1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Ni lazima serikali ichukue maamuzi magumu.
Tanesco ni kati ya mashirika ya umma yenye wafanyakazi waajabu sana.
Kuna sehemu moja mvua ilinyesha huko kijiijini nguzo ikaanguka. Wananchi zaidi ya 100 walikaa bila umeme kwa zaidi ya siku Kumi.
Nikajiuliza hivi hawa Tanesco wanafikiri wanawakoa wananchi au wanalikosesha pia shirika mapato!?
Siku kumi umeme ni biashara mana sio bure.