TANESCO: Gridi ya Taifa yapata hitilafu. Umeme wakatika nchi nzima - Juni 27, 2026

Pumbavu zenu tunajua mnatufanyia michezo kenge ninyi ,mtakiona cha moto tarehe saba
 
M Wanza giza nlikuwa nafunga sola yangu baada ya kuvuta umeme waya zilipungua nikawambia chukueni za solar, ndo nimewasha hapa sebuleni dining na jilo angalau giza limekimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…