TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

Atleast Sukuma gang had the vision of what was supposed to be done!

Huu upuuzi ungesikika JPM akiwepo huyo boss mzembe asingekuwepo hapo ofisini Tanesco Mwanza. Zahanati inakosa umeme na kuna kiongozi wa Tanesco yuko ofisini mpaka sasa! Mama hii nchi haiwezi
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Kishiri manguzo yamesimama tu hayana nyaya unataka jina na namba ya simu kwani ni tatizo la mtu mmoja
 
Tatizo kubwa ni sheria ya manunuzi Tanzania,tulikosea vipengele.
Kitendo cha kuwa na kipengele kinataka kununua kupitia "watu wa kati", badala ya kununua moja kwa moja kutoka kiwandani imeendelea kuua au kudhoofisha mashirika ya Serikali.
TANESCO ili ipunguze gharama za uendeshaji ni lazima iwe inafanya manunuzi kutoka kwenye viwanda vinavyozalisha mita za umeme na waya na mahitaji mengine.
Bahati mbaya wakubwa wengi wanamtizamo wa upigaji hawataki kukubali kurekebisha mapungufu yaliyo katika sheria ya manunuzi.
Kama sheria ya manunuzi haitarekebishwa,hata hawa walioteuliwa wanaenda kuangukia mikononi mwa wapigaji,ni suala la muda tu.
 
Nendeni kishiri wilaya ya nyamagana mwanza maeneo ya majengo mapya, bukaga, maisha raha, kishiri center nk
Tukishafika tunaanza wapi mkuu wetu? Je ungeweza kwenda bank ukalalamika bila taarifa? Mteja anawajibika kutoa taarifa kamili na za ukweli ili apatiwe huduma bira vinginevyo anajinyima haki ya kimsingi kuhudumiwa
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Huu ndio ujinga uaosemea kwenu kuwa hamtoi huduma bora.
Ina maana hamjue eneo la tatizo na limeanza lini mpaka mletewe mezani na hata hivyo hamtatui tatizo.
Give me break!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Sasa km hata surveyor hajaja utapataje namba ya taarifa, mfano miye nataka umeme toka mwezi wa nne mpk leo sijafanyiwa survey.
 
Sasa km hata surveyor hajaja utapataje namba ya taarifa, mfano miye nataka umeme toka mwezi wa nne mpk leo sijafanyiwa survey.
Kuna namba pale juu kulia kwenye form yako ndio hiyo inahitajika
 
We mdau ni mnufaika wa Mfumo Uliopita sasa mmekuwa sorted out ndio vilio vimeanza
 
Na huu ndio ukweli unatesa watu hadi kero, unaenda Tanesco uwezo wa kulipia gharama zozote unao ,Changamoto wanaanza kukupa mpaka unasema serikali iko likizo ama wameamua kutunyosha tu
1)Surveyor wachache
2)Wahitaji ni wengi Mfano ukienda pale nyakato Mwanza utakutana na fomu kama 3000 watu wanahitaji umeme
3)Gharama za kununua Material hawana
4) Nguzo zimeisha
5)Nyaya zimeisha
6)Meter Hakuna
7)Magari hayatoshi
8) Watumishi ni wachache
Mimi huwa nawapa rushwa,yaani yule Surveyor ndo wakumpa hela
 
Hahaaaa!!hii nchi mtahangaika sana, kwa kuendekeza utendaji wa mtu binafsi badala ya ubora wa mifumo!!ametoka huko alikokuwa (sekta binafsi)na kuonekana ni bora, lakini anakuja huku serikalini ambako wao wako ki huduma zaidi na si kibiashara, utegemee ndio tiba ya matatizo yote?serikali haitoi pesa za kununua vifaa , mita, nguzo, nyaya, sasa nchi nzima ni kilio cha mlundikano wa watu kuhitaji huduma ya umeme, wanaambiwa vifaa hakuna!nguvu zote kwa sasa ni REA tu!!
Na bodi yenyewe hiyo iliyojaa wafanya biashara tupu, sioni kama kuna jipya!!
Na huko DSTV sio kwamba alikuwa anaperform basi,Azam inawakimbiza ile mbaya,kinachowasaidia DSTV wapo sokoni siku nyingi
 
Tatizo siasa kwenye mambo ya kitaalamu...

Mtu anaunganishiwaje umeme kwa 27,000?

Hakuna cha bure duniani, gharama halisi sio 27,000... nani analipia hiyo tofauti? Kama serikali imeamua kweli kuunganisha watu umeme kwa bei nafuu;
1. Mwananchi afanye application
2. Apewe control number yenye gharama halisi
3. Akampe Mwigulu alipe.
Msha ingia kwenye mfumo sasa mnataka kutupiga tuu haya zama zenu hizi mnataka tuingize kwa milion moja wakati tanesco wanafanya biashara
 
Tukishafika tunaanza wapi mkuu wetu? Je ungeweza kwenda bank ukalalamika bila taarifa? Mteja anawajibika kutoa taarifa kamili na za ukweli ili apatiwe huduma bira vinginevyo anajinyima haki ya kimsingi kuhudumiwa
Shida ya Tanesco ndio hii umeshambia kuna watu wako karibia 2000 wanasubili kuunganishiwa umeme walishalipia, Mkaleta mita 20, Hakuna nyaya Hakuna mita, watu wanalalamika,sheria mnasema siku 30 za kazi umeme unakuwa umeounganishwa lakini mpaka siku 90 mtu hana umeme, Mlivyo wa ajabu mnataka taarifa ili mfinye watu
 
Na huu ndio ukweli unatesa watu hadi kero, unaenda Tanesco uwezo wa kulipia gharama zozote unao ,Changamoto wanaanza kukupa mpaka unasema serikali iko likizo ama wameamua kutunyosha tu
1)Surveyor wachache
2)Wahitaji ni wengi Mfano ukienda pale nyakato Mwanza utakutana na fomu kama 3000 watu wanahitaji umeme
3)Gharama za kununua Material hawana
4) Nguzo zimeisha
5)Nyaya zimeisha
6)Meter Hakuna
7)Magari hayatoshi
8) Watumishi ni wachache
HUU UTAKUWA NI UZEMBE KWA TANESCO HAKUNA KUREMBA HAPA,KWA SASA UMEME UNASAIDIA TRA KUKUSANYA KODI YAKE P/T,HUDUMA LAZIMA IWE YA HARAKA KWA WATEJE WAKE WITHIN 72 HOURS MTU AWE AMESHAFUNGIWA UMEME
 
Back
Top Bottom