TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

Ni lazima serikali ichukue maamuzi magumu.
Tanesco ni kati ya mashirika ya umma yenye wafanyakazi waajabu sana.
Kuna sehemu moja mvua ilinyesha huko kijiijini nguzo ikaanguka. Wananchi zaidi ya 100 walikaa bila umeme kwa zaidi ya siku Kumi.
Nikajiuliza hivi hawa Tanesco wanafikiri wanawakoa wananchi au wanalikosesha pia shirika mapato!?
Siku kumi umeme ni biashara mana sio bure.
 
Mpangaji akikopa email au SMS notification inaenda kwa mwenye nyumba. Sasa hapa ugumu upo wapi?
Unahisi kila mwnye nyumba ni mtu anaetumia email na sms? nishawahi panga nyumba

mwenye nyumba ni kibibi kizeee wanae wako hukooo mbeleee,hana swaga za sms wala email

nishawahi panga nyumba ingine mwenye nyumba hata mtume msg 1000 Hajibu hata 1 yani hata mumtumie

"BABA nyumba huku imelipuliwa imesambaratika yoteeee",Hajibu sms ila ukipga tu simu 1 tu huyo Kapokea

hadi tukawa tunahisi mshua hajui kusoma nini,ila hapana mbona ni zee limesoma sana yes no yes no za kutoshaaa

Kwahyo hilo la notification kwa mwenye nyumba Badooo, Na nasema bado kwasababu kuna wenye nyumba bwana

wana nyumba kama madarasa ya kuku,ni wana nyumba nyingiiiii mpk huelewi sasa huyu mwenye nyumba atapokea notification

za nyumba ngapiiiii,kuna watu wana nyumba braza acha kbsa kila wilaya/mkoa hii tanzania hizo notification wapangaji wote

wakope si simu yake itageuka mali ya TANESCO maana tanesco n watamtumia msg hadi azime simu,ki ufupi n nzuri ila utekelezaji wake mgumu sana kuna mambo mengi ya kuzingatia ambayo kwa li nchi letu hili TANZANIA n jambo haliwezekaniki.
 
Mimi ni mpangaji,nakaa nyumba Luku yangu kila kitu sishei na mtu

hii system ikikubalika ikaanza si wapangaji kama sisi tunakua tunakopa

umeme wa LAKI naingia nakaa miezi 6
Umeme wa laki ni nani anakukopesha mkuu? Hili zoezi linalenga watu wa hali ya chini ujue. Mitandao ya simu wanakopesha laki kwa mara ya kwanza?...
 
Unahisi kila mwnye nyumba ni mtu anaetumia email na sms? nishawahi panga nyumba

mwenye nyumba ni kibibi kizeee wanae wako hukooo mbeleee,hana swaga za sms wala email

nishawahi panga nyumba ingine mwenye nyumba hata mtume msg 1000 Hajibu hata 1
Mkuu, ninaona unatunga impossible scenarios ilhali hili zoezi lionekana kana kwamba halitekelezeki. Vp kama awamu ya kwanza ya utekelezaji ikawahusu wenye nyumba zao binafsi za kuishi?...
 
Sio kila nyumba ya kupanga ina watu wengi, kuna nyumba mpangaji anamiliki luku yake peke ake

si kwamba kajiwekea ile luku ila n mwenye nyumba kaiweka,sasa kigezo kikiwa n mtu mmoja tu

nadhani mpangaji kama mimi nina sifa zote za kukopa maana nipo peke angu na baada ya mkopo kodi ikiisha 🏃‍♂️🏃‍♂️
Sasa wewe hauoni kama nyumba zenye mpangaji mmoja tu ni rahisi kwa hili zoezi kuliko zenye wapangaji lukuki?
 
Mkuu, ninaona unatunga impossible scenarios ilhali hili zoezi lionekana kana kwamba halitekelezeki. Vp kama awamu ya kwanza ya utekelezaji ikawahusu wenye nyumba zao binafsi za kuishi?...
sawa naweza kuwa natunga,ila tanesco hawakupi umeme kwasababu una nyumba fahamu hilo.

hiyo awamu ya kwanza unayoiongelea tayari itaanza kuleta shda za umiliki wa nyumba,Yani unachotaka

ni TANESCO wakague hi nyumba n ya flani kweli au Lah si eti? hapa nilipo nina LUKU zaidi ya 5 na sina Nyumba

kwenye ukaguzi mimi tanesco wataniweka kundi gani,maana hawajui nina nyumba au sina ila luku zote zinasoma Majina yangu ma 3.

Hili jambo narudia kukwambia n zuri ila kiutekelezaji ni Haliwezekanii hasa kwa Tanzania yetu ndio inafanya kbsa kuwa ngumu.
 
Umeme wa laki ni nani anakukopesha mkuu? Hili zoezi linalenga watu wa hali ya chini ujue. Mitandao ya simu wanakopesha laki kwa mara ya kwanza?...
asee mkuu nahisi hudaiwi na mtandao wa simu wowote ndio mana inakua ngumu kunielewa,mimi ni mtu wa hali ya chini kbsa tena maskini kapuku na wakati naaanza kukopa nilianzishiwa kukopa amount hizo unazoshauri tuanzishiwe.

ila deni ninalodaiwa sasa hivi nadhani n mshahara wa Bank teller wa pale barclays,unahisi kwenye luku sitoweza daiwa kama ninavyodaiwa na hii mitandao ya simu ma amount mazito mazito??
 
Yani unachotaka

ni TANESCO wakague hi nyumba n ya flani kweli au Lah si eti?
Kwanini wakague nyumba wakati mtu anapokuwa anaomba kufungiwa umeme anajaza forms zitakazobeba details zake zote zikiwemo number za simu? Sasa kwa hapa hao TANESCO wanakagua vp nyumba?...
 
Hili jambo narudia kukwambia n zuri ila kiutekelezaji ni Haliwezekanii hasa kwa Tanzania yetu ndio inafanya kbsa kuwa ngumu.
Inawezekana mkuu na ndio maana watu walikuwa hawamuelewi shujaa Magufuli alipokuwa anawaambia sisi Tanzania tunaweza.
 
asee mkuu nahisi hudaiwi na mtandao wa simu wowote ndio mana inakua ngumu kunielewa,mimi ni mtu wa hali ya chini kbsa tena maskini kapuku na wakati naaanza kukopa nilianzishiwa kukopa amount hizo unazoshauri tuanzishiwe.

ila deni ninalodaiwa sasa hivi nadhani n mshahara wa Bank teller wa pale barclays,unahisi kwenye luku sitoweza daiwa kama ninavyodaiwa na hii mitandao ya simu ma amount mazito mazito??
Kwani lazima kiwango kipande mkuu? Maximum amount inaweza kuwa 15,000/= tu. Sasa hauoni kwamba huo mtandao wa simu unaokudai kiasi cha pesa sawa na mshahara wa bank teller ni wazembe? Unawezaje kumkopesha mtu zaidi ya 15,000/= bila kuweka mali rehani?
 
Nyumbani kwangu umeme wa 15,000 labda ntatumia hivyo kipindi hiki cha mvua

matumizi ya umeme wangu binafsi tu sio chini ya 50k - 60k kwa mwezi sasa kama

wataweka kiwango cha kukopa kisichozidi 15k itakua haina maana ya mkopo huo sasa

lengo la mkopo ni kumsaidia mtu sasa inakuaje tena unamuwekea mtu limit na wakati hajawahi

kuzingua kulipa deni lako?? ki ufupi mkuu hili litabaki kuwa wazo zuri labda wajukuu zetu watalifanikisha huko mbelen ila kwasasa n Ngumu na haliwezekani.
 
Inawezekana mkuu na ndio maana watu walikuwa hawamuelewi shujaa Magufuli alipokuwa anawaambia sisi Tanzania tunaweza.
angekuepo Magufuli hili lingewezekana ila kwasasa naweza kusema haliwezekani maana sioni wa kulisimamia likawezekana
 
Nyumbani kwangu umeme wa 15,000 labda ntatumia hivyo kipindi hiki cha mvua

matumizi ya umeme wangu binafsi tu sio chini ya 50k - 60k kwa mwezi sasa kama

wataweka kiwango cha kukopa kisichozidi 15k itakua haina maana ya mkopo huo
Zoezi linalenga wale wa hali ya chini. Wewe sio wa hali ya chini mkuu...
 
Unaongea kuhusu 20000/= Tzs
😆😆 Mkuu kuna nyumba zitabaki kama haunted house nakwambia..

Btw ni wazo jema likiangalia maslahi ya mteja na wao; Lakini nawashauri wakopeshe mwisho buku5 huko kwingine huko tutarudi mkoloni.
 
sasa wa hali ya chini mkuu mtu anaweka umeme wa buku akiweka mwingi kaweka wa 2000

anacheza humo humo,leo hii aje akopeshwe unit za 15,000 huyu mtu atalipa kweli hilo deni?
Ninaona sasa suala la kukopeshana umekubaliana nalo sasa kilichobaki ni kiwango tu. Hongera.
 
Back
Top Bottom