TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Kijana unaongea historia,usitukumbushe kuhusu serikali za janja janja serikali zenye makando kando ya kiupigaji hii ni serikali Mpya serikali ya hapa Kazi Tu lengo ni kuwa na Taifa la uchumi wa viwanda.Naomba nikuulize kuna sehemu yoyote ambapo Tanesco waliwahi kufanikiwa ktk miradi ya aina hii? Kwenye IPTL walifanya nini? Hawakuweza ku-zoom?
Unatupeleka kwenye yale yale mambo ya kipuuzi yanayofanywa na shirika hili kila leo. Hakuna cha ku-zoom hapo ni upigaji tu! Iwe ni Songas iwe ni Dowans iwe ni IPTL hakuna kitu! Hwajawahi kuwa na maslahi ya kitaifa watu hawa. Ukiona shirika ambalo CEO wake anajiingiza ktk upigaji, hiyo ni kuonesha hata akiondolewa, mizizi bado ipo. Ndiyo haya! Kwa nini hamtaki kuachana na experiment za solar?
Kuhusu miradi ya solar nishakujibu hautaki kuelewa.
Kasome maswala ya energy mix,energy transition,au niombe PDF nikutumie usome hacha uvivu wezako walisoma ndio maana wapo paler juu wanafanya maamuzi ya kitaifa,ww ulikataa kusoma tulia watu wafanye yao.