Kila anayeteuliwa mnasema hivi, ila ukipita muda mnakuja kusema kachemsha.MD mpya Bw. Maharage ndiye mwarobaini wa matatizo yote ya Tanesco. Tumwombee kheri.
Maharage atakuwa njegere Nchi ngumu sana Siasa kila kitu mpaka kumkamata mboweKila anayeteuliwa mnasema hivi, ila ukipita muda mnakuja kusema kachemsha.
Nchi ngumu sana hii, huyo maharage muda si mrefu tutaona Bora aliyepita
Kuna mdau mmoja wa Twitter alitoa taarifa zake namna hii Kisha mkazitumia kwa ajili ya manufaa ya watesi wake.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Kama kawaida yenu,Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Dah...hivi gharama ya nguzo moja ya zege ikoje?,🤭Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Na huu ndio ukweli unatesa watu hadi kero, unaenda Tanesco uwezo wa kulipia gharama zozote unao ,Changamoto wanaanza kukupa mpaka unasema serikali iko likizo ama wameamua kutunyosha tuTatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...
Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?
Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.
Mkitaka taarifa nendeni Nyakato tanesco mtakutana na watu 2000 walishalipia toka Mwezi 4 hawajafungiwa umeme, wengine wana miez 6 surveyor hajapita, Kuunganishiwa umeme imekuwa kama unachimba dhahabu kuipata mpaka utoiliNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...
Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?
Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.
Safi Sana Upo Muda WoteNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Ila nyie watunashangaza, kipindi hii Bei imetangazwa wote mligeuka naa kuisifu serikali. Leo mnasema haiwezekaniTatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...
Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?
Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.
Shida inatesa sana yani wakipita REA, kuunganishiwa Umeme ni shida unakaa miezi 6 mpaka mwaka na hapo umeenda Tanesco utafikiri ndio sehemu yako ya kaziIla nyie watunashangaza, kipindi hii Bei imetangazwa wote mligeuka naa kuisifu serikali. Leo mnasema haiwezekani