1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Unahisi kila mwnye nyumba ni mtu anaetumia email na sms? nishawahi panga nyumbaMpangaji akikopa email au SMS notification inaenda kwa mwenye nyumba. Sasa hapa ugumu upo wapi?
Umeme wa laki ni nani anakukopesha mkuu? Hili zoezi linalenga watu wa hali ya chini ujue. Mitandao ya simu wanakopesha laki kwa mara ya kwanza?...Mimi ni mpangaji,nakaa nyumba Luku yangu kila kitu sishei na mtu
hii system ikikubalika ikaanza si wapangaji kama sisi tunakua tunakopa
umeme wa LAKI naingia nakaa miezi 6
Mkuu, ninaona unatunga impossible scenarios ilhali hili zoezi lionekana kana kwamba halitekelezeki. Vp kama awamu ya kwanza ya utekelezaji ikawahusu wenye nyumba zao binafsi za kuishi?...Unahisi kila mwnye nyumba ni mtu anaetumia email na sms? nishawahi panga nyumba
mwenye nyumba ni kibibi kizeee wanae wako hukooo mbeleee,hana swaga za sms wala email
nishawahi panga nyumba ingine mwenye nyumba hata mtume msg 1000 Hajibu hata 1
Sasa wewe hauoni kama nyumba zenye mpangaji mmoja tu ni rahisi kwa hili zoezi kuliko zenye wapangaji lukuki?Sio kila nyumba ya kupanga ina watu wengi, kuna nyumba mpangaji anamiliki luku yake peke ake
si kwamba kajiwekea ile luku ila n mwenye nyumba kaiweka,sasa kigezo kikiwa n mtu mmoja tu
nadhani mpangaji kama mimi nina sifa zote za kukopa maana nipo peke angu na baada ya mkopo kodi ikiisha 🏃♂️🏃♂️
fafanua urahisi wakeSasa wewe hauoni kama nyumba zenye mpangaji mmoja tu ni rahisi kwa hili zoezi kuliko zenye wapangaji lukuki?
Sawa babaNaunga mkono hoja kwa 100%
sawa naweza kuwa natunga,ila tanesco hawakupi umeme kwasababu una nyumba fahamu hilo.Mkuu, ninaona unatunga impossible scenarios ilhali hili zoezi lionekana kana kwamba halitekelezeki. Vp kama awamu ya kwanza ya utekelezaji ikawahusu wenye nyumba zao binafsi za kuishi?...
asee mkuu nahisi hudaiwi na mtandao wa simu wowote ndio mana inakua ngumu kunielewa,mimi ni mtu wa hali ya chini kbsa tena maskini kapuku na wakati naaanza kukopa nilianzishiwa kukopa amount hizo unazoshauri tuanzishiwe.Umeme wa laki ni nani anakukopesha mkuu? Hili zoezi linalenga watu wa hali ya chini ujue. Mitandao ya simu wanakopesha laki kwa mara ya kwanza?...
Kwanini wakague nyumba wakati mtu anapokuwa anaomba kufungiwa umeme anajaza forms zitakazobeba details zake zote zikiwemo number za simu? Sasa kwa hapa hao TANESCO wanakagua vp nyumba?...Yani unachotaka
ni TANESCO wakague hi nyumba n ya flani kweli au Lah si eti?
Inawezekana mkuu na ndio maana watu walikuwa hawamuelewi shujaa Magufuli alipokuwa anawaambia sisi Tanzania tunaweza.Hili jambo narudia kukwambia n zuri ila kiutekelezaji ni Haliwezekanii hasa kwa Tanzania yetu ndio inafanya kbsa kuwa ngumu.
Kwani lazima kiwango kipande mkuu? Maximum amount inaweza kuwa 15,000/= tu. Sasa hauoni kwamba huo mtandao wa simu unaokudai kiasi cha pesa sawa na mshahara wa bank teller ni wazembe? Unawezaje kumkopesha mtu zaidi ya 15,000/= bila kuweka mali rehani?asee mkuu nahisi hudaiwi na mtandao wa simu wowote ndio mana inakua ngumu kunielewa,mimi ni mtu wa hali ya chini kbsa tena maskini kapuku na wakati naaanza kukopa nilianzishiwa kukopa amount hizo unazoshauri tuanzishiwe.
ila deni ninalodaiwa sasa hivi nadhani n mshahara wa Bank teller wa pale barclays,unahisi kwenye luku sitoweza daiwa kama ninavyodaiwa na hii mitandao ya simu ma amount mazito mazito??
Nyumbani kwangu umeme wa 15,000 labda ntatumia hivyo kipindi hiki cha mvuaKwani lazima kiwango kipande mkuu? Maximum amount inaweza kuwa 15,000/= tu. Sasa hauoni kwamba huo mtandao wa simu unaokudai kiasi cha pesa sawa na mshahara wa bank teller ni wazembe? Unawezaje kumkopesha mtu zaidi ya 15,000/= bila kuweka mali rehani?
angekuepo Magufuli hili lingewezekana ila kwasasa naweza kusema haliwezekani maana sioni wa kulisimamia likawezekanaInawezekana mkuu na ndio maana watu walikuwa hawamuelewi shujaa Magufuli alipokuwa anawaambia sisi Tanzania tunaweza.
Zoezi linalenga wale wa hali ya chini. Wewe sio wa hali ya chini mkuu...Nyumbani kwangu umeme wa 15,000 labda ntatumia hivyo kipindi hiki cha mvua
matumizi ya umeme wangu binafsi tu sio chini ya 50k - 60k kwa mwezi sasa kama
wataweka kiwango cha kukopa kisichozidi 15k itakua haina maana ya mkopo huo
sasa wa hali ya chini mkuu mtu anaweka umeme wa buku akiweka mwingi kaweka wa 2000Zoezi linalenga wale wa hali ya chini. Wewe sio wa hali ya chini mkuu...
mimi nashauri wakopeshe mwisho 2000 yani mtu apate tu UNIT za kuwasha taaa au kupasi shati tu...Lakini nawashauri wakopeshe mwisho buku5 huko kwingine huko tutarudi mkoloni.
mimi nashauri wakopeshe mwisho 2000 yani mtu apate tu UNIT za kuwasha taaa au kupasi shati tu...
Ninaona sasa suala la kukopeshana umekubaliana nalo sasa kilichobaki ni kiwango tu. Hongera.sasa wa hali ya chini mkuu mtu anaweka umeme wa buku akiweka mwingi kaweka wa 2000
anacheza humo humo,leo hii aje akopeshwe unit za 15,000 huyu mtu atalipa kweli hilo deni?