mara nyingi investor atataka apate uhakika wa kurudisha investment yake katika muda wa mkataba na hivyo asingependa kupangiwa bei na mtu. Na kama Tanesco ndio itakuwa mteja wake wa pekee, suala la capacity charge halikwepeki. Akiruhusiwa kuwauzia wananchi moja kwa moja, capacity charge italipwa na mtumiaji.

Amandla......
 
Kama ni hela zake hakuna shida, hila kama TANESCO wanaweka hela hapo ndio tatizo.
Kuna ka uhuni hapo kwenye tangazo. Inaonesha mwishoni miradi inakuwa transfered kwenda Tanesco. Hapo sasa ndo makubwa yanaweza kuwa yamefichwa. Usikute kila mradi kuna shares za watu wa Tanesco.
 
BOOT ( Build, Own, Operate Transfer) ni aina ya mkataba unaotumika sana katika miradi ya Public Private Partnership. Hapa investor atajenga, atamiliki na ataendesha mradi kwa muda ambao atakubaliana na Tanesco. Baada ya huo muda kuisha, milki ya plant hiyo itahamishwa kwa Tanesco pamoja na wajibu wa kuundesha. Kinadharia Tanesco habebi mzigo wote lakini mara nyingi investor atataka apate uhakika wa kurudisha investment yake katika muda wa mkataba na hivyo asingependa kupangiwa bei na mtu. Na kama Tanesco ndio itakuwa mteja wake wa pekee, suala la capacity charge halikwepeki. Akiruhusiwa kuwauzia wananchi moja kwa moja, capacity charge italipwa na mtumiaji.

Amandla......
Nadhani tatizo liko hapo! Miradi yote ya kibiashara kwa mtindo wa PPP sub-sahara imeshindwa. Bahati mbaya mfano mkubwa ktk nchi hizi ni Tanzania na IPTL ya Tanesco. Sasa tena Tanesco wanarudi na PPP ya solar, vituko vile vile! Usikute tangu mwanasheria hadi mkuu wa taasisi na huenda injinia wetu huyu mwenye masters wameshapata shares ktk hiyo miradi. Anayepigwa ni Tanesco!
 
Kuna ka uhuni hapo kwenye tangazo. Inaonesha mwishoni miradi inakuwa transfered kwenda Tanesco. Hapo sasa ndo makubwa yanaweza kuwa yamefichwa. Usikute kila mradi kuna shares za watu wa Tanesco.
Nadhani ni kind of ‘Build Operate Transfer’ (BOT) investment Tanesco inachotafuta.

Kama wanaalika tu wawekezaji ni aina ya Bagamoyo Port kwa mujibu wa hiyo nakala.

What is actually behind the nitty gritty details it is usually hard to tell kwa mikataba ya Tanzania huwa ya siri na humo ndio kunapokuaga na elements za ajabu.

But still if you gonna invite investors maana sio wao wanaoomba kuja kama China Merchants na Bagamoyo Port, you might as well ask those who will invest in reliable sources.
 
Kama sikosei siyo mara ya kwanza kwa Tanesco kuja na mtindo huu na kuishia kwenye failures. IPTL nadhani ilikuja hivi hivi! Kama siyo basi lakini ni hii hii. Jamaa wata operate, watavuna faida na kipigo kwa Tanesco halafu watakabidhi mabaki ya mradi usio na faida. Na mara nyingi unawakuta watendaji wakuu wa taasisi walijua yote hayo ila wakajipa bei nafuu na kununuliwa. PPP ktk bussiness kwetu huku ni failures tupu. Hakuna miracles, Tanesco wamerudi na vituko vyao.
 
Guys let's be serious japo kidogo...
JF ni jukwaa kubwa sana nchini ambako kama hujui undani wa Jambo basi kuanzisha uzi ama kuchangia ni sawa na kuidanganya dunia!
Niwapongeze TANESCO kwa kuona mbali... Ni hivi tuko katika zama za mabadiliko makubwa ya tabia ya nchi (climate change).
Mabadiliko haya (climate change) pamoja na athari nyingine yanahatarisha zaidi uhakika wa kupata mvua ya kutosha kwa misimu na wakati!
Ni ukweli usiopingika kuwa nishati yetu ya umeme inategemea nguvu ya maji kwa asilimia kubwa! Na ni ukweli usiopingika vile vile kuwa mabwawa yetu ya kuzalishia umeme tayari yapo hatarini kutokana kina kisichotabirika cha maji!
Wazo la nishati/umeme mbadala, nishati/umeme endelevu nadhani tukiweka ushamba na ujinga pembeni ni suluhisho endelevu na huria zaidi kwa maendeleo ya vizazi vya sasa na vile vijavyo!!
Si lazima mpinge kila kitu... Jielimisheni kwanza kabla!
 
Kama sikosei siyo mara ya kwanza kwa Tanesco kuja na mtindo huu na kuishia kwenye failures. IPTL nadhani ilikuja hivi hivi! Kama siyo basi lakini ni hii hii. Jamaa wata operate, watavuna faida na kipigo kwa Tanesco halafu watakabidhi mabaki ya mradi usio na faida. Na mara nyingi unawakuta watendaji wakuu wa taasisi walijua yote hayo ila wakajipa bei nafuu na kununuliwa. PPP ktk bussiness kwetu huku ni failures tupu. Hakuna miracles, Tanesco wamerudi na vituko vyao.
That’s where the danger lies, always the devil is in the details. From the outside it looks all rosy.

Ndio hapo unapojiuliza wakishazalisha TANESCO ndio mteja kama vile ilivyokuwa IPTL anananua kutoka kwa mzalishaji na kuuza, bei itakuwaje is it cheaper than gas plant investment, kuna guarantee za serikari kwenye malipo, mambo yakienda mrama inakuwaje, source of capital ya mwekezaji inatoka wapi and how exactly is the whole scheme supposed to work.
 
That’s were the danger lies, always the devil is in the details. From outside it looks rosy.

Ndio hapo unapojiuliza wakishazalisha TANESCO ndio mteja kama vile ilivyokuwa IPTL anananua kutoka kwa mzalishaji na kuuza, bei itakuwaje is it cheaper than gas plant investment, kuna guarantee za serikari kwenye malipo, mambo yakienda mrama inakuwaje, source of capital ya mwekezaji inatoka wapi and how exactly is the whole scheme supposed to work.
Purely cannibalism business! Unakuta investors wanakuja na guarantee ya Tanesco kukopa kwenye benki zetu. wanaanzisha mradi halafu Tanesco hao hao wanawatetea kwamba hii ni clean energy bei ni kubwa ila kuna faida za kimazingira bhla! bhla! Hata IPTL waliambiwa sana ndani kwa ndani na waliokuwa na uchungu lakini hawakusikiliza kama unavyoona mtu anataja hadi CV yake na masters yake hapa JF, ili tu mradi usipigiwe kelele.
 
Majivuno mengine musiyalete JF wakati yana makosa kibao! Kwa hiyo una masters. Hiyo masters ndo ulijiunza low Co2 emission badala ya low-carbon emission? Ukajifunza na mambo wanayoyasema ulaya na sasa unayaleta Tanesco? Hao waliokueleza hayo ulaya wao wameweza kufikia kiasi hicho cha kuachana na hydro na kuelekea kwenye solar. Mbona wako nuklia?

Hiyo ndo elimu ya mwafrika, alichokariri ulaya sasa anakileta Tanesco. Tueleze wewe unaonaje? Ni sahihi kuachana na hydro kuelekea solar? sababu ni zipi. usisimulie hadithi za masters. Duniani ktk low-carbon energy source ya kwanza ni hydro na pili ni nuklia, kwa nini munarukia solar?

Boss mazingira ni tofauti. Sisi hatuna mito inayoganda kuwa barafu, maji yanenda mwaka mzima. Hatuna winter storm! Uchumi wetu bado ni pesa za kuokoteza na hatuna muda wa kujaribia.

Jaribu kufactor in Climate Change uone madhara tarajali alafu utwambie kama unachotetea ndo option nafuu leo na kesho!!
 
Purely cannibalism business! Unakuta investors wanakuja na guarantee ya Tanesco kukopa kwenye benki zetu. wanaanzisha mradi halafu Tanesco hao hao wanawatetea kwamba hii ni clean energy bei ni kubwa ila kuna faida za kimazingira bhla! bhla! Hata IPTL waliambiwa sana ndani kwa ndani na waliokuwa na uchungu lakini hawakusikiliza kama unavyoona mtu anataja hadi CV yake na masters yake hapa JF, ili tu mradi usipigiwe kelele.
7E6D5D11-CF58-4DA5-9634-00CEA6E4A13F.jpeg

Inaonekana na wao Tanesco wamejiongeza kidogo apparently, maana awataki kununua unit moja kwa zaidi ya US 4.5 cent; not sure if that is the fair rate for that kind of investment kwa ivyo mwekezaji ndio ajipange mpaka nilipoishia kusoma hiyo nakala hila kuna mjadala interesting from other commenters ntapita kusoma zaidi.

Mchana/Jioni/Usiku mwema mkuu depending on where you are on the globe kuna story kule jukwaa la habari very interesting tangia mchana nasoma hiyo thread.

Hawa Tanesco wasikuumize kichwa siku zote mambo yao huwa magumashi mwisho wa siku.
 
Tunachohitaji hapa kwetu ni kuwa na sera ya ku diversify uzalishaji wetu wa umeme na kuondokana na source ambazo zinaweza kutuletea matatizo hapo baadae.

......

Mkuu naunga mkono hoja zako zote.

Hata hivyo, nakupa taarifa tu kuhusu sera ya ya kudivesify uzalishaji wa nishati yetu. Kwenye sera ya Taifa ya nishati ya mwaka 2015. Suala la diversification of energy sources and resources limetiliwa mkazo. na Renewqble energy ndiyo imepigiwa chapuo kufanikisha diversification hiyo.
 
Mikataba inayoingiwa sasa hivi na Tanesco si kama ilivyokuwa huko zamani.
Transfer project inamaana Tanesco anaimiliki hiyo project free of charge, in many cases kwa issue ya solar ataiendesha kwa miaka 5 itakuwa imeshuka thamani au technology mpya itakuwepo hivyo hakutokuwa na haja ya Tanesco kuendelea run hiyo project.

But as per contract, kwa uelewa wangu, hiyo transfer inampa Tanesco umiliki wa mradi na vyote vilivyomo ndani ya mradi.
Hebu tuwekane sawa hapa maana mikataba ya TAnesco baadaye iligeuzwa na kuwa ignorance ya kuandika mikataba. Naomba kufahamu maana ya maneno ya mwisho.....and Transfer the projects. NAhisi hapo ndo kuna mtego kama ule wa IPTL na capacity charges. Wanatransfer kwa mkataba na makubaliano yapi? Huo ndo mzigo unavaliwa na TAnesco!
 
Ngoja nitafsiri hiyo page kiswahili uelewe
==================
Kuongeza sehemu ya jua na mchanganyiko wake wa nishati, matumizi ya nguvu ya Tanzania (Tanesco) inataka kujenga mimea ya jua katika mikoa sita. Kama taifa linajaribu kiwango chake miradi bora iliyofanikiwa itakuwa kuanzia MW 20 hadi 50 kwa ukubwa. Pamoja na uwezo wa pamoja wa matumizi ya nguvu ya umeme wa serikali ya MW 150 Kampuni ya Swala ya Umeme ya Tanzania (Tanesco) imetoa ombi la kufuzu kwa ujenzi wa miradi kadhaa mikubwa ya PV.

Kutoka kwa mimea katika mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza, Simiyu na Iringa kwa miaka miwili ijayo, kulingana na hati kupitia zabuni, Tanesco inakusudia kupata umeme. Miradi iliyochaguliwa itakuwa kati ya MW 20 na 50 kwa ukubwa, mapendekezo ya mradi lazima yasilishwe ifikapo Oktoba 19 na watengenezaji watalazimika kufanya masomo yakinifu na kufanya kazi, kumiliki, kujenga, kufadhili, na kuhamisha miradi hiyo.

Nguvu yote kutoka kwa mbadala inaweza kupatikana hadi 2050 na taifa hili la Afrika. Mpango wa zabuni hiyo itakuwa jaribio la kwanza la kuleta nishati ya jua kubwa kwa taifa la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwa inatekelezwa.Tanzania imetekeleza miradi ya jua ya gridi ya jua kwa kuboresha sehemu ya upya katika mchanganyiko wake wa nishati, na idadi ya watu karibu milioni 59 na viwango vya upatikanaji wa umeme kuanzia karibu 32%, mini-gridi ya umeme ya Jumeme Rural Power Supply Ltd imefanya miradi miwili iliyopita ya aina hii.

uwezo wa uzalishaji wa umeme unatoka 696.3 MW ya mimea ya nguvu ya gesi ya mafuta ambayo hufanya karibu 57% ya Tanesco, na 43% iliyobaki inawakilishwa na 561.8 MW ya hydropower. Kampuni inafanya kazi zaidi ya 52.2 MW ya mimea ya gridi ya taifa.

Kufikia 2050 Tanzania ina uwezo wa kufunika mahitaji yake ya umeme kabisa kutoka kwa umeme mpya. Kulingana na utafiti uliochapishwa hivi karibuni na Taasisi ya Uchumi Endelevu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia Sydney, mtandao wa hatua ya hali ya hewa Tanzania, mkate kwa ulimwengu na baraza la baadaye la ulimwengu.

Uwezo wa watumiaji kutofautisha kati ya bidhaa nzuri na duni ni kizuizi cha soko kuu. Kujiamini kwa watumiaji ni kumalizika kwa matumizi duni ya bidhaa za Ofisi ya Viwango Tanzania (TBS) na Taa Africa wamekuwa wakifanya kazi kwa kuunganisha Viwango vya Ubora wa Taa katika mfumo wao wa kisheria. Hadi viwango vitakapopitishwa Wataendelea kutoa mwongozo kwa (TBS). Ili kupunguza athari za bidhaa duni na bandia katika soko Pia watafanya kazi na Chama cha Nishati Mbadala cha Tanzania (TAREA) na Tume ya Ushindani inayofaa
=========={=================
Hakuna sehemu iliyoandikwa Tanesco ataweka hela au kumiliki ,kilichopo hapo ni Tanesco kuangalia viwango Tu.
Unahangika bure kutafsiri. Sidhanikama lugha ya kiingereza uniweza kuliko nilipo mimi.
Swali moja tu, mwishoni ni kuhamisha (Transfer) ina maana gani?
 
Patriot, hivi kweli mwanakijiji wa leo anahitaji mwanga kwa ajili ya kuwafukuza wanyama peke yake? Huyu mwanakijiji wa leo hasomi, hana watoto wanaoenda shule, hana simu ya mkononi n.k.! Mimi naona hiyo ni sawa na Trump ambae anaamini kuwa waafrika wote tunaishi kwenye vibanda vya nyasi.

Kuhusu ubora wa vifaa vya solar na ufungaji wake hilo ni ishara ya udhaifu wa regulators na sio teknolojia yenyewe. Hivi sasa solar imekuwa cottage industry na kila mtu anajiuzia na kufunga bila usimamizi wowote. Sio watu wote wanaouza na kufunga solar systems wana ujuzi unaotakiwa. Lakini mbona hata simu nyingi tunauziwa ambazo hazidumu lakini hatuwezi kuitaka serikali izuie uuzaji wa simu za mkononi kwa sababu hiyo. Tunachokifanya ni kuzitaka mamlaka husika kuhakikisha kuwa simu zote zinazoingia kwenye soko ni za kiwango kinachotakiwa. Inakiwa iwe hivyo hivyo kwa hii biashara ya solar. Mimi binafsi nimewahi kuweka system ya solar kijijini na haikunisumbua.

Kitu kingine ni kutaka kuepuka gharama kwa kutumia mali duni. Kwa mfano, watu wanatumia betri za lead acid badala ya za lithium ion ambazo ni bei nafuu zaidi lakini hazidumu sana. Aidha, kuamini kuwa betri na solar system zitadumu milele bila maintenance. Betri za solar kama betri zozote zinapungua nguvu kila unapotumia na life span zake ni kati ya miaka mitano hadi 15.

Bahati mbaya wengi wetu ni conservative na huwa hatutaki kutumia vitu vipya. Wengi wetu bila kujali uwezo wetu bado tunaamini chakula kilichopikwa kwenye mkaa ( sijui kwa nini hatusemi kuni) ni kitamu kuliko kilichopikwa kwenye jiko la gesi au umeme. Inabidi tubadilike.

Amandla........
Ume reply message ya zygot ukanitaja mimi. Ni makosa au unaomba maoni yangu? Maoni yangu ni kwamba mtoa mada aliiona hiyo kama mfano. Naamini anafahamu kwamba vijijini wanawasha taa na redio kwa kutumia solar. Msimamo wangu ni kama wa zygot kwamba ni uharibifu wa miradi ya serikali kujiingiza kwenye solar wakati njia za kuaminika kuleta umeme zikiwepo. Tusipeane uwongo kwa jina la injinia wakati nikiangalia yanayoandikwa na mtu anayejiita injinia yako nyuma ya wakati.

The cutting edge research zimeshahama kwenye kuhangaika na solar energy. Tusiwaponze wana vijiji eti ni rahisi. Siyo rahisi na hata wao wakipelekewa REA, hakuna anayetamani kuwa na solar.
 
Mbona simple IPO hivi wakati hao wajuba wanafanya tafiti, wanawekeza,na kuendesha mradi TANESCO wao watakuwa hawachezi mbali ,watakuwa wanawa zoom ktk angle fulani wataendelea kuwazoom mpk wakifika kwny pitch angle km wataona huo mradi una manufaa na masirahi mapana kiTaifa hauna janja janja wala makando kando hapo ss Tanesco watakaa meza moja na hao jamaa na kuuchukua huo mradi kwa makubaliano kama walivyokubaliana.
Naomba nikuulize kuna sehemu yoyote ambapo Tanesco waliwahi kufanikiwa ktk miradi ya aina hii? Kwenye IPTL walifanya nini? Hawakuweza ku-zoom?

Unatupeleka kwenye yale yale mambo ya kipuuzi yanayofanywa na shirika hili kila leo. Hakuna cha ku-zoom hapo ni upigaji tu! Iwe ni Songas iwe ni Dowans iwe ni IPTL hakuna kitu! Hwajawahi kuwa na maslahi ya kitaifa watu hawa. Ukiona shirika ambalo CEO wake anajiingiza ktk upigaji, hiyo ni kuonesha hata akiondolewa, mizizi bado ipo. Ndiyo haya! Kwa nini hamtaki kuachana na experiment za solar?
 
Back
Top Bottom