TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Kishiri manguzo yamesimama tu hayana nyaya unataka jina na namba ya simu kwani ni tatizo la mtu mmoja
 
Tatizo kubwa ni sheria ya manunuzi Tanzania,tulikosea vipengele.
Kitendo cha kuwa na kipengele kinataka kununua kupitia "watu wa kati", badala ya kununua moja kwa moja kutoka kiwandani imeendelea kuua au kudhoofisha mashirika ya Serikali.
TANESCO ili ipunguze gharama za uendeshaji ni lazima iwe inafanya manunuzi kutoka kwenye viwanda vinavyozalisha mita za umeme na waya na mahitaji mengine.
Bahati mbaya wakubwa wengi wanamtizamo wa upigaji hawataki kukubali kurekebisha mapungufu yaliyo katika sheria ya manunuzi.
Kama sheria ya manunuzi haitarekebishwa,hata hawa walioteuliwa wanaenda kuangukia mikononi mwa wapigaji,ni suala la muda tu.
 
Nendeni kishiri wilaya ya nyamagana mwanza maeneo ya majengo mapya, bukaga, maisha raha, kishiri center nk
Tukishafika tunaanza wapi mkuu wetu? Je ungeweza kwenda bank ukalalamika bila taarifa? Mteja anawajibika kutoa taarifa kamili na za ukweli ili apatiwe huduma bira vinginevyo anajinyima haki ya kimsingi kuhudumiwa
 
Huu ndio ujinga uaosemea kwenu kuwa hamtoi huduma bora.
Ina maana hamjue eneo la tatizo na limeanza lini mpaka mletewe mezani na hata hivyo hamtatui tatizo.
Give me break!!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Sasa km hata surveyor hajaja utapataje namba ya taarifa, mfano miye nataka umeme toka mwezi wa nne mpk leo sijafanyiwa survey.
 
Sasa km hata surveyor hajaja utapataje namba ya taarifa, mfano miye nataka umeme toka mwezi wa nne mpk leo sijafanyiwa survey.
Kuna namba pale juu kulia kwenye form yako ndio hiyo inahitajika
 
We mdau ni mnufaika wa Mfumo Uliopita sasa mmekuwa sorted out ndio vilio vimeanza
 
Mimi huwa nawapa rushwa,yaani yule Surveyor ndo wakumpa hela
 
Na huko DSTV sio kwamba alikuwa anaperform basi,Azam inawakimbiza ile mbaya,kinachowasaidia DSTV wapo sokoni siku nyingi
 
Msha ingia kwenye mfumo sasa mnataka kutupiga tuu haya zama zenu hizi mnataka tuingize kwa milion moja wakati tanesco wanafanya biashara
 
Tukishafika tunaanza wapi mkuu wetu? Je ungeweza kwenda bank ukalalamika bila taarifa? Mteja anawajibika kutoa taarifa kamili na za ukweli ili apatiwe huduma bira vinginevyo anajinyima haki ya kimsingi kuhudumiwa
Shida ya Tanesco ndio hii umeshambia kuna watu wako karibia 2000 wanasubili kuunganishiwa umeme walishalipia, Mkaleta mita 20, Hakuna nyaya Hakuna mita, watu wanalalamika,sheria mnasema siku 30 za kazi umeme unakuwa umeounganishwa lakini mpaka siku 90 mtu hana umeme, Mlivyo wa ajabu mnataka taarifa ili mfinye watu
 
HUU UTAKUWA NI UZEMBE KWA TANESCO HAKUNA KUREMBA HAPA,KWA SASA UMEME UNASAIDIA TRA KUKUSANYA KODI YAKE P/T,HUDUMA LAZIMA IWE YA HARAKA KWA WATEJE WAKE WITHIN 72 HOURS MTU AWE AMESHAFUNGIWA UMEME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…